Huna akili timamu,kaa pembeni tu wenye hoja tujibizaneunaijua hiyo demokrasia au ndio unyumbu wenyewe.
.......are you the one?If you argue with fools,they will drag you down to their level and defeat you with experience,I won't be part of it!
Namwona Lowassa anasikiliza kwa makini hapo pembeniHakika Mungu ni mkuu. Mwl nyerere alipata kusimulia hadithi nzuri sana ambayo inawajibu wanafiki wote wanaompigia kelele Dr Magufuli. Sikiliza audio ya Mwl Nyerere hapa chini
Yaani Wapinzani ni hatari kuliko hata magaidi! Kabisa kwani wangekuwa wanahamasisha maendeleo ya wananchi kweli Rais angekataa? Kabisa Mh. Magufuli Usigeuke nyuma hii clip isambazwe kwenye vyombo vya habari vyooote!Dr Magufuli hajavunja demokrasia. Ila nyie wapinzani ndiyo mnalengo la kuvuruga amani yetu. Mnahubiri chuki, mnashabikia ufusadi. Nchi hii ni yetu sote, tuache kufitiana. Hivi akina Mbowe wageenda wanahimiza wanachi wafanye kazi, wanawashukuru wananchi kwa kuwapigia kura nani angewazuia kufanya mikutano??? Lakini wao wanaenda kuwaambia wananchi wasilipe kodi, wananchi wasifanye kazi waandamane kuipindua serikali iliyoko madarakani, wanahimiza vijana wanywe viroba badala ya kazi, n.k.
I think u r.......are you the one?
No, sorry, I'm not! I think you are the one!I think u r
I'm done hereNo, sorry, I'm not! I think you are the one!
hahaha, that's show how (.....) you are!I'm done here
That shows how you are au that's how you are,nimeona nikueleweshe kidogo kabla sijasepahahaha, that's show how (.....) you are!
Endelea kubakia kama fisi anayesubiri mkono wa binadamu uanguke apate kitoweo.Miaka mi5 ni mingi mno, hiyo kasi ya sasa ni moto wa kifuu.
Wewe unaeijua historia lakini hujui kuwa 1962 Nyerere kupitia TANU alipambana na Abbas Mtemvu kupitia ANC, Nyerere kakabidhiwa Nchi hii 1961 kaikuta na Vyama Vingi na akaja kurekebisha Katiba 1965 kwa kuvifuta. Hata 1958 wakati wa Ukoloni waliingia kwny uchaguzi wa Baraza la kutunga sheria kukiwa na Vyama vingiHujui historia ya nchi hii ndio maana unapayuka,amekuta vyama vipi Vingi na kuvifuta!Hujui nchi ameitoa kwa mkoloni?
Unaikutaje nchi na vyama vingi wakati nchi ilikuwa ikiongozwa na mkoloni?Chama cha wakoloni ambacho kilikuwa kinaongoza nchi kilikuwa kinaitwaje?Wewe unaeijua historia lakini hujui kuwa 1962 Nyerere kupitia TANU alipambana na Abbas Mtemvu kupitia ANC, Nyerere kakabidhiwa Nchi hii 1961 kaikuta na Vyama Vingi na akaja kurekebisha Katiba 1965 kwa kuvifuta. Hata 1958 wakati wa Ukoloni waliingia kwny uchaguzi wa Baraza la kutunga sheria kukiwa na Vyama vingi
Upenzi wako kwa Nyerere umepitiliza mpaka unataka ku compromise ukweli.