Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Kikwete alifanyaje mbona aliongeza mshahara kila mwezi wa saba,madaraja watu walipanda na ajira zolitolewa.
Kama dikteta uchwara anakulipa pesa ili upotoshe hapa haina maana.
Mimi nimekata tamaa tangu mwezi uliopita natamani chochote kitokee ili ajue kuwa amebugi step.
Kama dikteta uchwara amekupa cheo msifie wewe ili mimi simuelewi.Kwa hili mkuu halina kukata tamaa....wala silipwi na mtu wala spotoshi mtu.....nakupa tu mwongozo
Kama dikteta uchwara amekupa cheo msifie wewe ili mimi simuelewi.
huyu mheshmiwa alipokua anapita kutafuta wadhamini ndani ya chama chao mikoa kadhaa wanaccm walimkimbia ikabidi atumie nguvu ya ziada kuwatafuta. ni watu wachache sana waliowahi kufikiri kua tungewahi kua nae kama rais kinachonishangaza ni kua ameteka mijadala kwenye media zote za tanzania na jambo kubwa kuliko yote ni kua amechukua hoja zote zilizokua zikiwapa kick wapinzani kias kwamba kwa sasa wamekombewa hoja zoote.
We lala tu ukiamka ndio utajua ulichoandika hapa ni ujuha na umuombe mod afute!!!!Shikamoo Rais wa watu. Kazi yako ina baraka za Mungu. Kila kukicha hatua bilioni naa mbele. Hakuna sababu ya taifa hili kuendelea kuitwa maskini. Sasa inaenda kufika siku Tanzania kuwa ni "African tiger"....kwa kipindi kifupi Uchumi wa Tanzania utaingia katika historia ya Dunia...haya Manyumbu karibuni kwa matusi
Hata Mimi zinanitokeaga sana ndoto kama hizi kuzishtukia mpaka uamke naona mleta mada bado anakoromaWe lala tu ukiamka ndio utajua ulichoandika hapa ni ujuha na umuombe mod afute!!!!
Kuna kitu kinaitwa theory je wakijua?? Hayo manamba sijui 7.1 mara 6.5 ni ujinga tu njoo huku kijijini ujione maajabu ya dunia!! Kumbuka dodoma watu walikua wanakula wadudu...no food!!! Mpaka leo wanafunzi wanasoma chini ya mti...acheni kuhadaa watu na vijinamba vyenu hivyo mbaaaafu!!!View attachment 375117
Kamata hiii ta WEF
Kuna kitu kinaitwa theory je wakijua?? Hayo manamba sijui 7.1 mara 6.5 ni ujinga tu njoo huku kijijini ujione maajabu ya dunia!! Kumbuka dodoma watu walikua wanakula wadudu...no food!!! Mpaka leo wanafunzi wanasoma chini ya mti...acheni kuhadaa watu na vijinamba vyenu hivyo mbaaaafu!!!