simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Enough of praising- lets do the meaningful.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kumfananisha kagame na mambo ya kijinga wewe mtoto!!Anaweza kabisa Magufuli kubadilisha hali ya Tanzania kwa kipindi kifupi. Angalia Rwanda: uchumi wake ulikuwa wa vita na duni sana lakini Kagame ameugeuza kwa kipindi kifupi, na sasa kila kiongozi anawaheshimu.
Wote mnakubali kwamba Tanzania ina Potential kubwa. Kinachotakiwa ni kiongozi anayethibiti ufisadi na ambaye ni mtendaji zaidi badala ya kuwa Mswahili wa maneno mengi. JPM is that man.
Kuwa African tiger maana yake ni nini? Mnapotosha ukweli. Kuwa a tiger economy (African or otherwise) ni kuwa na uchumi unaokua kwa kasi. Haina maana ya kuwa nchi iliyoendelea. Sasa kama uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi iweje msikubali ni African tiger?
Mahaba na njaa kisa umependa Mwenyewe Kilazza.comNakupongeza Rais wangu mpendwa Mhe Joseph Magufuli kwa hatua unazochukua katika kuiletea Tanzania mabadiliko ya kweli, umeonesha njia na Watanzania wapo tayari kuipita njia hyo bila woga wala maswali mioyoni mwao.
Ushauri wangu kwako kuna chama kimejaaa wanasiasa uchwara(Chadema) achana nao mkuu piga kazi, songa mbele, njaa pekee ndio itakayowauwa, we wanyime kula tu.
safi sana hiyo slogan mkuu wanasiasa uchwara wamejaa ufipa... wanakengeukaNakupongeza Rais wangu mpendwa Mhe Joseph Magufuli kwa hatua unazochukua katika kuiletea Tanzania mabadiliko ya kweli, umeonesha njia na Watanzania wapo tayari kuipita njia hyo bila woga wala maswali mioyoni mwao.
Ushauri wangu kwako kuna chama kimejaaa wanasiasa uchwara(Chadema) achana nao mkuu piga kazi, songa mbele, njaa pekee ndio itakayowauwa, we wanyime kula tu.
Message sent....Nilipoona title ina neno HACHANA badala ya ACHANA,nikajisemea moyoni "sisomi huu ujinga" sasa sijui humo ndani umeandika pumba gani
ukiona watu wanashout derevaaaa ujue huyo dereva anakoelekea siko gari imekosa uelekeokila thread magufuli kwenye magazeti magufuli kila sehem magufuli upinzan wanatafutia kick magufuli[emoji102]
habari zenu wanajamii!awali kabla ya wote napenda kutoa pongezi kwa rais wa awamu ya tano wa jamuhur ya muungano wa tanzania john joseph pombe magufuli kwa jitihada zake za kutaka kuiinua tanzania kutoka ilipokuwa mpaka kufikia hivi sasa katika nyanja zote mfn katika swala la uongozi sasa hivi baadhi ya viongozi wanajua wajib wao nasi kama zamani angalau wamenyooka lakin tukirudi kwa TRA nawapongeza sana kwa jitihada zao za kumfanya rais aweze kutimiza aliyoyahidi katika kampeni zake kwani bila ya wao kukusanya mapato kwa uangalifu mkubwa basi bado rais asingeweza kufanikiwa kwa mfn rais aliahid ndege tayar zimenunuliwa kupitia fedha za ndani pia kuna meli tatu zinataka kununuliwa katika ziwa moja ila nimelisahau kiukweli pongezi zende kwao pia ningependa kuwakumbusha kweli inabidi kifanya mpango hizi kodi zote za wapangaji wakusqnye kwani itazidi kuonua ukusanyaji wa mapato na hapo ndo serikali itazidi kupata pesa kwa ajili ya kuanzisha na kumaliza miradi iliyopo na mipya,lakin pia nawashauri TRA katika upande wa michezo kuanzia msimu huu wajitahidi kutumia eletric machine ili tuweze kupata pesa zinazotoka huko kwani michezo kwa sasa inapesa kwelikweli hivo inapasa kuzikusanya kwa umakini mkubwa lakin pia itoze kodi kwa wachezaji i mean wanamichezo ambao tayar wako official pia itaongeza ukusanyaji wa mapato..namalizia na kutoa pongezi tena kwa TRA na rais wa jamuhur wa muungano mung awalinde ameen
Dogo nenda shule uandishi mbovu, hizo ndege ziko wapi unasema zishakuja?.Nadhan ndo umemaliza form six au four,kasome uje tenahabari zenu wanajamii!awali kabla ya wote napenda kutoa pongezi kwa rais wa awamu ya tano wa jamuhur ya muungano wa tanzania john joseph pombe magufuli kwa jitihada zake za kutaka kuiinua tanzania kutoka ilipokuwa mpaka kufikia hivi sasa katika nyanja zote mfn katika swala la uongozi sasa hivi baadhi ya viongozi wanajua wajib wao nasi kama zamani angalau wamenyooka lakin tukirudi kwa TRA nawapongeza sana kwa jitihada zao za kumfanya rais aweze kutimiza aliyoyahidi katika kampeni zake kwani bila ya wao kukusanya mapato kwa uangalifu mkubwa basi bado rais asingeweza kufanikiwa kwa mfn rais aliahid ndege tayar zimenunuliwa kupitia fedha za ndani pia kuna meli tatu zinataka kununuliwa katika ziwa moja ila nimelisahau kiukweli pongezi zende kwao pia ningependa kuwakumbusha kweli inabidi kifanya mpango hizi kodi zote za wapangaji wakusqnye kwani itazidi kuonua ukusanyaji wa mapato na hapo ndo serikali itazidi kupata pesa kwa ajili ya kuanzisha na kumaliza miradi iliyopo na mipya,lakin pia nawashauri TRA katika upande wa michezo kuanzia msimu huu wajitahidi kutumia eletric machine ili tuweze kupata pesa zinazotoka huko kwani michezo kwa sasa inapesa kwelikweli hivo inapasa kuzikusanya kwa umakini mkubwa lakin pia itoze kodi kwa wachezaji i mean wanamichezo ambao tayar wako official pia itaongeza ukusanyaji wa mapato..namalizia na kutoa pongezi tena kwa TRA na rais wa jamuhur wa muungano mung awalinde ameen
ndege mwezi wa tisa na tayar ruban walishaenda canada kusomaDogo nenda shule uandishi mbovu, hizo ndege ziko wapi unasema zishakuja?.Nadhan ndo umemaliza form six au four,kasome uje tena