Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Anaweza kabisa Magufuli kubadilisha hali ya Tanzania kwa kipindi kifupi. Angalia Rwanda: uchumi wake ulikuwa wa vita na duni sana lakini Kagame ameugeuza kwa kipindi kifupi, na sasa kila kiongozi anawaheshimu.

Wote mnakubali kwamba Tanzania ina Potential kubwa. Kinachotakiwa ni kiongozi anayethibiti ufisadi na ambaye ni mtendaji zaidi badala ya kuwa Mswahili wa maneno mengi. JPM is that man.

Kuwa African tiger maana yake ni nini? Mnapotosha ukweli. Kuwa a tiger economy (African or otherwise) ni kuwa na uchumi unaokua kwa kasi. Haina maana ya kuwa nchi iliyoendelea. Sasa kama uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi iweje msikubali ni African tiger?
acha kumfananisha kagame na mambo ya kijinga wewe mtoto!!
 
Binafsi nafurahishwa na kasi yako katika kuliongoza hili Taifa ambalo siku nyingi likua linahitaji kiongozi wa aina yako ili kusonga mbele,Kama ilivyo ada Mungu hamtupi mja wake ametuletea wewe kiongozi shupavu, asiyeitaji watu wavivu,wala rushwa na wanaotaka kupata Mali bila kuzivujia jasho.

Nakupongeza kwa kuikomesha ile hujuma iliyokua inafanywa na wagawa umeme,ama kweli sasa imekoma.Shughili zangu zinautaji mkubwa wa umeme yaani kwa 80% nilikua napata hasara sana kwa kuwekeza na kukaa bila kufanya kazi ila sasa nafanya kazi kwa kua umeme ni wa uhakika.Naingiza kipato cha kutosha na ninaweza kulipa kodi. Nakuombea uzima Mh uzidi kutuletea maendeleo.
 
Nakupongeza Rais wangu mpendwa Mhe Joseph Magufuli kwa hatua unazochukua katika kuiletea Tanzania mabadiliko ya kweli, umeonesha njia na Watanzania wapo tayari kuipita njia hyo bila woga wala maswali mioyoni mwao.

Ushauri wangu kwako kuna chama kimejaaa wanasiasa uchwara(Chadema) achana nao mkuu piga kazi, songa mbele, njaa pekee ndio itakayowauwa, we wanyime kula tu.
 
Mahaba na njaa kisa umependa Mwenyewe Kilazza.com
 
Nakupongeza Rais wangu mpendwa Mhe Joseph Magufuli kwa hatua unazochukua katika kuiletea Tanzania mabadiliko ya kweli, umeonesha njia na Watanzania wapo tayari kuipita njia hyo bila woga wala maswali mioyoni mwao.

Ushauri wangu kwako kuna chama kimejaaa wanasiasa uchwara(Chadema) achana nao mkuu piga kazi, songa mbele, njaa pekee ndio itakayowauwa, we wanyime kula tu.
safi sana hiyo slogan mkuu wanasiasa uchwara wamejaa ufipa... wanakengeuka
 
Nilipoona title ina neno HACHANA badala ya ACHANA,nikajisemea moyoni "sisomi huu ujinga" sasa sijui humo ndani umeandika pumba gani
 
kila thread magufuli kwenye magazeti magufuli kila sehem magufuli upinzan wanatafutia kick magufuli[emoji102]
ukiona watu wanashout derevaaaa ujue huyo dereva anakoelekea siko gari imekosa uelekeo
 
Hutaki acha. Ila ni ushauri wa bure. Mlizoea mno kuchekeana chekeana. Ukiona Simba amelala usimchezee sharubu. Mwendo ni huu huu hadi tuheshimiane..
 
Mgombea wa kiti cha Urais wa Marekani kwa tiketi ya Republican Bwana Donald Trump amedhihirisha kuwa ni mtu wa kukurupuka na mwenye kutoa matamko yenye utata na pengine kuwa kinyume na Katiba ya Marekani!Mpaka sasa Trump amewashangaza Wamerekani na watu wengine dunia wanaofuatilia Uchaguzi Mkuu wa USA.

Kauli au tamko tata kabisa ambalo limemfanya aporomoke kwenye kura za maoni ni la kuwaambuia Wamerekani wenye Bunduki Kumzuia Hillary Clinton asiwe Rais! Watu wengi wametafsiri kuwa Trump anataka Wamerekani wampige risasi Bi Hillary Clinton ili asiwe Rais. Sina hakika kama hiyo ndiyo maana yake yawezekana Bwana Trump alikuwa anajaribu kutetea sheria ya kumiliki silaha nchini Marekani ambayo kwa sasa imeanza kupingwa na watu wengi kutokana na mauaji ya kutumia silaha yanayotokea mara kwa mara.

Trump amethibitisha ni mropokaji na huwa hachagui neno la kuzungumza kwa wakati, mahali na aina ya watu anaoongea nao. Mwanzoni kabisa Trump alisema akiwa Rais atazuia Waislamu wasiingie Marekani. Kama hyo haitoshi akadai tena atajenga Ukuta kuzuia watu wa Mexico kuvuka mpaka na kuingia Marekani. Lakini pia juzi amemwita Bi Clinton kuwa Shetani!!!! Kwa kauli hizi Wamerekani wameapa kutompa Urais Donald Trimp!!!

Kauli na Matamshi ya Donald Trump ukiyasikiliza na kuyatafakari kwa kina utagundua kuwa ni mtu mwenye hulka ya ubabe, vitisho na asiyezingatia sheria. Tabia hii inakwenda sambamba kabisa na Rais wa Tanzania Mhe. JPM kwa kauli zinazofanana na hizi. Wakati wa kampeni na hata kabla ya kuwa Rais na baada ya kuwa Rais JPM amewahi kutoa kauli tata kama za Trump. Nitazitaja tu baadhi ya chache hapa chini:

1. Wakazi wanaokaa Kigamboni ambao hawawezi kulipa shilllingi mia mbili ya Ferry WATAPIGA MBIZI.

2. Wale ambao wanapata mishahara mikubwa ya kuanzia milioni 30-45 na WANAISHI KAMA MALAIKA nitawashusha mishahara yao iwe chini NAO WAISHI KAMA MASHETANI.

3.Mimi sina Uvumilivu kama wa Mzee KIKWETE, Ile siku alipoingia akakuta watu wanaimba wana imani na MTU FULANI ingelikuwa ni mimi ZAIDI YA NUSU YA WAJUMBE NINGEWAPOTEZA....!!!

4. Nataka Polisi mnapokamata MAJAMBAZI MUWANYANG'ANYE SILAHA HARAKAHARAKA MTANIFURAHISHA KWELI.

5. Wanafunzi waliokuwa wanasoma UDOM WOTE NI VILAZA hivo wote warudi nyumbani.

6. Mimi ni TOFAUTI SANA HUWA SIJARIBIWI NA SITAKAA NIJARIBIWE, WALE WANAOTAKA KUANDAMANA TAREHE 1 SEPTEMBA NATAKA WATANGULIE WAO NITAWAONYESHA CHA MTEMA KUNi!!

Matamko mengine ya JPM ni kama haya .'' SAMAKI WA MAGUFULI......" NATAKA TANZANIA YA MAGUFULI IWE YA VIWANDA, MKONO WA MAGUFULI UMEZUIA MABOTI KWENDA ZIWA VICTORIA. n.k na n.k.

Tafakari.
 
habari zenu wanajamii!awali kabla ya wote napenda kutoa pongezi kwa rais wa awamu ya tano wa jamuhur ya muungano wa tanzania john joseph pombe magufuli kwa jitihada zake za kutaka kuiinua tanzania kutoka ilipokuwa mpaka kufikia hivi sasa katika nyanja zote mfn katika swala la uongozi sasa hivi baadhi ya viongozi wanajua wajib wao nasi kama zamani angalau wamenyooka lakin tukirudi kwa TRA nawapongeza sana kwa jitihada zao za kumfanya rais aweze kutimiza aliyoyahidi katika kampeni zake kwani bila ya wao kukusanya mapato kwa uangalifu mkubwa basi bado rais asingeweza kufanikiwa kwa mfn rais aliahid ndege tayar zimenunuliwa kupitia fedha za ndani pia kuna meli tatu zinataka kununuliwa katika ziwa moja ila nimelisahau kiukweli pongezi zende kwao pia ningependa kuwakumbusha kweli inabidi kifanya mpango hizi kodi zote za wapangaji wakusqnye kwani itazidi kuonua ukusanyaji wa mapato na hapo ndo serikali itazidi kupata pesa kwa ajili ya kuanzisha na kumaliza miradi iliyopo na mipya,lakin pia nawashauri TRA katika upande wa michezo kuanzia msimu huu wajitahidi kutumia eletric machine ili tuweze kupata pesa zinazotoka huko kwani michezo kwa sasa inapesa kwelikweli hivo inapasa kuzikusanya kwa umakini mkubwa lakin pia itoze kodi kwa wachezaji i mean wanamichezo ambao tayar wako official pia itaongeza ukusanyaji wa mapato..namalizia na kutoa pongezi tena kwa TRA na rais wa jamuhur wa muungano mung awalinde ameen
 
TRA bado mafisa wezi kibao, wanaitia aibu Mamlaka.
 
Dogo nenda shule uandishi mbovu, hizo ndege ziko wapi unasema zishakuja?.Nadhan ndo umemaliza form six au four,kasome uje tena
 
Back
Top Bottom