Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

waliziba midomo kwa sababu gani?
ukuta ullianzishwakwa sababu gani ?
mahakama ishawajibisha hata mmoja?(aptl, lugumi??()

ccm ishatoa mafisadi wake wanaowabeba anzia yule wa mv,lugumi, iptl -escrow ambayo inatusababisha tulipe mabilioni?
madawati bila walimu ni akili gani hizo/............. la bukoba sisemi maana ni aibu kuu changanya na zakwako na ndege ya laki nane from dar to mwaza shkamoo awamu ya matamko hewa kukurupuka..............

elimu kiuhalisia si bure.


dodoma lini ?
sukari bei gani?
ajira je?
 
ha ha ha ha ha ha sina mbavu, ayo kumi ya ukawa nmecheka sana. ila ukawa imeshaisha uyu magufuli kiboko yao sio kikwete mpole
Wewe utakuwa ni product ya elimu bure

Kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani
 
Sukari kwetu 2000 tu...
Hamchelewi UKAWA kutafuta kick kuwatetea wakurugenzi waliofukuzwa bukoba kwa kisingizio cha sheria haijafuatwa....!!
 
hivi unaandikia kutoka wapi? Nakusahihisha kila wakati lakini hubadiliki. Hebu usome ujinga ulioupost. Edit kazi yako na kama lugha hii inakushinda, potea jukwaani. Ebo!
me nipo na ntazidi kuwepo so mezoea kukosoa Leo nimesifia sasa Ila najua kuna ujumbe umeupata tu hapo ..
 
unajua sio kila kitu kinaweza kufanyika kwa Mara moja kikubwa muda na iman tambua mambo mengi yanashindwa kufanyika kutokana na siasa kuweka mbele alafu uzalendo nyuma najua kuna mengi Ila kwa hata zuri moja ushindwe kumpongeza INA maana unashindwa kumpongeza mtoto akiwa amefaulu kwa sababu alifel nyuma najua wengi wenu mnapenda na mnataka kuona TAIFA hili likikwama hili mseme unaona tulisema tuache swala hilo hata wewe ni haki yako kuzungumzia swala lako na mtazamo wako kukumbusha kitu alichoweza kuhaidi najua kupitia mimi umewasilisha ujumbe wako na kuona naona taifa lilivyo na changamoto zake ili ni taifa ila si kikundi ndugu zangu kero ziko nyingi Je umewaza namna ya kushauli na njia za kutatua kero zetu nchi ina wasomi wengi tu na ajira ni tete kupiga kelele si kupata haki yako kikubwa kufanya kazi na kuwa wabunifu pongeza kunapostahili kutoa pongezi ila kosoa panapostahili kukosolewa mwalimu wa kiswahilk aje....
me nipo na ntazidi kuwepo so mezoea kukosoa Leo nimesifia sasa Ila najua kuna ujumbe umeupata tu hapo ..
 
kuzungumzia swala LA escrow si la kukurupuka umeona msimu uliopita walikurupuka saivi ndo kama hivyo tambua aliye tatua kishikaji si uyu wa sasa tusubiri tuone ndo maana unambiwa serikali kesi nyingi za msingi zinashindwa na kuingizia TAIFA hasara tu kama mfatiliaji mzuri utakuwa unanielewa ndugu .
 
Miezi kumi akiwa madarakani na vitu kumi ambavyo Magufuli amevifanya

1.Kanunua ndege 2 mpya za Air Tanzania (nyingine 2 boeing zinakuja)

2. Katoa elimu bure

3.Kakusanya kodi kwa kiwango kikubwa

4.Kaanzisha mahakama maalumu ya kushugulikia mafisadi

5.Kaboresha huduma za afya (CT-Scan &MRI , vitanda Muhimbili

6.Kahakikisha madawati kwa kila mwanafunzi( sasa hamna mtoto anayekalia tofali tena)

7.Kupungua kwa huduma za umeme na bima ya afya NHIF

8.Kurudisha nidhamu na maadili kwa watumishi wa umma

9.Upanuzi wa barabara ya mwenge Morroco

10.Kuanza kwa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam

=========


Miezi kumi bungeni na vituko kumi walivyofanya UKAWA

1. Kujiziba midomo na plasta

2. Kutukana matusi

3. Kutetea mafisadi

4. Kususa bunge

5. Kuandaa maandamo hewa ya UKUTA

6. Kukamatwa na polisi

7. Kushabikia mauaji ya polisi

8. Kwenda kwenye mahakama hewa ya ICC

9. Kususia madawati

10. Kutafuta kiki kwenye maafa ya Bukoba
 
We uliyetoa hii post ni kilaza wa lumumba.....unasifia kuwa hakuna mtoto anayekalia tofali ,una uhakika?
Unasema imeanzishwa mahakama ya mafisadi ...ni kweli lakini ulishawahi kuona fisadi hata moja lililohukumiwa hadi sasa,au,au mnaonea vidagaa tu.....kakojoe ukalale
 
Afya ipi unayosema ameiboresha wakati sasa ivi ninavyoandika Nchi nzima ya Tanzania haina chanjo ya Tetanus!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…