Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli hiki Chama nimekivulia kofia, nimeamini sasa kabisa kwamba hiki ni Chama makini si ajabu klk vyote barani Afrika!
Hivi walimuibuaje Pombe Magufuli (PhD)? Huyu jamaa (Magufuli) alitokea wapi, iweje afike hapo kwenye Uraisi huku akiwaacha wenzake waliojiandaa na kuuukodelea Uraisi kwa miaka nenda rudi tena waliojenga mitandao ya ndani na nje ya nchi bila mafanikio?
Kwa kweli kwa CCM kutuletea Jembe lenyewe Pombe Magufuli (PhD) basi nina Kisaluti CCM, CCM forever!
![]()
CCM, RESPECT!
Tangu 'apewe' urais baada ya kuondoa ada amefanya nini zaidi ya KUTENGUA,KUTEUA na KUFUKUZABinafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Kumbe ni kwa wakristo tu? wamekusikia tayari.Ndugu zangu watanzania wenzangu. Tafadhali nawasihi katika jina la Mungu kwamba leo unapotoka kwenda kuabudu, pamoja na mambo mengine yote utakayoyaomba, naomba usisahau kumuombea Rais wetu John Pombe Magufuli ili Mungu amjalie afya na hekma ya kuingoza nchi yetu. Pia kemea kwa jina la yesu maadui wote wenye hila na mipango mizuri ya Rais wetu ya kuiongoza nchi yetu washindwe. NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA MUNGU AWABARIKI.
Nitumia hivyo si kwamba nawabagua wenzetu Hapana ila ni kwa sababu kundi kubwa la wakristo wanaabudu siku ya Jumapili. Pia ikifika Ijumaa nitawaomba ndugu zetu waislamu wamwombee.Kumbe ni kwa wakristo tu? wamekusikia tayari.
Huku hela za misaada zikiwa zimehifadhiwa kwenye akaunti rasmi ya serikali!Nilitegemea sala na maombi yaende Bukoba ambako watu wanalala nje na kukosa mahitaji ya msingi.Wewe na rais ni nani anahitaji kuombewa?
Unaonaje ukichukua wewe na familia yako mkamuombeee!Ndugu zangu watanzania wenzangu. Tafadhali nawasihi katika jina la Mungu kwamba leo unapotoka kwenda kuabudu, pamoja na mambo mengine yote utakayoyaomba, naomba usisahau kumuombea Rais wetu John Pombe Magufuli ili Mungu amjalie afya na hekma ya kuingoza nchi yetu. Pia kemea kwa jina la yesu maadui wote wenye hila na mipango mizuri ya Rais wetu ya kuiongoza nchi yetu washindwe. NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA MUNGU AWABARIKI.
Yes. Rejea ziara zake mahosptalini za kutembelea wagonjwa. Pia kama unakumbuka alivyofufua mashine za kupimia wagonjwa hata kununua mpya.Je, yeye anakumbuka kuwaombea masikini wenye njaa, wanaokosa madawa hospitalini??