Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

JAMBO KUU ALILIFANYA JINGINE KUSITISHA AJIRA NA KUDANGANYA KUWA UHAKIKI HAUWEZI ZIDI MIEZI MIWILI
 
Kwa kweli hiki Chama nimekivulia kofia, nimeamini sasa kabisa kwamba hiki ni Chama makini si ajabu klk vyote barani Afrika!
Hivi walimuibuaje Pombe Magufuli (PhD)? Huyu jamaa (Magufuli) alitokea wapi, iweje afike hapo kwenye Uraisi huku akiwaacha wenzake waliojiandaa na kuuukodelea Uraisi kwa miaka nenda rudi tena waliojenga mitandao ya ndani na nje ya nchi bila mafanikio?

Kwa kweli kwa CCM kutuletea Jembe lenyewe Pombe Magufuli (PhD) basi nina Kisaluti CCM, CCM forever!


CCM, RESPECT!
 



hata sisi tunaona
 
Tangu 'apewe' urais baada ya kuondoa ada amefanya nini zaidi ya KUTENGUA,KUTEUA na KUFUKUZA
Labda kununua pangaboi kwa fedha za TANAPA?
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu. Tafadhali nawasihi katika jina la Mungu kwamba leo unapotoka kwenda kuabudu, pamoja na mambo mengine yote utakayoyaomba, naomba usisahau kumuombea Rais wetu John Pombe Magufuli ili Mungu amjalie afya na hekma ya kuingoza nchi yetu.

Pia kemea kwa jina la Yesu maadui wote wenye hila na mipango mizuri ya Rais wetu ya kuiongoza nchi yetu washindwe. NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA MUNGU AWABARIKI.
 
Kumbe ni kwa wakristo tu? wamekusikia tayari.
 
maadui wote
wenye hila na
mipango mizuri ya
Rais wetu ya
kuiongoza nchi
yetu ni wapi hao? Je ni wale wanaomwambia mkuu hapa unakosea then yey anasema wanapunguza speed ya maendeleo? Au ni wale wanaotaka bunge liwe live? Au ni wale wanaotaka miktano ya siasa kwa mujibu wa katiba? Ebu nieleweshe then nijipange kwenda kumuombea
 
Nilitegemea sala na maombi yaende Bukoba ambako watu wanalala nje na kukosa mahitaji ya msingi.Wewe na rais ni nani anahitaji kuombewa?
Huku hela za misaada zikiwa zimehifadhiwa kwenye akaunti rasmi ya serikali!
 
Unaonaje ukichukua wewe na familia yako mkamuombeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…