Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahitaji kukipiga brashi Kiswahili chake.Kwa hiyo....??
Kabisa kina Salary Slip wana HasiraMkuu mleta mada pole... Maana kuna watu watakuja kukutukana sasahivi...
wamehamia mabanda ya gongo mkuu ukitaka kuamini tembelea kwa mama muuza !Ila eneo moja limeathirika sana, bar nyingi hazifanyi biashara, mood ya watu kucelebrate imeshuka kwa asilimia 63%, hata wanaokunywa hawaonekani kuendekeza masihala ya kilevi wanabaki kuwa serious tu, hawataki kufall in "nishai ya kilevi", na of cource wazazi wengi waliokuwa watoro nyumbani ss wamekuwa wahudhuriaji wazuri nyumbani wanatulia na familia.
Wengine fedha za kulewea wanazo tu, trend ya mapato yao haijabadilika sana kwa maana ya kushuka pengine yamepanda ila ndo km hivyo hali ya hewa haihamasishi kulewa, tuendelee hivihivi na zaidi tutacelebrate miaka 15 ijayo japo majaliwa.
I'd like to share this video.
Why Tanzanian President Magufuli Is Currently The Best In Africa
Powered by TubeMate (TubeMate YouTube Downloader 2.2.9 - Official Website)
Sema sisi bavicha hapo nitakuelewa.NON SENSE ANAKUBALIKA NJE ILA SISI WATZ 2020 NDOO ATAJUA KUWA KUMBE ALIHARIBU CCM
NON SENSE ANAKUBALIKA NJE ILA SISI WATZ 2020 NDOO ATAJUA KUWA KUMBE ALIHARIBU CCM
duu...bado safar ndefu sana tunayo...maana kila watu watu wanne mmoja....Magufuli wetu watanzania Vigelegeleeee!!!Vigelegelee!!!!
Na wewe mama wa kiswahili kwa mbwembweMagufuli wetu watanzania Vigelegeleeee!!!Vigelegelee!!!!
Kama sio Magufuli ni nani anaye tufaa?naedhani maendeleo ya Tanzania yanaletwa single handedly na rais nadhani ana matatizo
Maendeleo ni attitude ya watu, watu wanatakiwa wajitafutie maarifa, kufanya kazi na kuwa na nidhamu, mambo haya yasipobadilika kwa sisi Watanzania na Waafrika kwa ujumla hatutakaa tuendelee na kuacha utegemezi