chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Siamini katika mtu mmoja kubadilisha tzKama sio Magufuli ni nani anaye tufaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini katika mtu mmoja kubadilisha tzKama sio Magufuli ni nani anaye tufaa?
Mbona ulideki barabara na kuzungusha mikono kwa ajili ya MTU fulani mwaka Jana,?Siamini katika mtu mmoja kubadilisha tz
SEMA WEWE NDIO UNAMWONA OBAMA KICHWAHata sisi tunamuona Obama kichwa
Ila ukifatilia mitandao ya amerika utaona jinsi asivyotakiwa
Wasituaminishe tusichokiamini
We mpumbavu wa wapi, unadhani kila anayetofautiana na wewe ni mtu wa lowassa? unawaza kwa kutumia nini? taahira wa hedMbona ulideki barabara na kuzungusha mikono kwa ajili ya MTU fulani mwaka Jana,?
tehetehe hivi bado unawaza hivi mpaka leo?Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
mi mwenyewe namuomba mungu hii miaka kumi ipite haraka sana nimeamua kuacha kusikiza redio na kuangalia tv sitraki kusikia hata sautiWewe kama huamini Magufuli ni Rais hodari subiri unayemuamini awe Rais 2055 period!
Kila lakheri JpmKasi ya utendaji wa Dr Magufuli pamoja hatua mbalimbali za kuijenga nchi tangu akabidhiwe kijiti na Mtangulizi wake imedhihirisha kwamba Tanzania ni sawa kabisa vinara wa ukuaji uchumi na Maendeleo wa Nchi za Asia zikiwamo Taiwan na marafiki zake ambazo zinajulikana Duniani kama Twiga wa Asia....(Asian Tigers). Huyo ndio Magufuli buana!!!
Tumpe ushirikiano. Jamaa anatupeleka pazuri sana. Sipati picha miezi 10 Ndege mbili..ina maana miaka 10 ndege 22Kila lakheri Jpm
Kasi ya utendaji wa Dr Magufuli pamoja hatua mbalimbali za kuijenga nchi tangu akabidhiwe kijiti na Mtangulizi wake imedhihirisha kwamba Tanzania ni sawa kabisa vinara wa ukuaji uchumi na Maendeleo wa Nchi za Asia zikiwamo Taiwan na marafiki zake ambazo zinajulikana Duniani kama Twiga wa Asia....(Asian Tigers). Huyo ndio Magufuli buana!!!