johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bado kitambo kidogo itakuwa nchi ya maziwa na asali ambayo ndio asili yake!sasa inageuka kuwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kitambo kidogo itakuwa nchi ya maziwa na asali ambayo ndio asili yake!sasa inageuka kuwa nini?
HayaBado kitambo
Na wote tuseme Amen.Hakika tuliochaguliwa ni wengi bali wateule ni wachache.Natazama namna Magufuli anavyolijenga upya taifa letu sina shaka huyu ni mteule wa Mungu.Basi na tuzidi kumuombea ili wale waovu wa harakati hizi za maendeleo Mungu akazibatilishe nia zao!
Unanisoma kwa macho ya mwilini?Badili hilo jina, unalishushia hadhi sana hilo jina, John the Baptist was a man with vision!
Wa Ibrahim Isaka na Yakobo
Unajuwa maana ya kuteuliwa? kuteuliwa maana yake bila uchaguzi sasa kama aliteuliwa tulifanya uchaguzi wa nini?
Uchaguzi ulikuwa ni ku-comfirm tu kile alichokiteua Mungu.Mungu anateua wanadamu wana -comfirm kwenye sanduku la kura
Ngoja Mashetani wakusikie. Watakuporomoshea matusi mpaka ujute.Hakika tuliochaguliwa ni wengi bali wateule ni wachache.Natazama namna Magufuli anavyolijenga upya taifa letu sina shaka huyu ni mteule wa Mungu.Basi na tuzidi kumuombea ili wale waovu wa harakati hizi za maendeleo Mungu akazibatilishe nia zao!
Chini ya mkoloni TanganyikaZanzibar ni nchi
bila kumsahau belzebuliLabda mungu baaali!