Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

habari zenu wanajamvi, nimekua nikisoma thread nyingi humu jamii forum watu wengi wamekua walalamikaji bila kuwa na mantiki ya ulalamikaji wao.

watu wengi walilalamikia sana utawala uliopita na kuongea maneno mengi ya kashfa kwa utawala uliopita sasa mambo yamerekebishwa na mabadikiko tunayaona.

nimekua nikijiuliza sana hivi wanaolalamika na kutengeneza thread nyingi humu jf hawaoni zuri hata moja linalofanyika?

ila nimegundua walalamikaji wengi ndo waliokua wapigadili wakubwa na wengi wao mirija imefungwa au wameondolewa kazini wamekuja jf huku wakijifanya chui waliojivika ngozi ya kondoo.

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja
 
Umekosea bro.Maisha ni magumu sana kwa sasa.Sidhani kama mamantilie,Bodaboda,wanafunzi wa vyuo vikuu na wafanyakazi wa kima cha chini walikuwa ni wapigadili.
Kwa wafanyakazi lazima ujue kwamba mishahara yao ni midogo na walikuwa wakitegemea zaidi posho za muda wa ziada au safari kujiongezea kipato.Wapiga dili kwa sasa wanakula akiba wala hawana shida.Fikiria kwa mfano mpigadili wa Escrow unadhani alijiwekea akiba kiasi gani?.Huyu kwa sasa maisha kwake ni tambarare.
 
Hongera sana Dr. John Pombe Magufuli. Hali ya maisha ya sasa umeweka usawa si ya nani wala nani hasa mfano kuna sekta nyingine ilikuwa inakula mpunga hadi bhasi hasa wanaokaa maofisini. Unakuta mwisho wa mwezi mshahara wala hawautumii ila malupulupu wameyapiga sana.

Kwa awamu yako usawa upo, nashukuru sana kwa kuimarisha shilingi ya Tz dhidi ya bidhaa mfano kuna piki piki ilikuwa inauzwa milion mbili na laki tatu ila sasa ni shilingi 1700000.

Magu heko hiii nakupa mie mwenye mtazamo wa kijamaa kwa kweli umeifanya shilingi kuwa na nguvu.

La mwisho ni kuhusu wanaokuhujumu mkuu. Wapo wanaovujisha madesa ili serikali yako isiendelee, kuna mtu alishawahi kuandika kuhusu Ujasusi wa Uchumi. Mkuu unahujumiwa kuanzia kwenye suara la sukari hadi kwenye bandari na mengineyo.

Kuhusu chama cha mapinduzi bado wasaliti hawajaondolewa chamani au hawajaomba msamaha. Hii inajulikana kuwa wasaliti wapo chamani na ndio wanaojifanya wapingaji ila kwa siri sana wasijulikane kumbe ni team Lowassa.

Nahitimisha kuwa kuna ujasusi wa uchumi unafanywa nchi hii ndio unaopelekea watu walalamike. Watu wachache wanahujumu kwa maslahi yao ya kisiasa.

By Zumba
 
Kuwa na nia nzuri sana ni mwanzo mzuri lakini nia pekee haitoshi-wenzetu wanasema "The road to hell is paved with good intentions". Style yake ya uongozi ina pande ambazo zinaleta wasi wasi badala ya kuwafanya watu wengi wamuunge mkono zinatengeneza makundi ya watu wasio muelewa. Upande wa nidhamu serikalini ameanza vizuri kwa mfano lakini upande wa demokrasia unatia mashaka sana na hili naona ndio linalomharibia. Sisemi awe dhaifu nasema afuate principles za good governance-vyama vay siasa kwa mfano kazi yake ni kufanya siasa kama katiba inavyo elekeza sasa ukivizuia visifanye siasa isipokuwa ile unayotaka wewe si haki na haki ikipotea mambo yanaweza kwenda kombo, ngoja niishie hapa sina wa kunichangia 7m.
 
Huyu jamaa Mungu ambariki sana, asingekuwa yeye waathirika wa tetemeko wangeumia sana. Nashauri aongoze hata kwa miaka mingine 20
 
Nia nzuri haiji kwa matamko kutoka kwa mtu mmoja tu. Akidondoka muda wowote nchi nzima inarudi kuwa uwanja wa fujo. The only way ya yeye kuonyesha nia nzuri aliyonayo ni kuiweka kimaandishi i.e katiba mpya na kutenda haki kwa wote. Hii ya kujifanya kuwa ni yeye peke yake ndio msema kweli haitatufikisha popote. Kama Taifa, tunaelekea kubaya.
 
Mwishoni wakati anamalizia kidogo machozi yanitoke very sincere kwenye kuibadilisha nchi.

Pamoja na ukweli unaouona kutoka kwake matatizo ni mengi na mengine anayatengeneza mwenyewe mfano kwenye ufanisi serikarini aiwezekani ajibu kwa utata maswali mengine wakati amezungukw na seasonal experienced advisors as his political mentors.

Leo hii traffic bararani akikusimamisha na kukupiga fine anaweza kukueleza ni sheria gani inampa mamlaka hayo, iweje raisi ajui mamlaka gani yakisheria yanayo justify maamuzi yake kwenye kupinga dhana potofu ya udikteta.

Bado tena anateua a lot of people without matching skills kila kona itakuwa miujiza kama utendaji utabadilika serikarini.
 
Rais yuko pale kama traffic anaeongoza magari, sisi wanachi ndio waendesha magari, jukumu letu ni kujituma kwa maendelo ya nchi hii.
Inakuwaje pale ambapo traffick mpya yeye mwenyewe ajui sheria za barabarani si lazima tujiulize huko chuoni walimu wanaanda training sahihi kweli. Kesho raisi anaweza kutana na wageni ajibu vile kweli.
 
Viongozi wote walopita walisema hivyo hivyo wanaitakia mema na wataleta maendeleo nchini. Mwisho wa siku maendeleo huwa kwa familia zao na wanachi wapo na serekali ya hatamu ya tano na tamaa ileile kama fisi.
 
Inakuwaje pale ambapo traffick mpya yeye mwenyewe ajui sheria za barabarani si lazima tujiulize huko chuoni walimu wanaanda training sahihi kweli. Kesho raisi anaweza kutana na wageni ajibu vile kweli.

Unanipa picha kama traffic ana nuvuta nipite halafu na upande wa pili anavuta magari mengine yapite ndio tukutate katikati. Duh sina imani kwamba rais wangu hazifahamu sheria ya nchi hii, kuna Rais na Urais, hivyo ni vyombo vikubwa sana na vinavyo juwa sheria.
 
Vuvuzela and simple.

Yeye mwenyewe alijishtukia majibu aliyompa 'Tido Mhando' ayakujibu swali baadae akajibaraguza kujaribu kumchekesha chekesha achilia mbali majibu ya Pasco.

Siyo kwamba hakukuwa majibu mujarabu kwa maswali yale yale bali alikuwa hana. Haya mambo inataka kuyajua na trust unaweza fanya assessment nyingi sana. The whole thing was live wataalamu sehemu zingine wanaweza assess mambo mengi ya washauri wa raisi na uwezo wake na kujua style ya kucheza nae.

Usalama wa taifa kwenye nchi za wenzetu ni mchezo wa vipanga tu sio kila mtu.
 
Unajuwa unapokua pale kwenye ka-podium halafu watu wanarusha maswali kama mikuki ya darts unaweza kuchanganya mambo. Mara kadha nisha muona Obama ana kauka sauti, ukifikiria kichwani kuna watu wangapi wananikodolea macho huko majumbani kwao.
 
Msemo wa kiingereza niupendao 'its only easy if you know it'

Nenda ka google maana ya competency based frameworks za kazi. Utakutana na vitu ambavyo wenzako wanatarajia kutokana na position ya mtu holistic iwe nafasi yoyote, wakiona kuna mapungufu ujue wanakujenga huko.

Obama awezi kukauka maneno wala awezi kushindwa tetea matendo yake with political, legal justification or behave anything other than he is expected by the ppl of united states of america.

Nikikwambia watu wana assess they do that na wanaweza pata mpaka picha ya uwezo wa watu walionyuma ya raisi kutokana conduct za raisi publicly you know why kwa sababu wapo responsible kwenye ku design training programme kutokana na assessment zao za mapungufu; mpaka leo raisi bado anamajibu ya ovyo one year in the job (that should tell you something about his mentors).

Tusione vinaelea vimeundwa ndugu .
 
As far as i know, any humans will have a good day and bad day. Obama ana siku zake nzuri na mabaya, one that comes to mind is when he told the press while in UK that if the country voted to leave EU, they will end up at the back of the queue when US when it comes the relationship with US. That was not a US policy towards its allies, he was caught off guard and the message was brushed off very quickly. Going back to Bush error, sometimes you couldn't even make sense what he was trying to say to the press. I'm not sure if your implying that President Magufuli was not briefed by his advisors before his press conference, or his not familiar with the law of the country. Being a minister for over 20 years, gives you an ample time to learn the system and it even gives you more time to know what needed to be changed.
 
You still don't get it the President himself declared he wasn't legal savvy during the same event.

And I dont expect him to possess the highest levels on his all round knowledge matter of fact very few people are in this world and that is understood (it is for this reasons presidents have technical aides as advisors).

The point I was making there are nearly 200 countries in the world each with its head of state, that is to say there is an expected worldly benchmarks on what the position entails and overall competences without going into their details when assessing people might scrutinise the following aspects: technical, behaviour, strategic (for presidents) and outcome expectations.

There are many shortfall when you listen to our president its pointless even to name them all, what is basic Magufuli lacks interpersonal skills it is for everyone to see particularly public communication (his choice of words) and humbleness/public demeanour.

Going back to the technical aspect like I said no one expects the president to grasp all the knowledge in the world regardless his action must be justifiable legally. Let me give your a simple example for instance if you go to the immigration office for a passport application you might be asked bring abc, and if you happen to wonder why? the person might explain to you because of this law you must provide this documents as affidavit to prove ur nationality. It does not mean the person knows all the immigration laws it is just a technical aspect which he must grasp in advising or being an immigration officer.

Similarly the president makes many decisions which might be interpreted and labelled differently either with negative or positive connotations depending on people levels of perception, no one expects him to be legally savvy or economic but at least be able to justify those acts technically when asked in public.

Based on those simple understanding from an external viewpoints one can detect missing skills of the person (incompetence's) given his position and expectations of the role.

As for ur Obama comparison I wont even respond to that it has nothing to do with my argument and out of topic, he was expressing their standpoint and partly a scaremonger tactic given the time it was spoken.
 
You still don't get it the President himself declared he wasn't legal savvy during the same event.

And I dont expect him to possess the highest levels on his all round knowledge matter of fact very few people are in this world and that is understood (it is for this reasons presidents have technical aides as advisors).

The point I was making there are nearly 200 countries in the world each with its head of state, that is to say there is an expected worldly benchmarks on what the position entails and overall competences without going into their details when assessing people might scrutinise the following aspects: technical, behaviour, strategic (for presidents) and outcome expectations.

There are many shortfall when you listen to our president its pointless even to name them all, what is basic Magufuli lacks interpersonal skills it is for everyone to see particularly public communication (his choice of words) and humbleness/public demeanour.

Going back to the technical aspect like I said no one expects the president to grasp all the knowledge in the world regardless his action must be justifiable legally. Let me give your a simple example for instance if you go to the immigration office for a passport application you might be asked bring abc, and if you happen to wonder why? the person might explain to you because of this law you must provide this documents as affidavit to prove ur nationality. It does not mean the person knows all the immigration laws it is just a technical aspect which he must grasp in advising or being an immigration officer.

Similarly the president makes many decisions which might be interpreted and labelled differently either with negative or positive connotations depending on people levels of perception, no one expects him to be legally savvy or economic but at least be able to justify those acts technically when asked in public.

Based on those simple understanding from an external viewpoints one can detect missing skills of the person (incompetence's) given his position and expectations of the role.

As for ur Obama comparison I wont even respond to that it has nothing to do with my argument and out of topic, he was expressing their standpoint and partly a scaremonger tactic given the time of it was spoken.
Your right, I'm still not getting the argument, is it his ability to answer questions, or ability to answer questions which pleases everybody (that can a tricky) maybe the body language, or his knowledge to the job. We might agree on this one, President A will not be similar to President B. But on the other hand we won't agree is the President doesn't know or understand his responsibility. The argument doesn't hold water to me, I mean if your unable to communicate with an ordinance it doesn't make you incompetence. You argue if he knows anything about economy or law, when he was standing on the podium he wasn't there to create new law or change economic policy. If people are really desperate to know the answers why can't they go and ask the right people, e.g. ministers or PS or directors within the ministries. I think there few people who have already made up their mind of how they feel about the President and nothing will make them change their mind's. (The scenarios of 'hata mkituwekea jiwe, sisi tutachaguwa jiwe tuu')
 
MAULANA ibariki nchi yangu TANZANIA na watu wake! ibariki AFRICA na Dunia nzima ...tulinde milele yote! AMEN RA
 
Your right, I'm still not getting the argument, is it his ability to answer questions, or ability to answer questions which pleases everybody (that can a tricky) maybe the body language, or his knowledge to the job. We might agree on this one, President A will not be similar to President B. But on the other hand we won't agree is the President doesn't know or understand his responsibility. The argument doesn't hold water to me, I mean if your unable to communicate with an ordinance it doesn't make you incompetence. You argue if he knows anything about economy or law, when he was standing on the podium he wasn't there to create new law or change economic policy. If people are really desperate to know the answers why can't they go and ask the right people, e.g. ministers or PS or directors within the ministries. I think there few people who have already made up their mind of how they feel about the President and nothing will make them change their mind's. (The scenarios of 'hata mkituwekea jiwe, sisi tutachaguwa jiwe tuu')

To me we have hit a communication barrier due to our differences in perception of the subject matter.

There are so many documents out there you could have read at least to be on the same page; either you agree or disagree at least brings the necessary logic in your argument. No one said people are the same or all leader use the same leadership style but that does not eliminate the general competences requirement of their positions.

Ngoja nikupe mfano this is what they mean when they speak of competences

Technical
Is sought out by others for advice and solutions on how to best interpret and use information
Discerns the level of pressure or influence to apply in each aspect of the analysis in relation to the broader context
Assesses group performance against goals and identifies areas for improvement.
Translates government opportunities into concrete measures that are beneficial for the nation.
Dares to take calculated risks in order to let the nation develop positively
Draws sound conclusions based upon a mixture of analysis and experience
Is intellectually agile in response to challenges of internal and external environments
Solicits ideas and responds positively to those of staff, committees and the Secretary-General
Evaluates the financial impact of decisions and develops strategies to address financial resource issues
etc

Interpersonal
Makes team assignments within and outside of the Division/Directorate to facilitate horizontal work
Delegates authority to match responsibility, and holds staff accountable for agreed upon commitments
Appropriately involves others in decisions and plans that affect them.
Promotes group morale and productivity by being clear about output expectations.
Sees arising conflict and takes action at Division/ Directorate/government level.

Social Focus
Builds social confidence using own personal reputation in the international community and expertise
Knows when it is appropriate to push clients to consider difficult issues and acts accordingly.
Determines strategic direction and long-term opportunities to best meet social evolving needs

Diplomatic Sensitivity
Makes one’s case tactfully, especially when dealing with the highest level of government officials
Knows when to stand firm and when to accommodate.
Accurately hears and understands the unspoken thoughts or feelings of others and acts purposefully
..................................................................................................................................................................................

The list could go on and on at that level mengine nimeacha nimechoka copy and paste.

Ila raisi anapoongelea hoja watu wanaweza pima hizo competencies at speeches usidhanie unaweza kuwaambia watu korosho zimepanda bei kwa sababu ya sera nzuri za kodi wakati wakulima wengine bado wana struggle ina maana huo msamaha wa kodi uko kwenye korosho tu vitu vingine je (au kuna ushahidi gani).

To understand the argument inategemea na level yako ya technical ability kwenye hoja husika kama wewe unaona ni personal attacks fine. Lakini watu wanaweza pima uwezo na kasoro ya timu nzima iliyo kwa magufuli kwa kuangalia matendo yake publicly na speech zake based on expected competences at that level.

Mie kwa sasa wacha niendelee na kazi zangu za malipo kama uipati hoja nadhani unahitaji darasa kamili and aint no one got time for that; google has all the time in the world with a variety presentation to suit ya learning style ( there is a message if you can interpret as for me alamsiki)
 
Back
Top Bottom