Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mfalme(Rais Uishi Milele) nakusalimia kwa Utukufu Mkuu ulio nao na Maono,mawazo na fikra sahihi. Zidumu fikra zako.

Nimeona katika ndoto namna ambavyo umepewa maisha meng. Namna ambayo utawala wako utakuwa wa Kihistoria hapa Dunian. Wewe ambaye ulichaguliwa kuliokoa Taifa hili la Tanzania. Kama ambavyo pia wengine walikuwa chaguo la mungu kutuadhib sisi wananchi. Ndivyo nawe ulivyokuwa chaguo hilo pia.

Tunazidi kukuombea ili mapenz yako Mfalme yatimizwe. Na mapenzi ya mungu wako yatimizwe pia kupitia wewe. Wale wenye mioyo ya chuki na husda wasifanikiwe.wale wanaokupinga na kukukosoa wote wabadilike. Wadumishe fikra zako sahihi kabisa kwa mustakabali wa Taifa hili.

Maisha ya Watanzania hawa yanatakiwa kupata funzo jingine kupitia wewe... Maana mioyo yao imekuwa migumu zaidi ya Jiwe.wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. Nawe umeletwa kuwafarakanisha wao na ndugu zao na vizaz na vizaz vyao.

Mfalme uishi Milele... Wewe ambaye ndiye mwenye maamuzi makuu,sahihi na ya mwisho. Uendelee kuongoza kupitia utashi wako. Na fikra zako sahihi zidumu.
Sijui nawe mleta uzi utaunganishwa na Lema au utatunukiwa! Kwa vile haikuwepo hapo kabla, hii sharia ya ndoto na maono inaingizwa kwa mlango wa nyuma ili kuwashughulikia watu kama nyie, watch out.
 
Maisha ya Watanzania hawa yanatakiwa kupata funzo jingine kupitia wewe... Maana mioyo yao imekuwa migumu zaidi ya Jiwe.wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. Nawe umeletwa kuwafarakanisha wao na ndugu zao na vizaz na vizaz vyao.

Mi mwenye akili nmekuelewa!hasa paragraph hii hapo juu!!!!
 
Ndugu wanajf, salaam!
Kama wanavyotumia barabara za lami nchini, kama wanavyotumia maji vijijini na mijini, kama wanavyotumia fursa za kibiashara ndivyo nilivyomwona Mhe. Mbowe juzi akifurahia huduma za ndege zilizonunuliwa na MHE. DKT JOHN POMBE MAGUFULI.

Mbowe ni kati ya viongozi wa juu wa CHADEMA ambao siku zote hubeza juhudi za serikali lakini akiwa miongoni mwa wanaopata huduma hizo siku hadi siku.

My take: Pamoja na tofauti za kivyama, kiitikadi basi ndugu zangu wanachama wa CHADEMA na UKAWA jitahidini kuzungumza maneno kwa kumwogopa Mungu na binadamu wanaowatizama ili awaepushe na roho za lawama, uchochezi, na kuvuruga mshikamano wa kitaifa.

Serikali inayoongozwa na Mhe Dkt John Pombe Magufuli iko makini na inafahamu kilio cha Wanaccm, Wanachadema, Wananccr, Wanatlp, Wananld, Wanaact, Wanacuf na wengine wasiokuwa na vyama vya siasa. Mpeni ushirikiano amalize wakwepa kodi za NHC, TRA, TPA nk
 
Msakila KABENDE
Umesikika. Wengine msiwajibu kupoteza muda.
 
Sawa. Soon atateua Makatibu Tarafa unaweza ukawemo jitahidi kuandika thread nyingi huenda ukabahatika, Kila la kheri Mtafutaji hachoki.
 
Habari wakuu...
kama kichwa cha habari kinavyosema,.....awamu iliyopita ilikua purukushani,watu wanatoleana lawama wao kwa wao tu,kwenye maofisi na taasisi huko mitaani wala hawajui nani wakuzitatua kero zao.......lkn awamu hii angalau unaweza ukapata mahali pakupeleka malalamiko na wakulaumiwa anajulikana kirahisi........nafikiri tumeelewana...........umegundua hilo?.......inaweza kuwa hatua nzuri yakutatua matatizo yetu.....
 
Rais Wetu ni mtu mkweli,tena mkweli hasa asiyeuma uma maneno. wakati wote amekuwa msema ukweli kwa kuwa anafahamu msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Mungu ambariki sana.

Ni mtu mnyenyekevu sana kwa kweli. Mara nyingi amekuwa akiongea kwa unyenyekevu sana hasa anapowazungumzia watanzania wanyonge.

Ni mpenda maendeleo anayechukia umasikini ndio maana mara zote amekuwa akisisitiza yeye ni Rais wa maskini.

Rais wetu Magufuli ni mtu anayechukia uzembe ndio maana wakati wote amekuwa akihamasisha kazi.

Ni mkali sana kwa mafisadi ndio maana wakati wote amekuwa anapambana na ufisadi na sote ni mashahidi

Ni mtu mchapakazi asiyechoka ambaye analenga kuipeleka Tanzania mbele na katika kuifikia azima hiyo anafanya kazi usiku na mchana kama ambavyo mwenyewe amekuwa akisema.

Ni mtu anayeupenda utanzania wake na uafrika wake kweli kweli.

Rais wetu anachukia wapiga dili na wala rushwa. Tena anachukia kweli kweli.

Rais wetu ni mtu asiyependa kujikweza na ndio maana mara nyingi hupenda kuchanganyika na watu wa aina zote.

Hakuna mtu mkamilifu ila kwa haya yote kwa nini tusimuunge mkono rasi wetu? Tumungeni mkono Rais wetu ili aweze kuipeleka nchi yetu mbele. Tumpeni moyo ili aweze kwenda mbele kwa mbele.

Mh. Magufuli ni mtu wa watu na mpambanaji wa kweli dhidi ya umasikini, rushwa na ufisadi ambaye karibuni ataiwezesha Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati.
 
Habarini watanzania wote!!!!!!!

Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.

Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.

1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.

2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.

Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.

Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,

Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.

Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.

NAWASILISHA
 
kama ni nabii kwanini aliwapola rambirambi za wahanga bukoba na kumsafisha mke hadi kwa TB Joshua? na hicho kibali nani alimpa kwenda nje ya nchi na huku akipiga marufuku kutoa vibari vya nje ya nchi?labda nabii wa rambirambi za wahanga.

swissme
 
Habarini watanzania wote!!!!!!!

Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.

Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.

1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.

2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.

Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.

Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,

Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.

Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.

NAWASILISHA
Lazima utakuwa unaota wewe au unatuandikia ndoto uliyomaliza kuiota asubuhi hii.
 
Back
Top Bottom