Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hakika tuliochaguliwa ni wengi bali wateule ni wachache.Natazama namna Magufuli anavyolijenga upya taifa letu sina shaka huyu ni mteule wa Mungu.Basi na tuzidi kumuombea ili wale waovu wa harakati hizi za maendeleo Mungu akazibatilishe nia zao!
Na wote tuseme Amen.
 
Unajuwa maana ya kuteuliwa? kuteuliwa maana yake bila uchaguzi sasa kama aliteuliwa tulifanya uchaguzi wa nini?

Uchaguzi ulikuwa ni ku-comfirm tu kile alichokiteua Mungu.Mungu anateua wanadamu wana -comfirm kwenye sanduku la kura
 
Uchaguzi ulikuwa ni ku-comfirm tu kile alichokiteua Mungu.Mungu anateua wanadamu wana -comfirm kwenye sanduku la kura

Nionyeshe andiko linalosema Mungu akiteua wanadamu wana confirm....maana katika Biblia tumemuona Mungu akimteua Sauli na Samweli alitumwa tu kumuwekea mafuta, pia Daudi na wengine wengi ktk Biblia
 
Alituongopea kodi kwenye mshahara atashusha hadi 9% hadi sasa bado nakatwa ileile mwaka unaisha sasa
Vyeo bado ishu hatujapandishwa hadi sasa mikopo vyuo ndio analeta dodoso [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hivi kuna mtu bado anaimani na fisiem[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mungu kit amri zake ameseme usiseme uongo
 
Hakika tuliochaguliwa ni wengi bali wateule ni wachache.Natazama namna Magufuli anavyolijenga upya taifa letu sina shaka huyu ni mteule wa Mungu.Basi na tuzidi kumuombea ili wale waovu wa harakati hizi za maendeleo Mungu akazibatilishe nia zao!
Ngoja Mashetani wakusikie. Watakuporomoshea matusi mpaka ujute.
 
TETETETETE BWANA YULE ANATAKA tumuabudu.

swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…