Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sisomi na sitasoma kamwe migazeti ya Mawio na Mwanahalisi! Sitasoma sitasoma sitanunua. Haiwezekani Kubenea miaka yoooote umekuwa ukiandika maufisadi ya Richmond Lowasa na Sumaye na wengine na kujitapa unaandika habari za kiuchunguzi na una ushahidi wote alaf leo uwe mmoja wa wasafishaji na watakatishaji wa maovu yao. Leo unasema woote wasafi na hakuna ufisadi. Jamii gani tunayotaka kuijenga, ? Jamii ya uongo na utapeli? Waandishi makanjanja kama Kubenea ipo siku watakumbuka uhuni walioufanya. Hawawezi pona siku zote

Well said!
 
Wapo ambao hawakumchagua yeye si kwa vile hawamkubali yeye personally bali hawaikubali CCM na yeye alikuwa anabeba bendera ya CCM. Uchaguzi umeisha na huyu ni Rais wa Tanzania na si wa CCM tuache vijembe tufanye kazi

Na kwa kuongeza kama umefuatilia campaign wapinzani walikuwa wanasema CCM out na si Magufuli out

Safi sana mkuu, uchaguzi umeisha, tuchape kazi.
 
Tatizo watanzania siasa imetutawala..
mtu anafanya vizur kwann asisifiwe?
mnadhani kwanin walimponda sn mkwere?
 
Last edited by a moderator:
Ni kwa sababu ameanza kufanya waliyoyapigia kelele tangu siku nyongi, watawala wa mwanzo waliziba masikio kabisa!, wewe unafikiri hata Mawazo angeuwawa kama Mapolisi hawatumiki na MaCCM? Angalia UHURU, ndo linaanza kuandika habali zilizotolewa na Tanzania Daima, MwanaHalisi kabla halijafungiwa n.k
 
Sisomi na sitasoma kamwe migazeti ya Mawio na Mwanahalisi! Sitasoma sitasoma sitanunua. Haiwezekani Kubenea miaka yoooote umekuwa ukiandika maufisadi ya Richmond Lowasa na Sumaye na wengine na kujitapa unaandika habari za kiuchunguzi na una ushahidi wote alaf leo uwe mmoja wa wasafishaji na watakatishaji wa maovu yao. Leo unasema woote wasafi na hakuna ufisadi. Jamii gani tunayotaka kuijenga, ? Jamii ya uongo na utapeli? Waandishi makanjanja kama Kubenea ipo siku watakumbuka uhuni walioufanya. Hawawezi pona siku zote

Basi wewe sio msomaji!
 
Kwan unadhan hawamkubali? Wanamkubali sana sema wanajitoa ufahamu tu.

Magufuli analeta raha ndan ya mioyo ya watanzania anagusa palepale panapowasha.

Najua hata wale ndg zangu Apologise lady , Erythrocyte, wanajilaumu nafsi zao kwann hawakumchagua tingatinga serema

Acheni siasa sisizo na maana, magufli anatekeleza sela za upizani kwa maana anafanya mambo mengi yaliyo kuwa yanaombwa na wapizani.
Tanzania ni yetu sote provided tunafanya vitu vzr, na ukifanya vzr utakubalika
 
Last edited by a moderator:
ona ulimkata makamu, si ungeacha picha original tu, au unaona neno men lingeathili title yako.
 
Back
Top Bottom