SAYARI DUNIA
Member
- Jul 19, 2015
- 54
- 17
Sisomi na sitasoma kamwe migazeti ya Mawio na Mwanahalisi! Sitasoma sitasoma sitanunua. Haiwezekani Kubenea miaka yoooote umekuwa ukiandika maufisadi ya Richmond Lowasa na Sumaye na wengine na kujitapa unaandika habari za kiuchunguzi na una ushahidi wote alaf leo uwe mmoja wa wasafishaji na watakatishaji wa maovu yao. Leo unasema woote wasafi na hakuna ufisadi. Jamii gani tunayotaka kuijenga, ? Jamii ya uongo na utapeli? Waandishi makanjanja kama Kubenea ipo siku watakumbuka uhuni walioufanya. Hawawezi pona siku zote
Well said!