Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwa sasa habari ya mujini kwa UKIWA eti ni ushindi wa kesi ya kumuaga MAWAZO.

Kesi gani wameshinda?

Polisi ndio walipewa mamlaka ya kwachaguliwa wapi waage mwili.

Polisi ndio walipewa mamlaka ya kuwapa siku ya kuagana mwili.

Sasa nani kashinda hapo?

By the way, sasa wanagombea mfu, hakika wamekwisha na hawana sera hawa.
 
[h=3][/h]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha kiasi cha shilingi bilioni 4 zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
12308702_1376528252361589_2476146468623146613_n.jpg
 
Kutokana na hali inavyondelea hapa nchini, naanza kuelewa kwa nini kwenye kampeni magufuri alikuwa anatumia slogan ya CHAGUA MAGUFURI? na siyo CHAGUA CCM.

Huku mtaani wote tumeanza kuwa sawa katika kila jambo tofauti na zamani ilivyo kuwa imeshazoeleka kuwa ukitaka mambo yako yakunyookee basi uwe ni mwanachama au shabiki wa ccm,ukiwa ni mpinzani basi, kama ni nyumba yako ulijenga holela itakuja ivunjwe ila kama uko ccm basi wewe utakula bata na mambo mengine mengi ya ubaguzi, ikiwa ni pamoja na kuwa kama unafanya biashara hautalipa kodi eti kwa kuwa wewe ni ccm, ila kama uko upinzani basi kodi ni lazima na kufilisiwa kunahusika.

Pia kazi utapata kilahisi kama utakuwa ni ccm maana yake ni kuwa tayari uko kwenye mfumo. Kwali hali hii ilikuwa inaumiza na inaumiza sana.Kwa sasa ?ngoma ni droo? watoto wa mjini wanasema. Naomba hali hii iendelee na usawa uwe kwa watanzani wote bila kujali itikadi za chama ama kujuana.IWE NI KAZI TU. Pia naomba mheshimiwa asifanye mwenyewe kazi ya kutumbua majipu.

Hiyo kazi atushirikishe na sisi wananchi tumsaidie hasa majipu ya huku chini kwa kutupa katiba mpya ile ya wananchi (kupitia mzee warioba).Yaani tuwe na uwezo wa kuwaajibisha viongozi wetu huku, kama vile mwenyekiti wa mtaa, diwani ama mbunge, siyo mpaka tusubiri miaka mitano ya uongozi wake iishe ndo eti tumwajibishe wakati anaendelea kuhalibu .

Hiyo kazi ya kutumbua majipu madogo madogo mheshimiwa Magufuli tupe huku sisi wananchi tukusaidie, hutaweza kufanya kila kitu wewe mwenyewe, majipu ni mengi mno, hivyo kazi itakuwa ni ngumu sana, lete tukusaidie.

Binafsi nakupongeza sana kwa kazi unayoendelea kuifanya kutuletea watanzani mabadiliko tuliyoyalilia muda mrefu. Yangu ni hayo, nina imani ujumbe umefika.

MUNGU AKUBARIKI
 
Vigogo na ma Kada wa CCM kweli wataguswa ????? impsibo ...!!!
michosho Safari hiyo itakuwa ndui na siyo majipu !!!
 
Last edited by a moderator:
Tanzania nchi yangu... nakupenda sana..!! Nikifa nitazikwa ktk udongo wa nchi yangu pendwa Tanzania

Jamani, vitu vingine ni mzaha na maigizo... nakubali kuna ukomandoo etc etc...!!!

Hivi, TOFALI LA CEMENT, mm nitengeneze, nikuletee, ww hata uwe Comandoo wa wapi, UPIGE KICHWA KIMOJA TU, TOFALI LINAPASUKA KATIKATI...!!! Na kichwa cha komandoo safiiiiiiiii... hata kamasi hakuna..!!😨😨😨😨😨... alafu watu wanashangiliaaaaaaa...kama mazingaombwe vile...!!! 😨😨 alafu ndio moja ya kitu cha kuadhimisha sherehe ya UHURU...??? Kupasua tofali kwa kichwa..!!?

Hivi tokea lini tutakuwa ktk zama za gizaaa...!!! Huu uongo jamani.. maigizo...!!

Magufuli, Mungu akulinde baba, sikukupa kura yangu, ila UMEUFANYA MOYO WANGU UKUOMBE RADHI....futaaaa futaaaaa haya maigizo, giza, na kupoteza billions bureee..

Au kama kuna mtu anasema ataweza PASUA TOFALI KWA KICHWA aseme humu, nije na TOFALI LA CEMENT.. ukipasua mara moja, ntakulipa kila mwezi tshs 1,000,000 ktk maisha yako yote duniani...!!!

Mungu watu wako WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA..!!
 
Tanzania nchi yangu... nakupenda sana..!! Nikifa nitazikwa ktk udongo wa nchi yangu pendwa Tanzania

Jamani, vitu vingine ni mzaha na maigizo... nakubali kuna ukomandoo etc etc...!!!

Hivi, TOFALI LA CEMENT, mm nitengeneze, nikuletee, ww hata uwe Comandoo wa wapi, UPIGE KICHWA KIMOJA TU, TOFALI LINAPASUKA KATIKATI...!!! Na kichwa cha komandoo safiiiiiiiii... hata kamasi hakuna..!!... alafu watu wanashangiliaaaaaaa...kama mazingaombwe vile...!!!  alafu ndio moja ya kitu cha kuadhimisha sherehe ya UHURU...??? Kupasua tofali kwa kichwa..!!?

Hivi tokea lini tutakuwa ktk zama za gizaaa...!!! Huu uongo jamani.. maigizo...!!

Magufuli, Mungu akulinde baba, sikukupa kura yangu, ila UMEUFANYA MOYO WANGU UKUOMBE RADHI....futaaaa futaaaaa haya maigizo, giza, na kupoteza billions bureee..

Au kama kuna mtu anasema ataweza PASUA TOFALI KWA KICHWA aseme humu, nije na TOFALI LA CEMENT.. ukipasua mara moja, ntakulipa kila mwezi tshs 1,000,000 ktk maisha yako yote duniani...!!!

Mungu watu wako WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA..!!


Unasema hivyo una maanisha au unaruka ruka co
nyuma ya keyboard ..?
Ona hii ilifanyika pale kigamboni live bila chenga
wakatiwa mafunzo ya mazoezi kati ya Tanzania na China.
https://www.jamiiforums.com/habari-...nzo-ya-kijeshi-kigamboni-dar-es-salaam-3.html

attachment.php
 
Mkuu Jay One tofali nyepesi hata wewe unaweza pasua lakini si tofali za Kerai......
 
Last edited by a moderator:
Hicho ni kile kipindi cha JK walikuwa wanafuja hela kwa kupasua tofali lenye ufa kwa kichwa


JK alikuwa anatengeneza maigizo sana... KUFUJA FEDHA BILLIONS.. tofali linaekwa UFAAAA MKUBWAAAAAAA, katikati, yaani ni kusema tayari lishapasuka, wanagusa kwa kichwa kidogo tu, linapasuka...!!

Alafu watu wanashangiliaaaaaa... UHURU DAY...!!!! Nataka nitukane vibaya hapa, sina jinsi, basi tu... naumia sana..
 
Magufuli aliingia shimoni kwa ngazi ya CCM, Sasa amejisahau kuwa yuko shimoni & ameanza kuvunja mbao za ngazi hiyo na kuwashia moto bila kujua kuwa ndo iliyomuingiza humo & itamsaidia kutoka!!! Teh! Nimejaribu kutafsiri kile kibonzo cha JM. Leta pop corn, episode 3 is coming.
 
Sasa hivi watu wanamsifia kwa kila anacho fanya isije ikatokea mtu akaanza kumshutunu siku wafanyakazi wa mashirika ya umma pamoja na private sector watakapoanza kuvurumishwa makazini mwao kwa sababu ya kubana matumizi.
 
Magufuli aliingia shimoni kwa ngazi ya CCM, Sasa amejisahau kuwa yuko shimoni & ameanza kuvunja mbao za ngazi hiyo na kuwashia moto bila kujua kuwa ndo iliyomuingiza humo & itamsaidia kutoka!!! Teh! Nimejaribu kutafsiri kile kibonzo cha JM. Leta pop corn, episode 3 is coming.

Uko sahihi, JM anamtishia Magufuli...
 
Uko sahihi, JM anamtishia Magufuli...

Kama JM anakuwa na kiburi hicho, basi nitaamini ile habari kuwa JPM alisaidiwa kuingia Jengo jeupe kwa mlango wa nyuma. Je! Atalipa fadhila au atawageuka?! Tutaona.
 
Back
Top Bottom