Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

SUKALI ILIOFICHWA IMESHAGAWIWA. ITAGAWIWA BURE?
HATA MIE NAPENDA RAIS HUYU KULIKO WALIOPITA LAKINI ANISHAWISHI NISIBADILIKE

Hakuna kitu kinachoitwa "SUKALI" bali ni "SUKARI" tatizo lenu viroba ndo vimewajaa kichwani mnajua kuzungusha mikono tuu...
 
Hakuna kitu kinachoitwa "SUKALI" bali ni "SUKARI" tatizo lenu viroba ndo vimewajaa kichwani mnajua kuzungusha mikono tuu...
SPELLING MISTAKE ndicho ulichoambulia katika hoja yangu. USILAZIMISHE KUPINGA KAMA HOJA HUNA au unaona bk7 utaikosa
 
Napenda kumpa sifa mh Magufuli ambaye anafanya kazi isiyo ndogo hata kidogo.

Japo kuwa wapo wanafki wanalalamika kusema Mh JPM hafai kuwa Raisi! sasa tunashangaa ni nani anayefaa sasa? na hata kama atafaa! anaweza fanya zaidi ya haya ya JPM?

Watanzania wengi mmezidi kulalamika! mkisaidiwa mnalalama, msipo saidiwa mnalalama!
japo kuwa wapo wanao Muunga mkono Mh JPM.

Baba zenu na ndugu zenu au hata ninyi mnao lalamika, mishahara hewa basi! mlizoea kuvuna pasipo kupanda alafu bila hata aibu mnakuja kulialia hapa!

Ushaambiwa hapa ni "kazi tuu" ugumu wa maisha unatoakana na uminyaji wa Pesa chafu zilizo kuwa zinazunguka mikononi mwa watu, kwa hili swala nikufikiria zaidi kuongeza ubunifu katika kufanya kazi ili kujiongezea kipato zaidi!

Acheni unafiki Mh Raisi amechaguliwa na Mungu huyu na tumuuombee raisi wetu!
 
Ninampenda jamabi JPM, siwezi kusema zaidi ya kukuombea kwa Mungu. Wewe ni zawadi tuliyoisubiri muda mrefu sana.
 
Kwa kiwango kikubwa nimefarijika namna kazi inavyoendelea mpaka sasa.

Wakati ulipokua unatembea huko kwa wapiga kura kutuomba ridhaa ya kutuongoza, wengine tuliona unafaa na kukupa ridhaa hiyo.

Tulitegemea kutokana na kaliba yako, you will bring back order in our country, jambo ambalo halikuwepo kwa vipindi vingi sana.

Ingawa taifa letu lina kila aina ya namna ya kututoa katika umaskini lakini ukosefu wa nidhamu na uwajibikaji ulikua tatizo kubwa sana.

Mpaka sasa kwa namna tunavyokwenda naona kama umetimiza malengo yetu na kuzidi kipimo tulichokihitaji.

Binafsi naona hili swala la sukari kama njia tu ya kuweka landmark katika malengo ya Taifa kufikia level ya maendeleo ambayo tumekua tukiyataka. Maendeleo bila ya misingi ya mifumo inayoeleweka ni kama kujiweka kwenye kitanzi wenyewe.

Sidhani kama ni sahihi kwa watu wa chache kujimilikisha mirija yote ya mapato katika nchi changa kama yetu, kuna hatari ya kua Taifa maskini linalotumikishwa kwa faida ya wachache.

Tunaelewa kwamba wakati wa kuiondoa hiyo mifereji ya neema kwa wachache na kuwaelekezea wengi zitakuwepo kelele za mumivu kutoka kwa wahusika, ila hakuna tiba yenye utamu, lazima maumivu yapatikane ili ugonjwa uondoke.

Keep on doing the good work.
 
Hata mie kaniridhisha saana hapa ninapoishi leo hakuna sukari kabisa ht ya elfu tatu haipo tunakula miwa.Kweli anastahili pongezi.
 
Nawaza tu, kuanzia kampeni vile anapiga pushapu plus kauli mbiu yake "hapa kazi tu" naona kuna uwiano kwani kama hufanyi kazi huwez kupiga pushap viceversa is true...
ndipo nikaja kuwaza tena hii amsha amsha inayoitwa " tumbua jipu" plus kauli mbiu "hapa kazi tu" nayo ina uwiano kwani kama utafanya kazi barabara huwezi kuwa jipu...na viceversa is true.
Naona Mh hakurupuki sasa tuna Rais anayeijua Tanzania ilipotoka na inakoelekea.
Natoa wito Wasomi Ma Dokta na wale wengine Magenius ni wakati wa kuumiza vichwa kuleta sera zinazoambatana na kuweza kutagsiri kauli mbiu ya Mhe.
Kuna mijamaaa ipo kazi yao kusubiri hii Taasisi ikosee ili kupinga kwa nguvu zote. Mida hii najua wako wanchukua "notes" za kudesa........
Polepole tutaelewa tu.
Go go go Mr President. Big up!!
 
Tanzania's Magufuli leads fight against corruption
As an anti-corruption conference ends in London, in Tanzania the battle to end graft is on in earnest. At the forefront is President John Magufuli. In his five months in office, he's already shown he means business.


Nicknamed "the bulldozer" for his style of leadership, Tanzania's President John Pombe Magufuli has earned himself credibility and acclaim, both in and outside Tanzania, for his fight against corruption.

He has started to sweep away the country's reputation for endemic corruption and poor public service. The East African country is ranked among the top 20 worst corrupt countries in Africa and is also placed 117th out of 168 countries in Transparency International's 2015 Corruption Index. Since assuming office in November 2015, Magufuli has been rebuilding lost trust with western donors by firing public officials deemed to be incompetent and corrupt.

Last November and December, six senior officials in the Tanzania Revenue Authority, including Commissioner General Rashid Bade, were fired. Also suspended was the director general of the Tanzania Ports Authority, Ephraim Mgawe, over a scandal involving the non-payment of $40 million (35,1 million euros) in import taxes. Magufuli also sacked Edward Hoseah, the long-serving director general of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), due to the slow pace of the fight against graft.

Magufuli left no doubt about his aims immediately after he was sworn in. "I'm telling government officers who are lazy and negligent to be prepared. They were tolerated for a long time. This is the end," Magufuli warned in his first speech as president.

Later, he matched his words with actions, slashing the number of cabinet posts from 30 to 19 by merging ministries. "The bulldozer" banned inessential foreign travel for politicians and business class flights for all but the most senior figures. The president went further to ban the Independence Day celebrations in favor of leading a street cleaning campaign.


President Magufuli (c), seen here shaking hands with Rwanda's President Kagame (l), has quickly become a role model

Last month, Magufuli made his first foreign visit to Rwanda. While there, he said he had turned down many invitations from the west inviting him to attend various conferences. He drove all the way to Rwanda, avoiding flight costs. In Rwanda, the country's president, Paul Kagame, commended Magufuli's efforts in cutting unnecessary costs and fighting corruption in Tanzania. "Your consistent message on fighting corruption is very refreshing. You have a good and reliable partner in Rwanda,” Kagame told Magufuli.

How Magufuli is making a difference

The African Union estimates that $50 billion is lost to corruption and other financial crimes across Africa each year. Many heads of state on the continent have vowed to eradicate corruption from their countries. Legislation to punish the vice has been drafted and anti-corruption authorities have been formed. However, on the ground, little seems to have changed.

Rwandan researcher and political commentator Christophe Kayumba told DW that, unlike other African heads of state, Magufuli has translated his intentions into actions. "Magufuli has actually acted on his words. He has suspended corrupt officials and reduced public expenditure," Kayumba said.

According to a local newspaper, Tanzania Daily News, besides cutting costs and taking administrative action against incompetent and corrupt public servants, some 596 cases related to corruption are currently before the courts.


Magufuli opted to clean up rather than celebrate independence

Many Tanzanians say they believe in Magufuli. However, some fear their president is fighting a lone battle. "He is doing a good job but the corrupt people don't appreciate that," Lightness Elly, a resident in Arusha, said.

Another resident, Msafiri Musa, told DW that the president is fighting against top officials, influential leaders and wealthy people who have been surviving on graft. "He is really trying and that is why those who are used to taking bribes are opposed to him. We must back him in this struggle," Musa said.

Also in Arusha, Mary Mahu said all corrupt activities should be exposed. "There are some unscrupulous business people who have hidden a huge consignment of sugar and are now selling it at exorbitant prices," Mahu said. "This is affecting us if the corruption networks are not dismantled."

It is too early to say whether Magafuli will stick to his course as he continues in his first term in office. However, Kayumba is optimistic the president will keep up the fierce fight against corruption. "If you study the history of President Magufuli, he comes from the old school of people who believe in integrity and moral values. He is a disciplinarian person," Kayumba said.

Tanzania's Magufuli leads fight against corruption | Africa | DW.COM | 12.05.2016
 
Kipindi cha nyuma mtaani tulikuwa sisi wenye kipato cha kawaida au wastan tulikuwa hatuna thamani kwa wadada mtaani. Akina dada walikuwa wanahongwa magari na kupangishiwa nyumba na mafisadi.

Sisi ambao tulikuwa hatuhongi walianza kutukosea heshima.wakawa hata salamu hawatoi. Ukienda kuoa mahari ilikuwa inafika hadi mil 5 kwa familia ya kawaida. Na bado hujatajiwa mambo mambo mengi ambayo nayo yalikuwa yanafika hata mil 5 nayo.

Sasa tunashukuru hata ukienda kuoa unaweza kupewa na mdogo mtu. Yaani waoaji wamekuwa wachache sana. Kuna familia ukienda kuoa wanakutajia mahari ndogo tu na pia wanakwambia kama utapenda kukaa na mdogo wa kike wa mke wako naye mchukue. Unapewa na nyongeza.

Wadada wengi sasa wamerudi mtaani kuishi nasi tena. Tena kwa sasa wanasamilia mara tatu tatu na kama hujasikia anakufata kabisa kukugusa kuwa uncle nakusalimia wewe. Zaman walikuwa wanajifungia tu kwenye tu gari twao.

Sasa nasi tunaanza kuheshimiwa, haya yote ni mabadiliko ya Dr Magufuli. Kwa sasa nguo ambazo ilikuwa ukipita posta suruali ya mtumba wanakwambia 50,000 sasa wanatupigia simu wenyewe kuwa suruali moja tsh 15,000 na mazungumzo yapo au unaweza lipa kwa installment.

Heshima imerud kwa kweli. Ukimpa mtu tsh 20,000 anashukuru mara tatu tatu, wakati zamani ilikuwa ukimpa hii oesa anaichukua tu na kuweka mfukoni kana kwamba umempa karatasi.
 
ha ha ha amazing!!

watu wale kihalali kwa jasho lao!

hufanyi kazi, hauli! kupata kipato halali cha ziada lazima uteseke kidogo...
 
Back
Top Bottom