evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
lazma tufatilie na tuchallenge............Namkubali Magufuli, lakini its too early kumsifia sana
Kuna mambo anatoa amri lakini hakuna ufuatiliaji, kama suala la safari za nje bado lipo sana, suala la ukusanyaji kodi limerudi palepale anakusanya 1.04Tillion, wakati JK alikuwa anakusanya 950/990Billion tofauti ni ndogo sana kuliko nguvu iliyotumika
meaning bado watu wanaendelea kula kama mwanzo, hakuna ufuatiliaji!! the same old story
umetoa points sana mkuu...
same old story