Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ndugu unashangaa huyo mtu mmoja wakati Ewura wanaomba kupunguza bei ya umeme kwetu sisi watanzania kwa kutumia kiingereza? Nilichojifunza katika nchi hii serekali inapotaka kufanya jambo lake ambalo inaona wananchi watapiga kelele utaona wanaandika kiingereza. Cha kuchekesha hao wanaoandika hayo mambo kwa kiingereza ukiwaambia wasimame hadharani watete hayo mambo yao kwa kiingereza unaweza ukatapika. Mwacheni huyo mtu kwani hii ndio tabia iliyojengeka hata kwenye taasisi zetu za umma.
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi!!! Huko juu nishaitwa mtumia bangi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mamluki walumumba anataka kutuaminisha kwamba mzee magu anakubalika huko nje yaani ungejua hawa wazungu wanavyo tusanifu wanasubiri baada ya mbwembwe zote lazima tutakwenda kinga bakuli alafu mambo yanaendelea kama zamini . Kwasababu wanajua fika watanzania kama wewe unaejifanya kujibadilisha hujajitambua na hujitambui. Wattsup men!!!!!
 
we si mtanzania bali unaiga kuwa mtanzania kama kweli uko afrika kusini niambie tabia moja ya wazuru ukiachana na kupenda lugha yao na kusia kwao
 
Teh! your boiling an empty vessel with the expectations of getting soup!
 
Dah...huu ndio wivu wa kijinga! Omba tafsiri sio mbaya, maana Kiswahili na Kiingereza zote ni lugha za Taifa
Wivu gani kama wewe si mjinga pimb wewe. Unapoleta habari na kama unajipambanua wewe ni Mtanzania kwa nini usilete feedback kwa lugha ya Taifa lako. Hivi huoni hata viongozi wakubwa toka China wanakuja na kupatiwa watu wa kutafasiri lugha ya Taifa lao!!? Hivi wachina na wewe por...k kama wewe nani amesoma na teknolojia yao unaweza hata kuota kuwafikia?. Nyie ndo wapuuzi mliosababisha hata kuwekewa masharti ya mavazi kipindi Magu anatia maguu ikulu. Ongea lugha ya Taifa lako ueleweke na Watanzania walio wengi wafahamu sifa kibao anazozipata raisi wetu huko ng'ambo.
 
we si mtanzania bali unaiga kuwa mtanzania kama kweli uko afrika kusini niambie tabia moja ya wazuru ukiachana na kupenda lugha yao na kusia kwao
Tafadhari mimi niko hapa nchini na connection ya huko pia ipo na nakuambia hata Zuma akiwa jimboni kwake hawezi kuongea lugha ya wakoloni.
 
Mjinga ni huyo dada yako aliyetekwa na ukoloni mamboleo. Huwezi leta habari ya kumsifu raisi wetu mwenye mapenzi mema na wananchi wake kwa lugha ya Kikoloni. Angalia hata Facebook page ya Zuma uone Wasouth tena waliokaa na wazungu karne kwa karne wakiposti kwa lugha ya kwao. Trump huyo ndo baba wa majipu yote ya Africa na namkubali kama ninavyomkubari Magufuri, Arsenal,Barca na Yanga. Huyo hata ukifuatilia anakosoma hawezi tumia jina la asili yake. Nakupa changamoto wewe popoma. Tafuta majina ya Wasouth ama Wabotswana uone kama utapata jina la Kikoloni huko. Unaweza kuta kati ya 10 mmoja ndo anatumia jina la kikoloni. Jitambue
Umeandika pumba na mashudu matupu!
Unahitaji operation ya akili.
 
Tafadhari mimi niko hapa nchini na connection ya huko pia ipo na nakuambia hata Zuma akiwa jimboni kwake hawezi kuongea lugha ya wakoloni.
Sasa mwenye uzi ndo rais? Kaa kimya ndugu, unazidi kukaa uchi mbele ya watu.
 
Umeandika pumba na mashudu matupu!
Unahitaji operation ya akili.
Operation hiyo taifanyia nyuma ya makao yako. Msingi ujue unapoposti hapa uje Kitanzania na kuna ufahamu kuna international forum huko ndiko unaweza kwenda kuongea hata Ki Spain bila nouma
 
Well...ameanza vizuri hope ataenda vizuri...apewe ushirikiano ...Ingawa nachelea kujiingiza KICHWAKICHWA kama zuzu na kumwaga misifa iliyopitiliza....i would ask maswali kama vp inflation ikoje..vp kuhusu energy ie umeme do we have reliable one? huduma za mama wajawazito na watoto zikoje...dependency ya donor kusupport budget iko vipi...vp waliofuja mali za uma waki mahakamani au wamejiuzulu na kuachwa wale kuku kitaa...ratio ya book to student...teacher student...madawati ikoje...upatikanaji wa maji safi vp...haya ni baadhi tu...otherwise ni story tu!
 
Uchi gani wewe keng? Nasema acheni kuiga upumbav wa lugha zisizoeleweka eti kwa sababu tu uko ng'ambo.
Kenge anajua kuandika kweli? EBU Tuwe wastaarabu, kwani ukisoma na ukapita shida iko wapi hadi kuita wenzio Kenge?
Kisa kamsema JPM vizuri au?
 
Kenge anajua kuandika kweli? EBU Tuwe wastaarabu, kwani ukisoma na ukapita shida iko wapi hadi kuita wenzio Kenge?
Kisa kamsema JPM vizuri au?
Hivi wewe una akili timamu kweli? Nani ambaye anachukia utawala na kazi ya raisi wetu. Napinga Mtanzania kutumia lugha ya kikoloni na kitumwa kwenye jambo la Kitaifa kama hili. Ndiyo sababu BBC wakatupatia idhaa yetu ya kiswahili kututangaza kimataifa na sio mtu akivuka tu mipaka ya nchi basi anakuwa mzungu. Njoo tena
 
Back
Top Bottom