Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
You remind me about smeagol ,where is frodo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ng'ambo ya mto mnapata shida sana..Zimebaki story
He is nothing without democracy, empty Bottle,As a Tanzanian studying outside Tanzania, i have been meeting with different students coming from different part of Africa and most of them have been speaking highly about our current leadership. By leadership i mean the leadership of his HE. Dkt Magufuli phase, in person i have never felt so proud to being a Tanzanian as i have never felt ever before. I would like to quote one of my friend from South Africa what he had to say about HE. Dkt Magufuli " As a south African i cannot resist showing my jealousy for Tanzania's president. His dedication, at a personal and professional level, is exemplary for the rest of African leaders. Africa needs a new type of leaders, the ones to free its people to promote economic promotion and better standard of living for all. As a strong allied of South Africa i hope you become an example for all all of us, future leaders, we appreciate your dedication and love for a functional Africa. We support what you stand for in South Africa". We as Tanzanians we need to support and protect our president for the journey he has started to take Tanzania to where we are suppose to be, lets unite and value whats ours instead of fighting it. Viva my president
May God protect you and shower you with much of his blessings.
Jamani Magufuri ameonyesha dira,tusibeze ndugu zangu. Nchi ilikuwa ishakuwa danguro,ni muda wa kumuunga mkono na kumuombea kwa mungu sijampigia kura hata ukiangalia posti zangu lkn kwa siku hizi chache alizokaa nimeamua kuweka siasa pembeni. Naamini Magufuri alikuwa na mzigo moyoni kwa namna Watanzania wanavyokosa huduma huku watu wakitanua tu watakavyo.He is nothing without democracy, empty Bottle,
Angalia QTV ya Kenya kipindi cha BUNGE LA WAZALENDO wanavyoongea kiswahili wakati ndio watu nibaowaheshimu kwa kiinngereza safi. Wako live wacheki sasa hiviJivunie Tanzania, jivunie Magufuli, jivunie na Kiswahili pia.
Naona neno ng'ambo limekusumbua,Kwani ukiandika kiswahili hatutajua unasoma ng'ambo!? Jitambue ewe mtumwa wa ukoloni mamboleo.
Mkuu hebu angalia ndugu zetu wakenya muda huu uone wanavyoongea kiswahili katika kipindi cha Bunge la Wazalendo.Naona neno ng'ambo limekusumbua,
Acha hizo mkuu
But with a lot of hindrances from withinFor sure the legacy is coming back slowly
And we still do!Thats how we felt over 40 years ago, during the Mwalimu era.
Sasa bado kitu kimoja kawatafute watoto wao uwafunge kamba za viatu. Usisahau kuwabeba hadharaniKwa moyo wa dhati nawapongeza sana rais wetu Magufuli na WAZIRI MKUU Majaliwa kwa kufufua matumaini yetu watanzania!
Viongozi walikuwa wanaona nafasi zao ni za kujineemesha wenyewe wakiwemo wa ngazi za juu kabisa.
OMBI langu kwenu ni kwamba msikatishwe tamaa na maneno ya kejeli toka kwa watu ambao lengo lao ni kuwavunja moyo! Kazi yao ni kukosoa tu! Watu hao ni wachache sana lakini mamilioni ya watanzania tumshukuru sana Mungu kwa kutupa viongozi wazuri wenye nia ya dhati ya kuwahudumia wananchi kwa kuwatatulia kero zao!
Niwaombe watanzania wenzangu tuungane kuwakemea wote wanaowakejeli viongozi wetu. Nia ya viongozi wetu ni safi. Kwa hiyo katika harakati za kutuhudumia hata ikitokea wakakosea kwa namna moja au nyingine tuwasamehe kwa moyo mweupe na tuwatie moyo maana ni kwa nia njema!
Kambi ya mafisadi na majipu tarajiwa ndio wako bize kwenye mitandao ya kijamii kuwakejeli viongozi wetu ili kuwavunja moyo na kuwakatisha taamaa. Chonde chonde Magufuli usikate tamaa! Majaliwa usikate tamaa! Songa mbele! We are very proud of you!
Dunia itatushangaa sana tusipoweza kufurahia huu uongozi wa sasa ambao ni adimu sana chini ya jua! Binafsi namshukuru sana Mungu kwa kujibu maombi ya watanzania waliokuwa wamekandamizwa na ufisadi kwa miongo kadhaa na kutuletea kiongozi shujaa asiyeogopa sura ya MTU! Hapa kazi tu! Mafisadi wanajiharishia!
16/07/2017 njoo na sifa hizi hizi
ila ukumbuke kambi kuu ya mafisadi iko ccm na majipu yote yako ukouko lumumba
Namkubali Magufuli, lakini its too early kumsifia sana
Kuna mambo anatoa amri lakini hakuna ufuatiliaji, kama suala la safari za nje bado lipo sana, suala la ukusanyaji kodi limerudi palepale anakusanya 1.04Tillion, wakati JK alikuwa anakusanya 950/990Billion tofauti ni ndogo sana kuliko nguvu iliyotumika
meaning bado watu wanaendelea kula kama mwanzo, hakuna ufuatiliaji!! the same old story
Hivi kinachokufanya uwe na chuki kiasi hiki kwa viongozi wetu ni nini? Kuna ubaya gani kumsifia kiongozi anayefanya vizuri?Sasa bado kitu kimoja kawatafute watoto wao uwafunge kamba za viatu. Usisahau kuwabeba hadharani
kinachoendelea sasa hiv ni drama kutokana na sifa znazomwagwa........matumaini yanakujaje ikiwa mikataba mibovu ya madini,gas,ujangili umewashinda,hajira no soln,.kubana haki za wananchi......matumaini yepi mkuu uliyonayo???Dunia itatushangaa sana tusipoweza kufurahia huu uongozi wa sasa ambao ni adimu sana chini ya jua