Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka akiba ya maneno mkuu...Ur one of the lowest IQ i have ever heard...!!
Wewe umesikia ukimsifia Mh. Rais utapata cheo, au nafasi ktk taasisi ya umma..!! Ur a crook..!! hupati kitu..!! Andika hata ufie kwenye keyboard... hupati kitu
Jifunzeni kujenga hoja msiweweseke hivooo!!!!Naanza kupata mashaka kuwa kuna watu anawatuma yeye mwenyewe kisha anawateua kuwa DED au DAS.
Maana hayo mnayoandika hata huko kwenye chama chake hawaamini hivyo kwani hata ukiitisha kura ya siri ya kutokuwa na imani na mwenyekigoda itapata zaidi ya 75%
Acha kuwewesekaa!!!!Umekosa kazi wewe
Akili yako ipo chini ya miguu yako!! Huwezi kufikiria mbele umeganda kimtazamoAcha kufikiri kwa kutumia makalio acha yafanye kaz yake,, aya wahi buku 2 yako Lumumba
Big up! Hata mm nimwambia jpm go. Go,gooo, usigeuke wataisha punde.Kila mtetea mafisadi, wala rushwa anajitahidi kujitokeza kumtisha Dkt Magufuli kwa kadri anavyoweza. Ila wasichokijua na kuwa Dkt Magufuli na serikali hawatishwi hata kidogo, ndiyo kumekucha kabisa, vita dhidi ya mafisadi na wala rushwa ndiyo vinashughulikiwa kwenda mbele na kila jiwe lazima lipinduliwe ili nchi irudi kwenye mstari wa uadilifu.
Mwl Nyerere aliwahi simulia hadithi akisema rais anapokuwa katangaza vita na mafisadi na wala rushwa watajitokeza wachache wa kumtisha, kwanza watapiga makelele HILOOO, HUYOOOO, baadaye wakiona hatishiki wataanza kusema CHINJA CHINJA. Sasa baada ya wapinzani kuona rais hatishiki, wamekuja na staili mpya, ila uzuri ktk ile hadithi ya Mwl Nyerere anasema kijana yule hakugeuka nyuma bali aliendelea na hatimaye kuleta ukombozi.
Nasisi tunasema Dkt Magufuli GO! GO! GO!
Asante sanaa mkuu achana na hawa wana propaganda wa ufipaWakati vyama vya siasa vikifukuta nakutafuta kick za kisiasa pitia genius wetu Dr Magufuli. Duniani na hasa mashirika yakijasusi kama cia kjb nk wamekuwa wakifuwatilia nyendo za utawala wake nakutaka kujuwa ikiwa kile wabaya wake wanakisema kinaukweli ama niuchungu wakuwa wameshikwa pabaya.
Habari za chini ya karpet zinaibuwa maswali magumu na mazito ktk idara hizi nyeti za usalama. Baada yakugunduwa Mh Magufuli sio rais tu ila yawezekana jina lake limekuwa moja ya majina yaliokuwa under cover kwa miaka mingi jambo limeshituwa uwezo wa idara zetu nyeti kuweza kumficha mtu wao mpaka anakuwa Rais.
Jambo lakushituwa nivile ameweza kuishika tanzania kwa mwaka mmoja kila kitu kikasimama pamoja namipango mizito kuangusha uongoz wake lakini mpaka sasa hakuna mtu ameweza. Uwezo wa kiongozi wa taifa kubwa kama Tz kuweza kumaster idara zake nyeti kiasi kila kitu sasa kipo wazi pale magogoni.
Rais wetu ameweza kukusanya taarifa za ndani na nje kuzichambuwa nakuzifanyia kazi ktk namna yakutisha sana.
Mtonyaji anasema hata viongoz wa mataifa makubwa hawafanyi kazi vile Rais wetu anafanya. Inasemekana mh Rais amekuwa akifanya kazi kwa masaa mengi akipitia kila taarifa na dokezo lipo mezani pake. Tofauti na viongoz waliopita huyu rais wetu amakuwa kitisho hata kwa watu wake wa karibu maana hajulikani anafanya kazi na nani na wakati gani. Amekuwa rafiki wa idara za kiusalama na amekuwa msikivu kufanyia kazi kila pendekezo toka idara hizi nyeti. Zito kuliko yote ni uwezo wake wakupitia vifungu kwa vifungu na kutolea mapendekezo. Uwezo wake wakukumbuka mambo nakufuwata utaratibu.
Ufuwatiliaji wake wa vitu ameubadilisha sana kiasi kwamba sasa hivi anapata taarifa hata yayule mfagizi wa mwisho ktk wizara.
Ama kwa hakika Mh Rais amekuwa kivutio cha dunia kiasi hata mataifa ya africa wanamtafuta kwa msaada.
Mkuu unajua watu wengu hufikiri kuwa watu wanaompinga mwenyekiti ni wazembe na wavivu au mafisadi. lkn ni nikinyume chao.Utakuta ata watu wanao takiwa wamshauri Rais wanaanza kusifu kwanza then ndio wa namshauri....yani taifa hili limetengeneza vijana wapuuzi, watu wa kujipendekeza wasio kuwa na maana.
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
ili aendelee kutopingwa duniani kote na kuzuia mikutano ya kisiasa kwa kukiuka katiba au una maana gani !Ndugu zangu wanaomwamini Mungu naomba tuungane siku ya Ijumaa na Jumamosi tuungane kwa kufunga ili tumuombee Rais wetu JPM ili Mungu ampe afya na nguvu za kuliongoza taifa letu.
Rais wetu anakubalika duniani kote kuliko unavyofukiri.Ili
ili aendelee kutopingwa duniani kote na kuzuia mikutano ya kisiasa kwa kukiuka katiba au una maana gani !