Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

kama kuna kupatwa kwa jua, mwezi ............mwenye waya huu kapatwa na nini?
 
Utakuta ata watu wanao takiwa wamshauri Rais wanaanza kusifu kwanza then ndio wa namshauri....yani taifa hili limetengeneza vijana wapuuzi, watu wa kujipendekeza wasio kuwa na maana.
 
Acha kufikiri kwa kutumia makalio acha yafanye kaz yake,, aya wahi buku 2 yako Lumumba
 
Ur one of the lowest IQ i have ever heard...!!

Wewe umesikia ukimsifia Mh. Rais utapata cheo, au nafasi ktk taasisi ya umma..!! Ur a crook..!! hupati kitu..!! Andika hata ufie kwenye keyboard... hupati kitu
Weka akiba ya maneno mkuu...
Uongozi huu hawa watu wa aina hii ndo wanaochukuliwa kwa wingi...
 
Naanza kupata mashaka kuwa kuna watu anawatuma yeye mwenyewe kisha anawateua kuwa DED au DAS.
Maana hayo mnayoandika hata huko kwenye chama chake hawaamini hivyo kwani hata ukiitisha kura ya siri ya kutokuwa na imani na mwenyekigoda itapata zaidi ya 75%
Jifunzeni kujenga hoja msiweweseke hivooo!!!!
 
Kila mtetea mafisadi, wala rushwa anajitahidi kujitokeza kumtisha Dkt Magufuli kwa kadri anavyoweza. Ila wasichokijua na kuwa Dkt Magufuli na serikali hawatishwi hata kidogo, ndiyo kumekucha kabisa, vita dhidi ya mafisadi na wala rushwa ndiyo vinashughulikiwa kwenda mbele na kila jiwe lazima lipinduliwe ili nchi irudi kwenye mstari wa uadilifu.

Mwl Nyerere aliwahi simulia hadithi akisema rais anapokuwa katangaza vita na mafisadi na wala rushwa watajitokeza wachache wa kumtisha, kwanza watapiga makelele HILOOO, HUYOOOO, baadaye wakiona hatishiki wataanza kusema CHINJA CHINJA. Sasa baada ya wapinzani kuona rais hatishiki, wamekuja na staili mpya, ila uzuri ktk ile hadithi ya Mwl Nyerere anasema kijana yule hakugeuka nyuma bali aliendelea na hatimaye kuleta ukombozi.

Nasisi tunasema Dkt Magufuli GO! GO! GO!
Big up! Hata mm nimwambia jpm go. Go,gooo, usigeuke wataisha punde.
 
Wakati vyama vya siasa vikifukuta nakutafuta kick za kisiasa pitia genius wetu Dr Magufuli. Duniani na hasa mashirika yakijasusi kama cia kjb nk wamekuwa wakifuwatilia nyendo za utawala wake nakutaka kujuwa ikiwa kile wabaya wake wanakisema kinaukweli ama niuchungu wakuwa wameshikwa pabaya.
Habari za chini ya karpet zinaibuwa maswali magumu na mazito ktk idara hizi nyeti za usalama. Baada yakugunduwa Mh Magufuli sio rais tu ila yawezekana jina lake limekuwa moja ya majina yaliokuwa under cover kwa miaka mingi jambo limeshituwa uwezo wa idara zetu nyeti kuweza kumficha mtu wao mpaka anakuwa Rais.
Jambo lakushituwa nivile ameweza kuishika tanzania kwa mwaka mmoja kila kitu kikasimama pamoja namipango mizito kuangusha uongoz wake lakini mpaka sasa hakuna mtu ameweza. Uwezo wa kiongozi wa taifa kubwa kama Tz kuweza kumaster idara zake nyeti kiasi kila kitu sasa kipo wazi pale magogoni.
Rais wetu ameweza kukusanya taarifa za ndani na nje kuzichambuwa nakuzifanyia kazi ktk namna yakutisha sana.
Mtonyaji anasema hata viongoz wa mataifa makubwa hawafanyi kazi vile Rais wetu anafanya. Inasemekana mh Rais amekuwa akifanya kazi kwa masaa mengi akipitia kila taarifa na dokezo lipo mezani pake. Tofauti na viongoz waliopita huyu rais wetu amakuwa kitisho hata kwa watu wake wa karibu maana hajulikani anafanya kazi na nani na wakati gani. Amekuwa rafiki wa idara za kiusalama na amekuwa msikivu kufanyia kazi kila pendekezo toka idara hizi nyeti. Zito kuliko yote ni uwezo wake wakupitia vifungu kwa vifungu na kutolea mapendekezo. Uwezo wake wakukumbuka mambo nakufuwata utaratibu.
Ufuwatiliaji wake wa vitu ameubadilisha sana kiasi kwamba sasa hivi anapata taarifa hata yayule mfagizi wa mwisho ktk wizara.
Ama kwa hakika Mh Rais amekuwa kivutio cha dunia kiasi hata mataifa ya africa wanamtafuta kwa msaada.
 
Inapendeza kama ataendelea hivi. Mkumbuke nyie mnashangilia huko ila kuna wengine wanalia kwa sbb ya kucheleweshwa kwa ajira mpya, kutokuwepo kwa fao la kujitoa na kupandishwa kwa kigezo cha mtu wa diploma kuingia chuon mpaka awe na GPA 3.5. Hawa nao sijui utawaita wazembe, au wavivu?
All in all hii nchi ya kwetu sote. Si lazima wote tufurahi
 
Ndiyo maana anateua na kutengua huku akitumbua nyama na kuacha majipu au kwa kutokuelewa au kwa kukurupuka
 
Wakati vyama vya siasa vikifukuta nakutafuta kick za kisiasa pitia genius wetu Dr Magufuli. Duniani na hasa mashirika yakijasusi kama cia kjb nk wamekuwa wakifuwatilia nyendo za utawala wake nakutaka kujuwa ikiwa kile wabaya wake wanakisema kinaukweli ama niuchungu wakuwa wameshikwa pabaya.
Habari za chini ya karpet zinaibuwa maswali magumu na mazito ktk idara hizi nyeti za usalama. Baada yakugunduwa Mh Magufuli sio rais tu ila yawezekana jina lake limekuwa moja ya majina yaliokuwa under cover kwa miaka mingi jambo limeshituwa uwezo wa idara zetu nyeti kuweza kumficha mtu wao mpaka anakuwa Rais.
Jambo lakushituwa nivile ameweza kuishika tanzania kwa mwaka mmoja kila kitu kikasimama pamoja namipango mizito kuangusha uongoz wake lakini mpaka sasa hakuna mtu ameweza. Uwezo wa kiongozi wa taifa kubwa kama Tz kuweza kumaster idara zake nyeti kiasi kila kitu sasa kipo wazi pale magogoni.
Rais wetu ameweza kukusanya taarifa za ndani na nje kuzichambuwa nakuzifanyia kazi ktk namna yakutisha sana.
Mtonyaji anasema hata viongoz wa mataifa makubwa hawafanyi kazi vile Rais wetu anafanya. Inasemekana mh Rais amekuwa akifanya kazi kwa masaa mengi akipitia kila taarifa na dokezo lipo mezani pake. Tofauti na viongoz waliopita huyu rais wetu amakuwa kitisho hata kwa watu wake wa karibu maana hajulikani anafanya kazi na nani na wakati gani. Amekuwa rafiki wa idara za kiusalama na amekuwa msikivu kufanyia kazi kila pendekezo toka idara hizi nyeti. Zito kuliko yote ni uwezo wake wakupitia vifungu kwa vifungu na kutolea mapendekezo. Uwezo wake wakukumbuka mambo nakufuwata utaratibu.
Ufuwatiliaji wake wa vitu ameubadilisha sana kiasi kwamba sasa hivi anapata taarifa hata yayule mfagizi wa mwisho ktk wizara.
Ama kwa hakika Mh Rais amekuwa kivutio cha dunia kiasi hata mataifa ya africa wanamtafuta kwa msaada.
Asante sanaa mkuu achana na hawa wana propaganda wa ufipa
 
Utakuta ata watu wanao takiwa wamshauri Rais wanaanza kusifu kwanza then ndio wa namshauri....yani taifa hili limetengeneza vijana wapuuzi, watu wa kujipendekeza wasio kuwa na maana.
Mkuu unajua watu wengu hufikiri kuwa watu wanaompinga mwenyekiti ni wazembe na wavivu au mafisadi. lkn ni nikinyume chao.
Hata mm nampenda sana Mwenyekiti, alipofanya vizuri na sifia na alipokosea lazima niseme.
Mm nampongeza kwa kupunguza rushwa, ufisadi, kuleta nidhamu ya kazi, elimu bure, kununua denge na kuhamia dodoma.
Lakini sitanyamaza nikiona kundi la vijana wapo mtaani hawana kazi, hasa walimu na madktari, pia kutokuwepo kwa fao la kujitoa. Ukumbuke kuna watu humu wanawashangilia lkn hao wanaoshangiliwa baada ya miaka mitano wanapewa fao lao lkn mm na ww tunaumia mtaani huku. Ww unafikiri kufikisha miaka 55 ni mchezo?
Vijana wa diploma GPA 3.5 kuifikisha siyo mchezo.
Tatizo la watanzania wengi ni wabinafsi sana, wanajifikiria wao wenyewe. Wakiona wao mambo yao yanaenda vizuri wanaanza kuwakashifu wengine, mara wamezoea kuiba na mengine mengi. Km ww mambo yako yanaenda vizuri basi mshukuru Mungu.
Basi tufanye hivi. Km ww unadai fao la kujitoa na ww ni fisadi, na mzembe, nenda ukafanye kazi. Au subiri mpaka ufikishe 55yrs.
Tuendelee kushangilia tu lkn mwisho wa siku tutajua wap pa kuanzia
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Rais John Magufuli angefanikiwa zaidi kama angeboresha haya:
1. Kukuza demokrasia, haki za binadamu na uhuru wa vyombo vya habari nchini
2. Kukubali kukosolewa
3. Kuruhusu bunge live
4. Kuhakikisha sheria zote mbaya (kandamizi) zinafayiwa marekebisho au zinafutwa kabisa
5. Kuhakikisha tunaanza mchakato wa katiba mpya inayotokana na maoni ya wananchi (kama yalivyowekwa vizuri na Tume ya Warioba) na kama kuna kuboresha yaboreshwe na siyo kuondolewa au kubadilishwa
6. Kuhakikisha kuna 'separation of powers' kwenye mihimili ya dola
7. Kuhakikisha tunakuwa na tume huru ya uchaguzi (kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba)
8. Kuhakikisha tunakuwa na uwiano karibu sawa wa wawakilishi wa wananchi bungeni
9. Haya na mengine yakifanyiwa kazi vizuri, Rais atakuwa amefanikiwa sana na kuandika historia mpya Tanzania!
 
Ndugu zangu wanaomwamini Mungu naomba tuungane siku ya Ijumaa na Jumamosi tuungane kwa kufunga ili tumuombee Rais wetu JPM ili Mungu ampe afya na nguvu za kuliongoza taifa letu.
 
Ili
Ndugu zangu wanaomwamini Mungu naomba tuungane siku ya Ijumaa na Jumamosi tuungane kwa kufunga ili tumuombee Rais wetu JPM ili Mungu ampe afya na nguvu za kuliongoza taifa letu.
ili aendelee kutopingwa duniani kote na kuzuia mikutano ya kisiasa kwa kukiuka katiba au una maana gani !
 
Back
Top Bottom