Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

saiv usawa upo,endelea kufinya baba magu ili tuwaze nje ya box,zaman unakuta dalali tu ana gari haaah haaah
 
Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji

Kwa sisi kuna tofauti sana ya Neno Mungu na mungu(God and gods). Neno hili mungu linamaanisha ni mbadala wa Mungu eg kama sanamu,miti,mapepo,shetani,majini nk. na Mungu linamaanisha Mungu muumba mbingu na nchi. sina maana ya kukuchanganya ulikuwa na maana ipi? mkuu.
 
hahahaha ile speed imeishia wapi ama nguvu ya soda ilikua hahaha ama kweli moto wa kifuu
 
Wana jf.

Salaam,
Mh Dr John Joseph Pombe Magufuli, wewe ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia madaraka yako ya kikatiba, Mh John pombe Magufuli ninakutunuku sifa za kuwa Rais bora wa Mwaka 2016,

Kutokana na mtindo wa uongozi wako wewe Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli maarufu JPM hasa katika kudhibiti matumizi ya serikali,kuboresha na kuimarisha nidhamu ya utendaji kwa watumishi wa umma na kudhibiti rushwa, ni wazi kabisa aina yake ya uongozi haijawahi kutokea kwa dhati ilivyo, mataifa mengi duniani yameanza kuiga mfano Nigeria nao wameanza kuhakiki watumishi hewa na jumla ya wafanyakazi hewa 24000 wamegundulika kati ya mwezi August na september,

Aidha nchini Rwanda wameanza kuangalia na kudhibiti safari za nje, pia nje ya Africa amepata pongezi kwa ubunifu huo wa aina yake ni dhahiri kwamba yeye ndio kinara katika mitindo hiyo hapana shaka ndiye Rais wa karne.
 
Wana jf
Salaam, wewe John Joseph Pombe Magufuli, wewe ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kutumia madaraka yako ya kikatiba, Mh John pombe Magufuli ninakutunuku sifa za kuwa Rais bora wa Mwaka 2016,

Kutokana na mtindo wa uongozi wako wewe Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli maarufu JPM hasa katika kudhibiti matumizi ya serikali,kuboresha na kuimarisha nidhamu ya utendaji kwa watumishi wa umma na kudhibiti rushwa, ni wazi kabisa aina yake ya uongozi haijawahi kutokea kwa dhati ilivyo, mataifa mengi duniani yameanza kuiga mfano Nigeria nao wameanza kuhakiki watumishi hewa na jumla ya wafanyakazi hewa 24000 wamegundulika kati ya mwezi August na september,

Aidha nchini Rwanda wameanza kuangalia na kudhibiti safari za nje, pia nje ya Africa amepata pongezi kwa ubunifu huo wa aina yake ni dhahiri kwamba yeye ndio kinara katika mitindo hiyo hapana shaka ndiye Rais wa karne.

Hongera yake kwa kuteuliwa kuwa Rais wa Karne!!Sifa na utukufu ziende kwake,amen
 
Magufuli for life,

Itabidi tubadili katiba ili agombee milele, maana tukiwaachia mafisadi chadema nchi tumekwisha

Sasa hivi wako bize kwa wazungu ulaya kujipendekeza na kuichafua nchi

Tumuombe na Mwenyezi Mungu ampe upendeleo,amuondolee hali ya umauti ili aishi milele ndipo ataweza kuwa mgombea wa milele kama unavyopendekeza iwe katika mabadiliko ya katiba itakayomfanya awe Rais wa milele!

Sifa na utukufu zi juu yake milele na milele,AMINA.

Content Manager hakukosea "kukufollow" nahisi hata yeye hana uhakika kama anayetumia ID hii(Lupyeee)ni mwanadamu wa kawaida,mzimu au msukule.
 
Back
Top Bottom