Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hana ubaya wowote, Tatizo ni chama kujifanya kikubwa kuliko Taifa,Wapendwa nawasalimu katika jina la Bwana Mungu.
Mimi katika maombi niliyonayo ya siku 40 namuombea raisi wangu Magufuli awe na msimamo huo huo, na namshukuru Mungu anasikia maombi yangu.
Nia aliyonayo ni nzuri xaanaaa ni kutufanya tuwe waadilifu kama Mungu apendavyoo.
Kwahiyo neno moja ninasema; Wote wanaoshindana naye hawatamshinda kwa kuwa Mwenyezi Mungu yuko upande wake. Aminaaa
Na neno lingine ni kwamba:
MUNGU AKIWA UPANDE WETU HAKUNA ATAKAYE JUUU YETU.
KWAKUWA NIA ALIYONAYO RAISI NI NZURI, BASI NA MUNGU YU JUU YAKE. AMINAA.
Ni mimi mtumishi wa Mungu Mwombaji. Amina
Kati ya uliyotaja hakuna analofanyaKwani nchi ilikuwa imepinda wapi kutumbua kwa kuzalilisha na kuvunja katiba hakutaleta mabadiliko yoyote bila kuwa na mipango madhubuti na telekezi.
Nimetafakari sana, nimegundua kuwa kwa hakika watanzania tulikuwa tunahitaji Rais kama Magufuli.
Ninachosikitika zaidi ni kwamba, baadhi ya watanzania wenzetu ama kwa makusudi au kwa kutokujua wanabeza kazi nzuri anazozifanya Rais wetu Magufuli na serikali yake.
Watanzania wengi walikuwa wanaimba MABADILIKO bila kujua gharama za hayo mabadiliko.
Binafsi naona haya ndiyo mabadiliko tuliyoyasubiri kwa miaka mingi sasa. Kimsingi huwezi kusema unafanya mabadiliko halafu ukabaki katika hali ile ile. Tunapotaka mabadiliko ya kiuchumi hatunabudi kujifunga mkanda kwanza ili kutengeneza miundombinu ya kiuchumi na hivyo kurahisisha maendeleo ya huo uchumi. Mimi naamini kuwa, kama tutakwenda kwa mwendo huu , kwa hakika baada ya miaka michache Tanzania itakuwa ni yenye maendeleo makubwa sana.
Naomba tumuunge mkono Rais wetu Magufuli ili kufikia malengo haya. MAENDELEO HAYAJI KAMA NDOTO.
hatuwezi kupata mabadiliko ya kweli kama CCM bado ipo madarakani.Nimetafakari sana, nimegundua kuwa kwa hakika watanzania tulikuwa tunahitaji Rais kama Magufuli.
Ninachosikitika zaidi ni kwamba, baadhi ya watanzania wenzetu ama kwa makusudi au kwa kutokujua wanabeza kazi nzuri anazozifanya Rais wetu Magufuli na serikali yake.
Watanzania wengi walikuwa wanaimba MABADILIKO bila kujua gharama za hayo mabadiliko.
Binafsi naona haya ndiyo mabadiliko tuliyoyasubiri kwa miaka mingi sasa. Kimsingi huwezi kusema unafanya mabadiliko halafu ukabaki katika hali ile ile. Tunapotaka mabadiliko ya kiuchumi hatunabudi kujifunga mkanda kwanza ili kutengeneza miundombinu ya kiuchumi na hivyo kurahisisha maendeleo ya huo uchumi. Mimi naamini kuwa, kama tutakwenda kwa mwendo huu , kwa hakika baada ya miaka michache Tanzania itakuwa ni yenye maendeleo makubwa sana.
Naomba tumuunge mkono Rais wetu Magufuli ili kufikia malengo haya. MAENDELEO HAYAJI KAMA NDOTO.
Umefuata mtu sio sera vijana hawawezi kuchukua ushauri wako.... kwa hyo magu akistaafu siasa si ina maana utahama tena ccm??Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.