Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 380
Pumba kumpongeza kwa mazuri aliyoyafanya ndugu yangu Wanjiru?Pumba tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba kumpongeza kwa mazuri aliyoyafanya ndugu yangu Wanjiru?Pumba tupu.
Hatuna chama wala kiongozi mbadala wa JPM au CCM. Hivyo CCM itaendelea kuongoza muda mrefu ujao mpaka vyama vyenye mtizamo wa ukanda an ukabila vitakapotoweka katika nchi yetu pendwa.Unajiuliza kama anatumia kufikiria kama binadam wengne, hawa ndo think tanks wetu ñyuma ya fake ID
Uchwara? Wewe sifu hutakiwi kuhoji kwani tunatakiwa kuishi kama Roboti!!Other side hii ni thread uchwara [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji119]
Jumapili hii braza, lazima kumtukuza King ,Emperor, president Magu.Kumtukuza imekaa vip mkuu?
Kwanini usimsifie omolo?Jumapili hii braza, lazima kumtukuza King ,Emperor, president Magu.
Nchi hii hivi sasa kuna watu wamejazwa kiburi wanahoji kila kitu!! Wewe tukuza tu. Sijajua kama tutaanza pia na kutoa sadaka!!Jumapili hii braza, lazima kumtukuza King ,Emperor, president Magu.
Omolo yupi? Magu kwanza mungu wetu.Kwanini usimsifie omolo?
Hapana bora nimtukuze aliyeishikilia pumzi yangu.Jumapili hii braza, lazima kumtukuza King ,Emperor, president Magu.
Nafikiri wewe ni MNAFIKI na unajua. Hii tabia ya watu kutokuwa wakweli ndio inayodidimiza nchi yetu, tunawapamba sana viongozi wetu kwa sifa zisizostahili.mtu yeyote anaekupinga unayoyafanya ni mnafiki anataka nchi ya rushwa irudi