Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Anaweza kuwa kiongozi, ila unapoongezea kuwahi kutokea na yeye kutamani kuongoza malaika uzi wote unatumbukia nyongo.
 
Tangu lini jiwe LIKAOMBEWA Mkuu!!! Inabidi uwe taahira ili kupoteza muda wako kuombea kitu ambacho hakina uhai, huwezi ukaongea nacho, hakishauriki kipo kipo tu! Jiwe limewekwa Ikulu yetu!!!! Maskini nchi yetu!!! Inaongozwa na JIWE!

Of all the things in this beautiful World ukajifananishe na JIWE!!!! Seriously!????? 😱😱😱

yeye ni JIWE kweli kweli.
NAWASHANGAA MNAOHANGAIKA KUMUOMBEA.
sijui mmerogwaaa?
 
Tangu lini jiwe LIKAOMBEWA Mkuu!!! Inabidi uwe taahira ili kupoteza muda wako kuombea kitu ambacho hakina uhai, huwezi ukaongea nacho, hakishauriki kipo kipo tu! Jiwe limewekwa Ikulu yetu!!!! Maskini nchi yetu!!! Inaongozwa na JIWE!
nimewashangaa sana wale viongozi wa dini.
mwenyewe ameshasema yeye ni JIWE
lakini watu hawaelewi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kiongozi Kweli ambaye hajawahi tokea na hatatokea kama Yeye
Cha msingi tumfanye awe mfalme ili atawale milele
Maana hakuna mtanzania mwenye akili kumzidi Yeye
 
h
kwa sisi wataalam wa psychology tunajua kuwa kwa kuanzisha tu uzi huu ni ishara tosha kwamba utafiti wako ulibaini jibu tofauti kabisa na.hili ulilo leta hapa
Yani kwanza kaaandika lugha gani hyo??
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Mleta mada vipi bado unamkubali au ushabadilisha msimamo asilimia 70 washabadilisha msimamo.
 
Poleni sana ambao nitawakwaza, Sawa mimi ni Mpinzani tena nina kadi
ambayo nimeilipia, lakini upinzani hauwezi kunifanya niwe Mnafiki na
kuuficha Ukweli.

Kipindi ambacho tuliteseka na kusaga meno hakuna aliyetujali, ni kipindi
ambacho Korosho ilikopwa na ikalipwa kwa awamu 3 mpaka 5, kilikuwa
ni kipindi kichungu sana sio tu CCM hata wapinzani wenzetu hawakuona
umuhimu wetu. Nikumbushe tu Tumewahi kukopwa Korosho na mpaka
leo hatujalipwa, wanaokumbuka wanakumbuka.....................

Leo wenzetu wengine naona munamsifia na kumpongeza Kikwete kuwa
alikuwa Bora, sawa ni haki yenu kwa sababu muliona manufaa yake.

Leo hii Tandahimba Tumemsimamisha Mbunge wa Upinzani Ndg. Katani A Katani
cha ajabu huyu ndiye Kinara wa ununuzi wa KANGOMBA tena mbaya zaidi ana
kashfa ya kununua korosho mbovu kutoka mkoa wa pwani....... sitaki kulizungumzia
hilo, wanaotuangusha na kutuletea matatizo kwa sasa ni viongozi wa vyama vya Msingi,
ushirika na viongozi wengine wa Halmashauri ambao wakibanwa vizuri matatizo
yatakwisha.......................... Mbunge wa CCM aliyepita ni mbovu, huyu wa upinzani hamna
kitu tena alikuwa na ushirikiano mkubwa kabisa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Mtwara ambaye muda huo alikuwa Kiongozi wa Chama kikuu cha ushirika. Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mtwara na Mbunge wa Tandahimba CUF wameshirikiana sana kutuhujumu

Rais Dr.John Pombe Magufuli umeanza vizuri sana kwenye zao hili la Korosho
najua sio mtu wa kuokea Ovyo Ripoti za Kupikwa, KANGOMBA inahusisha baadhi
ya Vigogo. Kuwa SERIOUS na eneo hili la KANGOMBA ndio kwenye chanzo cha
matatizo yote haya ambayo yamebaki.

WAKULIMA WA KOROSHO TUNAKUKUBALI SANA, kipindi chako kifupi mabadiliko ni
makubwa sana.
 
Hivi post za kijinga kama hizi kwann moods hamfuti. Kila siku kumsofia uyo jiwe. Nendeni sasa awapakate na awape na mimba kabisa.
Halafu kila siku mnalilia uhuru wa kujieleza lakini hamtaki wengine wajieleze.

Ninyi mkipewa madaraka mtakuwa zaidi ya hao mnaowapigia kelele.

Unakuta mtu analilia eti uhuru wa kujieleza halafu yeye akitoa hoja anatoa vitisho vya kuwapa ban wale wote hawakubaliani na hoja zake.

Lazima muelewe Uhuru wa kujieleza sio one way traffic.
 
hongereni nyie mwaka wenu huu sie tabora wakulima wa tumbaku ni majanga matupu tumbaku haiuziki ikiuzika ni kwa bei anayotaka mzungu hata dola moja haifiki
 
Angefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika

Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
 
Halafu kila siku mnalilia uhuru wa kujieleza lakini hamtaki wengine wajieleze.

Ninyi mkipewa madaraka mtakuwa zaidi ya hao mnaowapigia kelele.

Unakuta mtu analilia eti uhuru wa kujieleza halafu yeye akitoa hoja anatoa vitisho vya kuwapa ban wale wote hawakubaliani na hoja zake.

Lazima muelewe Uhuru wa kujieleza sio one way traffic.
Bora utu aseme ukweli na si mauwongo tu
 
Halafu kila siku mnalilia uhuru wa kujieleza lakini hamtaki wengine wajieleze.

Ninyi mkipewa madaraka mtakuwa zaidi ya hao mnaowapigia kelele.

Unakuta mtu analilia eti uhuru wa kujieleza halafu yeye akitoa hoja anatoa vitisho vya kuwapa ban wale wote hawakubaliani na hoja zake.

Lazima muelewe Uhuru wa kujieleza sio one way traffic.
Bora mtu aseme ukweli na si mauwongo tu
 
Back
Top Bottom