Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeye ni JIWE kweli kweli.
NAWASHANGAA MNAOHANGAIKA KUMUOMBEA.
sijui mmerogwaaa?
nimewashangaa sana wale viongozi wa dini.Tangu lini jiwe LIKAOMBEWA Mkuu!!! Inabidi uwe taahira ili kupoteza muda wako kuombea kitu ambacho hakina uhai, huwezi ukaongea nacho, hakishauriki kipo kipo tu! Jiwe limewekwa Ikulu yetu!!!! Maskini nchi yetu!!! Inaongozwa na JIWE!
nimewashangaa sana wale viongozi wa dini.
mwenyewe ameshasema yeye ni JIWE
lakini watu hawaelewi.
"You have a freedom of speech but freedom after speech I can't guarantee" Idd AminUhuru wa kusifia huo upo mwingiii jaribu kuponda uone
Yani kwanza kaaandika lugha gani hyo??h
kwa sisi wataalam wa psychology tunajua kuwa kwa kuanzisha tu uzi huu ni ishara tosha kwamba utafiti wako ulibaini jibu tofauti kabisa na.hili ulilo leta hapa
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Halafu kila siku mnalilia uhuru wa kujieleza lakini hamtaki wengine wajieleze.Hivi post za kijinga kama hizi kwann moods hamfuti. Kila siku kumsofia uyo jiwe. Nendeni sasa awapakate na awape na mimba kabisa.
Bora utu aseme ukweli na si mauwongo tuHalafu kila siku mnalilia uhuru wa kujieleza lakini hamtaki wengine wajieleze.
Ninyi mkipewa madaraka mtakuwa zaidi ya hao mnaowapigia kelele.
Unakuta mtu analilia eti uhuru wa kujieleza halafu yeye akitoa hoja anatoa vitisho vya kuwapa ban wale wote hawakubaliani na hoja zake.
Lazima muelewe Uhuru wa kujieleza sio one way traffic.
Bora mtu aseme ukweli na si mauwongo tuHalafu kila siku mnalilia uhuru wa kujieleza lakini hamtaki wengine wajieleze.
Ninyi mkipewa madaraka mtakuwa zaidi ya hao mnaowapigia kelele.
Unakuta mtu analilia eti uhuru wa kujieleza halafu yeye akitoa hoja anatoa vitisho vya kuwapa ban wale wote hawakubaliani na hoja zake.
Lazima muelewe Uhuru wa kujieleza sio one way traffic.