Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwani tumemshika mkia....si aendelee na juhudi zake...!!! Yaani li mtu lina wakuu wa mikoa..wa wilaya...mawaziri..jeshi loteee...harafu linasema tuliache lifanye maendeleo kwani limeshikwa na nani!?
 
Mleta uzi hongera, lakini kila mtu hisia zake na ni ngumu kumbadilisha.

Kuna mtu hampendi Magufuli, hata afanyaje atamchukia tu na Ana sababu zake.

Haiwezekani kushawishi watu wampende, tunatofautiana
 
Mh Rais na mpongeza kwa kusema ukweli, hapo Morogoro juzi, kuhusu hili la viongozi kuwadhulumu/kuwaibia wananchi. Hapepesi macho anawapa za uso tu.

Sina hakika kwamba wananchi wa hali ya chini wanajua kwamba Mungu kawaletea mtetezi. Wanachotakiwa ni kumuunga mkono na kumpa/kumtia moyo tu mh Rais ili awafanyie kazi. Kwa maneno yake mnyewe, " sitawangusha" Mimi binafsi sijaitilia shaka dhamira yake njema kwa nchi hii. Anaitimiza vipi dhamira hii? Tumuunge mkono na kumpa moyo.
 
umeona na kusikia a concerted effort ya kum disgrace Rais Magufuli.

Nchi za Magharibi zimepanic, umasikini wa kiviwanda utapotea karibuni.

Magufuli anaweka misinginya miundombinu kwa uchumibwa viwanda.

Umeme wa Stieglers Gorge~2100MW

SGR~Usafiribwa malighafi na mazao ya biashara

Bomba la mafuta~tutafaidika na mafuta ya Uganda

Air Tanzania~biashara ya utalii kuongezeka

Watu wa nje kupiga vita juhudi hizi ni kujipotezea muda.

Mwalimu aliacha legacy ya Kidatu, Mtera, viwanda vya ngio na korosho.
Magufuli vivyo, umeme wa Stieglers Gorge na SGR ni tosha kabisa.

Kwa mtaji wa maendeleo haya, kina The Economist watalia sana.

Mimi nakubaliana na wewe kuwa JPM alianza vizuri na yote haya uliyoandika Kama ushahidi wa mafanikio yake nayakubali. Shida ninayopata na JPM ni staili yake ya utawala; kwani yote hayo yasingepatikana bila kupoteza uhai wa watu? Kama anahisi watu wapo wanaojaribu kuhatalisha juhudi za kuleta maendeleo kwanini asiwachukulie hatua za kisheria na badala yake wanapigwa risasi na kupotea? Haiwezekani rais wa nchi asijue wahusika ambao walitaka kumuua Tundu Lissu ili hali mwenyewe kasema kuwa huyu bwana alikuwa upande wa wazungu katika sakata la MAKINIKIA!!

Sikubaliani na JPM pale anapoona kuwa yeyote mwenye mawazo tofauti na yeye ni adui [a'la Donald Trump] na hivyo ndivyo anavyowafanyia wanachama wa vyama vya upinzani; mashindano ya kisiasa yawe kwa hoja na sio mabavu ya kutumia polisi kukandamiza haki za kikatiba za wananchi!! Kotofautiana kwa hoja ndio huleta maendeleo katika nchi na huko huleta jamii kuwa huru katika mawazo na matendo yao.

JPM anaweza kufanikisha ajenda yake ya kuleta maendeleo kwa kutumia busara tu sio mabavu. Ni lazima ajue kuwa yeye ni RAIS wa WaTANZANIA wote na sio wa watu wa kanda ya ziwa tu na nilazima ajue kuheshimu katiba. Ni muhimu pia atambue kuwa mihimili ya MAHAKAMA na BUNGE ipo kwa mujibu wa katiba na uhuru wao uheshimiwe!
 
Umesema vizuri ila kuirudisha nchi katika mstari baada ya uongozi wa kimisheni taoni si lelemama.

Mkuu sijaelewa ni nini unamaanisha...... Kwanj hizo ahadi zake tumezishikilia mpaka asizitekeleze?? Hivyo viwanda anavyovitaja(kiwanda alichotekeleza ni kile tu cha ufyatuaji na wake zetu) kuna watu wanaokataa ajira??
 
Lazima walie sana, maana hao wazungu wanatudai pesa mingi sana, Je tutaweza zilipa?
Kuna wazungu wanataka daima tuwe tegemezi.
Mfano wa mradi wa Stieglers Gorge utawaumbua.
Wanaleta vijenereta vyao na kutudai hata kama havitumiki.
Na hao ndo wanawatumia magazeti kutyshambulia kwa maneno, walizoea kuhonga Serikali nzima kwa mfanonwa Escrow.
Sasa wanaumbuka.
 
Mleta uzi hongera, lakini kila mtu hisia zake na ni ngumu kumbadilisha.

Kuna mtu hampendi Magufuli, hata afanyaje atamchukia tu na Ana sababu zake.

Haiwezekani kushawishi watu wampende, tunatofautiana
Hali kadhalika kuna watu haampendi Lissu na Mbowe hata wafanye mazuri kiasi gani kwao ni maadui tu
 
Wanahubiri wasiyoyatenda hata wao, watuache na rais wetu as Tanzania is not the property of America
 
Mh Rais na mpongeza kwa kusema ukweli, hapo Morogoro juzi, kuhusu hili la viongozi kuwadhulumu/kuwaibia wananchi. Hapepesi macho anawapa za uso tu.

Sina hakika kwamba wananchi wa hali ya chini wanajua kwamba Mungu kawaletea mtetezi. Wanachotakiwa ni kumuunga mkono na kumpa/kumtia moyo tu mh Rais ili awafanyie kazi. Kwa maneno yake mnyewe, " sitawangusha" Mimi binafsi sijaitilia shaka dhamira yake njema kwa nchi hii. Anaitimiza vipi dhamira hii? Tumuunge mkono na kumpa moyo.
hivi hao watanzania wanyonge wamefaidika na nini mpaka sasa?
 
Wajinga wengi mno
 
Tumeona na kusikia a concerted effort ya kum disgrace Rais Magufuli.

Nchi za Magharibi zimepanic, umasikini wa kiviwanda utapotea karibuni.

Magufuli anaweka misinginya miundombinu kwa uchumibwa viwanda.

Umeme wa Stieglers Gorge~2100MW

SGR~Usafiribwa malighafi na mazao ya biashara

Bomba la mafuta~tutafaidika na mafuta ya Uganda

Air Tanzania~biashara ya utalii kuongezeka

Watu wa nje kupiga vita juhudi hizi ni kujipotezea muda.

Mwalimu aliacha legacy ya Kidatu, Mtera, viwanda vya ngio na korosho.
Magufuli vivyo, umeme wa Stieglers Gorge na SGR ni tosha kabisa.

Kwa mtaji wa maendeleo haya, kina The Economist watalia sana.
Kiongozi wa malaika sasa sijui malaika gani hapo ndio napata shida
 
hivi hao watanzania wanyonge wamefaidika na nini mpaka sasa?

Sasa kama wewe sio kati ya hao wanyonge utajuaje walichofaidi haikuhusu hata hivyo. Fika hata hapo Muhimbili unoe malofa wa nchi hii wanavyoshea wodi na vipimo na waheshimiwa sana. Enzi zile waheshimiwa kupimwa kilichomsababishia kuvimbiwa/rwa anapelekwa Apollo India.
 
hayo ndo maendeleo?
pole sana.
 
Back
Top Bottom