DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Una stressNenda kwenye msib@ mwenzk blal Nenda kawafariji wafiwa hko
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una stressNenda kwenye msib@ mwenzk blal Nenda kawafariji wafiwa hko
Ova
Wewe kama upigwi pumbu uko mtaani kwenu basi hakuna wanaume.Kwa hiyo una maana jf ni tawi la ufipa acha kuota!
Tetesi ni kwamba aliyetumwa na Mungu kuwaokoa watanzania anahujumiwa.Sasa hapo tetesi ni ipi?!
Acha ujinga wako. Umeanza kuweweseka.Taifa langu Tanzania umemkosa nin Mungu?
Mbona huwoni wala husikii?
Ulitakaa nabii toka juu aje akwambie huyu mlie nae sasa ndie Mussa wenu na mkimsikiliza mtafika nchi ya ahadi?
Tanzania yangu umeficha kichwa mchangani nakujianya humuoni alie tumwa kumuokoa?
Mbona mnamuhujumu basi tazama machozi yake yatawafanya nyote mlie nakuomboleza maana mmeshindwa kitambuwa alama za nyakati.
Msikilizeni mpendeni maana baada yake hapatokuwepo kiongozi kama huyu kwa muda mrefu.
Kama hujuwi subiri uone.
Mungu yupi aliyemtuma? Muhuni tuTetesi ni kwamba aliyetumwa na Mungu kuwaokoa watanzania anahujumiwa.
Hata wapambe wa Mzee Mwinyi, Kikwete na Mkapa walisema hayo hayo. Tutapata nafuu sana akiondoka na nchi itanemeeka mara dufu.Taifa langu Tanzania umemkosa nin Mungu?
Mbona huwoni wala husikii?
Ulitakaa nabii toka juu aje akwambie huyu mlie nae sasa ndie Mussa wenu na mkimsikiliza mtafika nchi ya ahadi?
Tanzania yangu umeficha kichwa mchangani nakujianya humuoni alie tumwa kumuokoa?
Mbona mnamuhujumu basi tazama machozi yake yatawafanya nyote mlie nakuomboleza maana mmeshindwa kitambuwa alama za nyakati.
Msikilizeni mpendeni maana baada yake hapatokuwepo kiongozi kama huyu kwa muda mrefu.
Kama hujuwi subiri uone.
Sio kwamba misaada inagoma ??? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]*Rais Magufuli ameonyesha ukomavu wa kisiasa*
Na Emmanuel J. Shilatu
Rais Magufuli anaendelea kuifanya Tanzania kuwa bora zaidi kama awali kwa kuenzi misingi iliyoasisiwa na waasisi wetu Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Karume ya kuishi kwa umoja pasipo kuangalia rangi, dini, kabila wala itikadi.
Licha ya kwamba Watanzania wameanza ka tabia ya kubeza na kutaka kubomoa misingi imara ya kuishi kama ndugu kutokana tu na kumezwa zaidi na masuala ya kiitikadi jambo ambalo Rais Magufuli anajitahidi sana kuturudisha kwenye misingi.
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani amekuwa akiwateua Wapinzani kwenye nafasi mbalimbali kwenye Serikali yake. Mfano alimteua Augustine L. Mrema wa TLP kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Prof. Kitila Mkumbo wa ACT Wazalendo ambaye sasa ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Anna Mgwhira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro n.k
Kama haitoshi amekuwa akipeleka maendeleo kwenye majimbo na kata zinazoongozwa na Wapinzani na hata kwenye maeneo aliyokosa kura pasipo ubaguzi wala upendeleo. Huyo ndio Dk. Magufuli, Rais wa Watanzania.
Rais Magufuli hakuishia hapo tu ameendelea kuonyesha ukomavu na moyo wa kipekee kwa kutoa msamaha wa kifungo kwa Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyekuwa akitumikia kifungo cha miezi 5 jela ikiwa ni mwezi mmoja kabla ya kukamilisha adhabu ya kifungo chake.
Rais Magufuli alitoa msamaha huo mnamo April 26, 2018 katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanzania yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma.
Rais Magufuli amempa msamaha 'Sugu' pasipo kujali tusi alilotukanwa nae wala kuweka kinyongo cha mkomoeni kwa 'Sugu' kwa kuweka pembeni mambo ya kisiasa na matusi anayotukanwa.
Kitendo cha kumsamehe 'Sugu' kunaonyesha kiwango cha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa aliouonyesha Rais Magufuli ambao sisi Watanzania yatupasa tuuige ili kuijenga na kuipa heshima kubwa nchi yetu kitaifa na kimataifa.
Kama kiongozi wetu mkubwa wa nchi, Rais Dk. Magufuli hatubagui kwa misingi ya kiitikadi, iweje sisi Watanzania tubagueni kwa misingi ya kiitikadi? Inawezekana baadhi yetu tusiyaone haya mema ya mfano wa kuigwa yanayofanywa na Rais Magufuli.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni Rais Magufuli anajitahidi sana kuleta, kujenga umoja na mshikamano nchini kama ulivyoasisiwa na kujengwa na waasisi wetu. Hongera sana Rais Dk. Magufuli.
*Shilatu E.J*
Mwongo mkubwa. Sugu hajasamehewa na rais*Rais Magufuli ameonyesha ukomavu wa kisiasa*

Uko sahihi ila aaache chuki kwa wakosoaji na wapinzani mpaka kupigana risasi ,kutekana, kuwakamata kamata ovyo ovyo.Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.