Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Taifa langu Tanzania umemkosa nin Mungu?
Mbona huwoni wala husikii?
Ulitakaa nabii toka juu aje akwambie huyu mlie nae sasa ndie Mussa wenu na mkimsikiliza mtafika nchi ya ahadi?
Tanzania yangu umeficha kichwa mchangani nakujianya humuoni alie tumwa kumuokoa?
Mbona mnamuhujumu basi tazama machozi yake yatawafanya nyote mlie nakuomboleza maana mmeshindwa kitambuwa alama za nyakati.
Msikilizeni mpendeni maana baada yake hapatokuwepo kiongozi kama huyu kwa muda mrefu.
Kama hujuwi subiri uone.
 
Ole wake yeye ajitengenezeaye sanamu na kuibabudu, maana nichukizo kwa Mungu aliye Hai

Bwana Mungu asema, heri yule ajishushae na kuwapenda walio wake bila kuwasababishia mateso. Haki, amani na upendo nikutenda mapenzi ya Mungu, Bali mauwaji, mateso na manyanyaso kwa raia wake ni laana kwake.

Ole, waja kwa yule anaejiita, malaika, anayelazimisha kutukuzwa na kusahau mapenzi ya Mungu maana laana itakuwa juu yake na vizazi vyake.
 
Taifa langu Tanzania umemkosa nin Mungu?
Mbona huwoni wala husikii?
Ulitakaa nabii toka juu aje akwambie huyu mlie nae sasa ndie Mussa wenu na mkimsikiliza mtafika nchi ya ahadi?
Tanzania yangu umeficha kichwa mchangani nakujianya humuoni alie tumwa kumuokoa?
Mbona mnamuhujumu basi tazama machozi yake yatawafanya nyote mlie nakuomboleza maana mmeshindwa kitambuwa alama za nyakati.
Msikilizeni mpendeni maana baada yake hapatokuwepo kiongozi kama huyu kwa muda mrefu.
Kama hujuwi subiri uone.
Acha ujinga wako. Umeanza kuweweseka.
 
Hata wapambe wa Mzee Mwinyi, Kikwete na Mkapa walisema hayo hayo. Tutapata nafuu sana akiondoka na nchi itanemeeka mara dufu.
 
Sio Tanzania yote!
Tuko tunaojitambua na tumeshafika Kanani!
Kina Kaleb naYoshua, tupo!
Mwenye Enzi Mungu yuko nasi milele hawezi tuacha tuangamie hata mara moja!
 
*Rais Magufuli ameonyesha ukomavu wa kisiasa*

Na Emmanuel J. Shilatu

Rais Magufuli anaendelea kuifanya Tanzania kuwa bora zaidi kama awali kwa kuenzi misingi iliyoasisiwa na waasisi wetu Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Karume ya kuishi kwa umoja pasipo kuangalia rangi, dini, kabila wala itikadi.

Licha ya kwamba Watanzania wameanza ka tabia ya kubeza na kutaka kubomoa misingi imara ya kuishi kama ndugu kutokana tu na kumezwa zaidi na masuala ya kiitikadi jambo ambalo Rais Magufuli anajitahidi sana kuturudisha kwenye misingi.

Tangu Rais Magufuli aingie madarakani amekuwa akiwateua Wapinzani kwenye nafasi mbalimbali kwenye Serikali yake. Mfano alimteua Augustine L. Mrema wa TLP kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Prof. Kitila Mkumbo wa ACT Wazalendo ambaye sasa ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Anna Mgwhira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro n.k

Kama haitoshi amekuwa akipeleka maendeleo kwenye majimbo na kata zinazoongozwa na Wapinzani na hata kwenye maeneo aliyokosa kura pasipo ubaguzi wala upendeleo. Huyo ndio Dk. Magufuli, Rais wa Watanzania.

Rais Magufuli hakuishia hapo tu ameendelea kuonyesha ukomavu na moyo wa kipekee kwa kutoa msamaha wa kifungo kwa Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyekuwa akitumikia kifungo cha miezi 5 jela ikiwa ni mwezi mmoja kabla ya kukamilisha adhabu ya kifungo chake.

Rais Magufuli alitoa msamaha huo mnamo April 26, 2018 katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanzania yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma.

Rais Magufuli amempa msamaha 'Sugu' pasipo kujali tusi alilotukanwa nae wala kuweka kinyongo cha mkomoeni kwa 'Sugu' kwa kuweka pembeni mambo ya kisiasa na matusi anayotukanwa.

Kitendo cha kumsamehe 'Sugu' kunaonyesha kiwango cha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa aliouonyesha Rais Magufuli ambao sisi Watanzania yatupasa tuuige ili kuijenga na kuipa heshima kubwa nchi yetu kitaifa na kimataifa.

Kama kiongozi wetu mkubwa wa nchi, Rais Dk. Magufuli hatubagui kwa misingi ya kiitikadi, iweje sisi Watanzania tubagueni kwa misingi ya kiitikadi? Inawezekana baadhi yetu tusiyaone haya mema ya mfano wa kuigwa yanayofanywa na Rais Magufuli.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni Rais Magufuli anajitahidi sana kuleta, kujenga umoja na mshikamano nchini kama ulivyoasisiwa na kujengwa na waasisi wetu. Hongera sana Rais Dk. Magufuli.

*Shilatu E.J*
 
Wewe ni kilaza na una njaa mbaya! Magufuli alishinikiza Sugu kufungwa, halafu anajidai kumpa msamaha ili apate kkiki ya kisiasa wewe unaleta za kuletwa hapa! Kanjanja kweli! Rais kajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Sio kwamba misaada inagoma ??? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Aisee kutawala wajinga kama wewe raha sana
 
Mwongo mkubwa. Sugu hajasamehewa na rais
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Akimkaribisha sugu ikulu kama alivyowakaribisha wale wabakaji baada ya msamaha ndiyo nitaamini
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Uko sahihi ila aaache chuki kwa wakosoaji na wapinzani mpaka kupigana risasi ,kutekana, kuwakamata kamata ovyo ovyo.
 
Wananchi walio wengi ambao ambao hawaijui wala kushabikia siasa za mitandaoni wana imani kubwa na serikali ya chama cha mapinduzi.

Ushaidi ni namna rais anavyosimamishwa wakati wote akiwa ziarani

Wananchi walio wanyonge kama Mimi tuna imani na kwa hakika serikali chini ya chama
Imara inatatua kero zetu nyingi.

Kasoro hazikosekana maana kwenye wengi pana mengi,ila juhudi zinaonekana.

Rome haikujengwa siku moja.
Tujenge nchi kwa kasi.

Na kwa namna wananchi walivyo onesha mapenzi kwa chama ktk uchaguzi mdogo Wa madiwani na ubunge hivi karibuni.

Naomba Mungu atuweke 2020.
 
Back
Top Bottom