radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Kabisa kabisa
Magufuli oyeeeee
Wenye wivu mji...
Ha ha haaaa
Najuaga haya mambo yapo kwa wakina msukuma na lusinde kumbe hadi nje ya ile nyumba ya dodoma mpo hivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kabisa
Magufuli oyeeeee
Wenye wivu mji...
Ha ha haaaa
Nimekuuliza swali, sijakuuliza uniulize kama umeniuliza swali!Nimekuuliza swali, sijakuuliza uniulize swali.
Mjenga anadai Magu angekuwa Rais since 1995, singojr anajibu kuwa kwanini isiwe 1961 kama jamaa ameamua kujitoa akili, mimi nikachagiza kuwa Magufuli amezaliwa 1959 (wakati huo ana miaka 2). UPOPOMA wangu huko wapi hapa bro?Baki na ujinga wako, hata kufikiri hutaki kufikiri.
Kwa kukusaidia tu wewe popoma, kigezo cha umri kilikuwa bado hakijatimia, wakati huo alikuwa ana umri wa miaka 36.
Najuaga haya mambo yapo kwa wakina msukuma na lusinde kumbe hadi nje ya ile nyumba ya dodoma mpo hivyo hivyo.
Duuuhh, ''Fikiri kabla ya kutenda"Mjenga anadai Magu angekuwa Rais since 1995, singojr anajibu kuwa kwanini isiwe 1961 kama jamaa ameamua kujitoa akili, mimi nikachagiza kuwa Magufuli amezaliwa 1959 (wakati huo ana miaka 2). UPOPOMA wangu huko wapi hapa bro?
Duuuhh, ''Fikiri kabla ya kutenda"
Natengua kauli mkuu.
Nilikuelewa vibaya, ulipotaja mwaka wake wa kuzaliwa nilikuelewa kuwa unamaanisha mwaka 1995 ndio angekuwa na sifa ya kuwa rais kwa kigezo cha umri. Ndio maana nikakuuliza ''nini kilishindikana" kwa sababu akilini mwangu nilijua alikuwa bado hajafikisha umri wa kuwa Rais kwa mjibu wa Katiba.
Kumbe wewe ulikuwa ulikuwa unampinga yule uliyemjibu na ndio ulikuwa unapingana na hoja ya kuwa Rais toka mwaka 1995 kama mimi.
Niwie radhi mkuu, nisamehe sana!!!
Nakuunga mkono mkuu,ila binafsi ningependa wahujumu wote washuhulikiwe bila huruma,naona kama kasi ni ndogo sana.Inakuaje mpaka leo hatujasikia yeyote aliyefungwa kwa uhujumu uchumi?I don't understand what is happening.Yaani wanatumbuliwa tu halafu wanaachwa watambe mtaani! Hapana, hatutakuwa tumefanya kitu.Washuhulikiwe hawa, ili iwe fundisho kwa wengine.Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Ha ha haaaaa
Mimi ya mjengoni siyajui.. mie raia kama wewe.. sawa.
Safi sana kijana tupo pamojabila shaka kikwete and co wanajisikia vibaya sana kuona jamaa anavyo wa-prove wrong ktk utendaji wao.nina shaka hao ndio watakuwa wa kwanza kupanga mikakati ya kishetani ya kummaliza.magufuli my president be extra carefully.
Location???Na wewe mwenye akili nusu kwa taarifa ni kwamba Magufuli amezaliwa 29 Octoba, 1959!