Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afute KKKT na RC Na apige marufuku mitandao yote ya kijamii Na vyama vyote vya upinzani. Nchi itakuwa lainiiiiiiPolitics of phenomenom.
Wanasiasa na malofa ya akili yameishiwa hoja yamebaki na siasa za uzushi zisizo na tija.
Mr President JPM anasonga mbele 2020 mtatoka vichwa mnainamisha chini.
Shida ya kuongozwa na Madj ndio hiyo wenzenu wanaweka maprofesa na ma Dr.
Uliza zile za mwenye chama kwanza bil 2. Hizo 1.5 trilloon ndio hizo cheap political gossips na hazitawasaidia kitu. Mnaenda na maji kweupeee 2020. Tutawaonyesha kazi kwenye udiwani mpate kukuimbia uchaguzi mkuuUzushi uko wapi hapo??
Je mathalani pesa trillion 1.5 hazijapotea katika mazingira ya kutatanisha??
Tuelezeni ziko wapi pesa trillion 1.5 ambazo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii. OVA
Itakuvutia wapi wakati sijaandika kumsifia Mbowe au kuikashifu serikali? Mimi simjengi Magufuli kwenye Jf mlipojazana vyeti feki na makorokoro aliyeyafagia Mr President.Kuna jinsi ya kuandika post ikavutia na kumjenga unayemsifia... Huu ulioandika ni upuuzi na umemharibia kijuha mno
Sasa tunaposema trillion 1.5 pesa za walipa kodi wa nchi hii ziko wapi, wewe unaita cheap politics!Uliza zile za mwenye chama kwanza bil 2. Hizo 1.5 trilloon ndio hizo cheap political gossips na hazitawasaidia kitu. Mnaenda na maji kweupeee 2020. Tutawaonyesha kazi kwenye udiwani mpate kukuimbia uchaguzi mkuu
Mngeanza kujibu bilioni mbili ya kuuza chama kwa fisadiSasa tunaposema trillion 1.5 pesa za walipa kodi wa nchi hii ziko wapi, wewe unaita cheap politics!
Jaribu kuimagine ni wafungwa wangapi wako jela kwa vijikosa vidiogo vidogo tu, mathalani kwa wizi wa kuku??
Sasa Inakuwaje kwa hawa majizi makubwa wa trillion 1.5 za walipa kodi wa nchi, watembee bila kuguswa na vyombo vya sheria??
Ndio hapo tunawaita nyumbu na malofa wa akili. Wale wanaokimbiza mwenge wa Olympic vipi? Hauna faida?Mkuu ukiona Prof na Dr anaamini mwenge unaleta maendeleo basi ujue hapo taifa lina kazi. Sasa kama utaratibu tu wa kufanya usafi kila mwezi umewashinda hapo unatarajia kuna jipya? Ww gumboots zako na koti la kufanyia usafi kumuunga mkono rais umetupa wapi, au uchafu uliisha? 1.5t ukweli unaanza kujongea taratibu.
Wamebaki kubadili style za ndevu tuuItakuvutia wapi wakati sijaandika kumsifia Mbowe au kuikashifu serikali? Mimi simjengi Magufuli kwenye Jf mlipojazana vyeti feki na makorokoro aliyeyafagia Mr President.
Kwa taarifa ya ninayemsifia anajijenga mwenyewe kwa ufanisi mkubwa wa kutetea rasilimali zetu,kupambana na kupe mliokuwa mnanyonya taifa hili, vyeti feki nk.
Nyie mmebaki na malipo ya cheap political gossips zisizo na tija.
Kwa upumbavu wenu ningeandika Mbowe kanya mavi ya blue ingewavutia wengi majuha na malofa ya akili
Ndio hapo tunawaita nyumbu na malofa wa akili. Wale wanaokimbiza mwenge wa Olympic vipi? Hauna faida?
Mwenge wa uhuru safari hii umefungua zahanati kijijini kwenu kwani baba yako na mama yako walikuwa wanajitibu kwa mkojo wa nguruwe sasa watapata dawa na ushauri wa wataalam wa afya.
Sio uongo kazi ipo kweli kutoka kujitibu na mkojo wa punda hadi kutumia antibiotic na kupona bado unaona antibiotic si dawa
Hujui kwamba Mwenge unafungua miradi binafsi?Ndio maana nakuambia akili za mwenge ni shida sana. Kuna hospital na vituo mbalimbali vya afya vya watu binafsi na tunapata huduma za matibabu, nazo ni matokea ya mwenge? kwakuwa ww umezaliwa na kukulia kijijini kwenye huduma mbovu za afya, unadhani kila mmoja hapa mzazi wake kakulia huko.
Hujui kwamba Mwenge unafungua miradi binafsi?Ndio maana nakuambia akili za mwenge ni shida sana. Kuna hospital na vituo mbalimbali vya afya vya watu binafsi na tunapata huduma za matibabu, nazo ni matokea ya mwenge? kwakuwa ww umezaliwa na kukulia kijijini kwenye huduma mbovu za afya, unadhani kila mmoja hapa mzazi wake kakulia huko.
Itakuvutia wapi wakati sijaandika kumsifia Mbowe au kuikashifu serikali? Mimi simjengi Magufuli kwenye Jf mlipojazana vyeti feki na makorokoro aliyeyafagia Mr President.
Kwa taarifa ya ninayemsifia anajijenga mwenyewe kwa ufanisi mkubwa wa kutetea rasilimali zetu,kupambana na kupe mliokuwa mnanyonya taifa hili, vyeti feki nk.
Nyie mmebaki na malipo ya cheap political gossips zisizo na tija.
Kwa upumbavu wenu ningeandika Mbowe kanya mavi ya blue ingewavutia wengi majuha na malofa ya akili
Hujui kwamba Mwenge unafungua miradi binafsi?
Bado miaka miwili tu ahitimishe miaka mi5, vipi Tanzania ya uchumi wa kati 2020 inaiona ipo?Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Hadi sasa hakuna hata moja kati ya uliyo orodhesha alilofanikiwatutampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini
Vipi tumefika wapi na hizo siasa za maigizo ya kipindi kileAisee huyu bwana ni MOTO!, anapiga kazi ni balaaa! hata mihimili mingine ikiwa na 'MIND SET' YA "HAPA KAZI TU" nchi hii tutaenda kwa kasi ya ajabu!
Sahv kwishnei kiki zimemuishiaKwa utendaji huu!
Habari ya mjini ni Magufuli!!