Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Yes, thatz why therez HEAVEN and LAND. It seems that you know that term ANALYSIS by only writing and not otherwise!
 
Kichwa cha habari tu kimetosha kunichefua kama nikweli usemalo kwanini katoa bunge live na mikutano yasiasa basiingekuwa kila baada ya mwaka anaficha nini tusijuwe watz angalau ingekuwa ndani ya siku 7 zamwisho wa bajeti iliyopangwa kuisha tungejuwa niwapi tunakwenda tupo kama kwenyesanduku alafu tunasifu tu ila Mimi sinachama ninaipenda tz tu
Hujaeleweka. Sijajua bado tatizo lako ni nini? Jaribu fafanua kikuumacho.
 
Hujaeleweka. Sijajua bado tatizo lako ni nini? Jaribu fafanua kikuumacho.
Nina maanisha ivi ilituamini kuwa kunamaendeleo angeachia bunge live angalau wakati bajeti tuone kama wapo vizuri na mikutano ya siasa angalau kwa miezi 6 iwe wiki moja ndani yahiyo miezi 6 au kwa mwaka 1 iwe kunamwezi mmoja wa mwisho katika mwaka tungejuwa kunamafanikio au laa lakini hivi kusika mtu mmoja au chama kimoja sidhani kama inafaa kusema mafanikio sijui viva wakati kunatetesi za 1.5 hazijulikani zilipo unafikiri nipesa za mchezo hizo wewe unaita mafanikio viva
 
Nilisahau kukujibu kumtukana mh rais au mtu yoyote yule kwanamna yoyote ile siungi mkono nakemea nakemea mh magu ndio rais wangu mtu kumtusi sisawa tutor maoni tu siokumtukana haifai hatakidogo ameomba kuuongoza sio kutukanwa tuheshimu taasisi hii
Sijasema wewe umemtukana Rais. Na maanisha wapinzani. Wewe umetoa maoni yako tu. It is your legitimate kutoa duku duku lako. Hujakosea. Usikonde! Ila tusipende kubwabwaja mambo kana kwamba hatuja enda shule. Sheria zipo, ambazo kidogo tunahitaji kuzijua na katiba ipo. Kinacho hitajika ni kujitoa muhanga kusoma ili kidogo tupate mwanga.
 
Sawa kabisa umesema kweli lakini mbona 1.5 trn huigusii au zakwako hazimo basi zionee huruma zakwetu
 
Sijasema wewe umemtukana Rais. Na maanisha wapinzani. Wewe umetoa maoni yako tu. It is your legitimate kutoa duku duku lako. Hujakosea. Usikonde! Ila tusipende kubwabwaja mambo kana kwamba hatuja enda shule. Sheria zipo, ambazo kidogo tunahitaji kuzijua na katiba ipo. Kinacho hitajika ni kujitoa muhanga kusoma ili kidogo tupate mwanga.
Pia sijuwi wewe ambae umeisoma katiba naona umegundua kuwa mbunge yeyote yule swala la nachingwea linamuhusu au huouelewa hauna ndiomaana umeshindwa kugundua nakutaarifu kuwa wabunge tulio nao huku Tanganyika niwabunge wajamuhuri nakule Zanzibar kunawabunge wa jamuhuri na wabunge wa baraza
 
Kweli huyu ndiye rais niliyemsubiri kwa miaka mingi sana. Sikuhizi yule jamaa yangu aliyekuwa anafanya kazi pale halmashauri ya manispaa ya kinondoni simuoni tena. Yaani yeye alikuwa anatembepea maeneo mawili tu. Kwenye ATM na BAR. Anajifanya eti yuko serikalini ndo maana hafanyi kazi. Na kama wiki hivi sijamwona alafu nikimpigia simu anasema yuko busy. ***** ngoja aje amkute hayuko apigwe chini ntacheka alafu hata hana nyumba.
Magufuli hebu mtembelee na huyu umfinye kidogo ajifunze kuishi kwa kuchubuka kama sisi
Vipi mkuu maneno yako bafo unayasadiki.?
 
Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji
Vipi maneno yako bafo unayasadiki mkuu?
 
Ewe rais wangu mpendwa saaaaaana, sikiliza. Mwisho wa siku 2020 wananchi wa kijijini kwetu, tutakuuliza uliahidi umeme; je, umeme umefika? Je, maji uliyotuahidi; yamefika? Bara2 umejenga? Kituo cha afya, umekamilisha? Treni ya umeme, tunayo? Steigler's umeme unatoka? Dawa hospital zipo? Haya tutakuukiza....

Hatutakuuliza bunge live, maana hukutuahidi. Hatutaulizia maandamano, siyaoni kwenye ilani. Safari za ulaya hatutauliza, hizo hata hatujawahi kuziona ila huwa tunazskia tu...

Piga kazi JPM, mayowe ya watoto yasikusumbue kwani, watoto wakipiga kelele jua kuwa wamepiga msosi wa kutosha wameshiba...
 
Sahihi kabisa
 
We endelea kumdanganya
Watumishi wa umma wana hasira nae.
Wakulima wa mbaazi wana hasira nae
Kagera wana hasira nae
Ukerewe wana hasira nae
Bomoa bomoa wote wana hasira nae kwakua alifanya double standards
Watu wananyamaza kwakua kuna polisi.
Otherwise kamjulishe kwamba 2020 atazunguka kuomba kura mpaka atajuta
Kula za bure zitapatikana kwa wazee ambao hata jf hawapo na wala hawajui kama anajenga chato international airport bila bajeti kupangwa na bunge
 
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani nimekuwa mtu wa kutafakari juu ya aina ya uongozi wa Rais huyu.

Pamoja na changamoto zote ambazo Mara zote zimetokea wakati Rais akijaribu kuitumikia nchi bado nampa credits nyingi sana. Kimsingi huyu Mzee anakuwa bora kila uchao.
Mwanzoni sikumuelewa lakini huyu Rais yuko makini na yupo consistent.

Tumpe nguvu na sapoti zetu ili aweze kufanya makubwa. Kwa muda mfupi amebadilisha tabia mbaya za watanzania.

Leo nafurahi kuona hao Acacia waliokuwa wategeaji ktk majukumu yao wakimwaga mapesa kwenye Jamii zinazowazunguka. Ni wanyenyekevu sijapata kuona.

Kwa Magufuli akuna dhana ya kapu lililotoboka. Pesa inaenda kwenye miradi tena miradi yenye impact haswa. Organs zote zinafanya kazi effectively hadi raha.

Kama hujamuelewa Rais Magufuli una walakini.
 
Leo tumeshuhudia uzinduzi wa Barabara ya juu yaani Flying over Tazara huu Ni muendelezo wa miradi mingi inayotekelezwa na uongozi wa serikali YETU ya awamu ya tano chini ya Rais Dk J.P.Magufuli.Tanzania kwa miaka mingi tumekuwa tukipiga kelele juu ya uwepo wa utashi wa kisiasa Katika serikali YETU.Tulifika mbali na kuomba Bora hata tutawaliwe na dikteta ili atusaidie kupata maendeleo huku tukisahau Historia juu ya udikteta wenyewe.Tanzania inasonga mbele kimaendeleo,nitaeleza
Serikali ya awamu ya tano imejinasibu kuifanya Tanzania kuwa nchi ya Viwanda.Tumeshuhudia viwanda vikijengwa kwa kasi ya mwendo kasi.Miezi kadhaa iliyopita tulishuhudia uzinduzi wa wa kukamilika kwa mradi mkubwa wa umeme kwa kutumia gesi ujulikanao Kama Kinyerezi two 240CCPP,Upanuzi wa mradi wa umeme wa Kinyerezi one yaani Kinyerezi one extension project,Ujenzi wa SGR,Ujenzi wa reli ya umeme haya yote Ni maendeleo kuelekea Tanzania yenye uchumi wa Kati.
Je wapinzani wa maendeleo haya Serikali yetu kwa Nini tusiungane na Mh Rais Katika juhudi za kuliletea Taifa letu maendeleo?
 
Ni daraja ndugu... Pia tafuta muda utoe ushauri juu ya elimu yetu,.

Unaweza ukasaidia viongozi wako.
 
Dikteta Uchwara
Tutaungana vipi wakati hatupati haki zetu kama watumishi wa umma.
 
Safi Sana.. Hatuna budi kuunga mkono juhudi hzi... Pamoja na kuwa tumechelewa lakini huu ndiyo wakati wetu.. Tunge mpata zamani tungelikuwa mbali Sana
 
Back
Top Bottom