Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nalazimika kukujibu japokuwa nimepata uhakika kuwa hauna akili.
LA MWISHO MKUU,KAMA WEWE NI JINGA UTABAKI KUWA JINGA TU,SINA JINA LINGINE LA KUKUITA KAMA AKILI YAKO HAIPO SAWA.
Kama umepata uhakika kuwa mimi sina akili na kuwa kama mimi ni jinga basi nitabaki kuwa jinga tu, sasa swali langu lina kuja, je, na huyu Rais wetu wa awamu ya pili naye ana character kama hizo za kwangu? Msikilize mwenyewe.

Naomba tukubaliane kuwa anaye liona yeye kwa Magufuli ndilo hilo linalo nifanya mimi nami ni mshukuru Magufuli. Na tuko wengi sana! Karibu asilimia 80 ya watanzania.

Umeuliza katiba ya CHADEMA inasemaje,kwanza katiba ya CHADEMA haina ukomo wa uongozi,Mwenyekiti atachaguliwa kila baada ya miaka mitano mpaka pale wanachama watapoona hafai (siyo wanaccm).
.Unasema CHADEMA haijawahi kufanya uteuzi wa Viongozi miaka 25 sasa? Are you serious?
Of cause, I am serious. [emoji3] [emoji3] [emoji3] Yaani wewe kiumbe mwenye akili za Austrolepithecus Aficanus

unathubutu kwa majidai kuniambia mimi "katiba ya CHADEMA haina ukomo wa kiongozi na kuwa Mwenyekiti atachaguliwa kila baada ya miaka mitano mpaka pale wanachama watapoona hafai" hii sasa ni nini? Ni demokrasia hiyo? Naomba niambie nani mjinga hapa wewe au mimi? Binadam hawezi akakaa miaka zaidi ya 25 akiwa mwenyekiti ina maana akili zake zinabakia zile zile miaka yote? Kwa swala hilo napenda kurudia tena kauli yangu ya awali kuwa wewe bado unatumia nyenzo za Tarzan kwenye karne ya 21, kwani hujui maisha ni nini? Cells za binadam zinabadilika permanently na baada ya mda ana dumaa anakuwa hana uwezo tena wa kuleta changes katika jamii hivyo inabidi fresh blood ije kuleta malengo mapya ili kukifanya chama kiwe dynamic na attraktive kwa vijana ili kilete ushindi.

Inaonekana dhahiri kuwa structure ya chama chako ni ile ya Zinjanthropus ambayo imepitwa na wakati. Eti "katiba ya CHADEMA haina ukomo wa kiongozi na kuwa Mwenyekiti atachaguliwa kila baada ya miaka mitano mpaka pale wanachama watapoona hafai" ni nani yeye, Mungu wa duniani?

Msishangae viongozi wenu kuhama chama chenu na kwa vile mlivyokuwa na akili za kikongwe hamtaki kuchunguza kwa nini na kukifanyia reform chama chenu, nyie mnabaki kila tukio la kuhama kwa kiongozi wenu, CCM is guilty au Magufuli anawanunua viongozi wa CHADEMA! Nyie ni wakoma sana. Maelezo hayo kawaambieni manyanya wenu ndiyo watawasikiliza. Kwenye Era ya IT-Technology nyie mnaleta Story za Zinjanthropus. Mmekwisha nyie na nendeni mkafie mbali. Hamwoni kwa ujinga wenu mnapoteza Credibility yenu?

.Magufuli haheshimu katiba ndiyo,anazuia mikutano ya kisiasa wakati katiba ina ruhusu.
Aisee! Nakusikitikia sana. Mwambie Mwenyekiti wako Mbowe akapige domo lake huko High aliko chaguliwa, hata hilo amekatazwa? Mbona mnapenda kuongopa mchana kama watoto wadogo? Nyie mnafikiri watanzania hawaelewi kitu gani kinaendelea Eenh?

.Anafungia hovyo vyombo vya habari vinavyoandika uweli.
Nafikiri wewe hata haibu huna. Sasa humu JF unafanya nini? Si chombo cha habari pia? Isitoshe kuna Online Media kibao, YouTube, Facebook, Twitter na Instagram au hujui? Wewe baki na ukongwe wako!

.Hafuati sheria za manunuzi ya umma (ndege,ujenzi wa barabara ma vinginevyo anajiamulia tu) ...hapa narudia kukuambia hii nchi siyo ya babaake wala yake.
Eeh Mr. Isome katiba Kwa undani wake. Rais anaweza kuamua mambo "per Decree!" Mamlaka hayo anayo. Unakumbuka mwaka 1977 wakenya walipo zuia ndege zetu za East African Community uamuzi ambao Mwalim Nyerere aliufanya? Si alinunua ndege nyingine mpya tena cash? Ebu fanya uchunguzu kama utaona yeye alienda Bungeni kuomba kuidhinishwa manunuzi ya hizo ndege. Baba wa Taifa alitumia mamlaka yake ya "Decree" kufanya hivyo.

Eti mimi jinga, jinga mimi? Jinga wewe unaye endekeza sera za kikongwe za kipofu yule. Ebu ondoka hapa naona unanitia kichefuchefu, nisije nikatapika bure!
 
Kama umepata uhakika kuwa mimi sina akili na kuwa kama mimi ni jinga basi nitabaki kuwa jinga tu, sasa swali langu lina kuja, je, na huyu Rais wetu wa awamu ya pili naye ana character kama hizo za kwangu? Msikilize mwenyewe.

Naomba tukubaliane kuwa anaye liona yeye kwa Magufuli ndilo hilo linalo nifanya mimi nami ni mshukuru Magufuli. Na tuko wengi sana! Karibu asilimia 80 ya watanzania.

Of cause, I am serious. [emoji3] [emoji3] [emoji3] Yaani wewe kiumbe mwenye akili za Austrolepithecus Aficanus

unathubutu kwa majidai kuniambia mimi "katiba ya CHADEMA haina ukomo wa kiongozi na kuwa Mwenyekiti atachaguliwa kila baada ya miaka mitano mpaka pale wanachama watapoona hafai" hii sasa ni nini? Ni demokrasia hiyo? Naomba niambie nani mjinga hapa wewe au mimi? Binadam hawezi akakaa miaka zaidi ya 25 akiwa mwenyekiti ina maana akili zake zinabakia zile zile miaka yote? Kwa swala hilo napenda kurudia tena kauli yangu ya awali kuwa wewe bado unatumia nyenzo za Tarzan kwenye karne ya 21, kwani hujui maisha ni nini? Cells za binadam zinabadilika permanently na baada ya mda ana dumaa anakuwa hana uwezo tena wa kuleta changes katika jamii hivyo inabidi fresh blood ije kuleta malengo mapya ili kukifanya chama kiwe dynamic na attraktive kwa vijana ili kilete ushindi.

Inaonekana dhahiri kuwa structure ya chama chako ni ile ya Zinjanthropus ambayo imepitwa na wakati. Eti "katiba ya CHADEMA haina ukomo wa kiongozi na kuwa Mwenyekiti atachaguliwa kila baada ya miaka mitano mpaka pale wanachama watapoona hafai" ni nani yeye, Mungu wa duniani?

Msishangae viongozi wenu kuhama chama chenu na kwa vile mlivyokuwa na akili za kikongwe hamtaki kuchunguza kwa nini na kukifanyia reform chama chenu, nyie mnabaki kila tukio la kuhama kwa kiongozi wenu, CCM is guilty au Magufuli anawanunua viongozi wa CHADEMA! Nyie ni wakoma sana. Maelezo hayo kawaambieni manyanya wenu ndiyo watawasikiliza. Kwenye Era ya IT-Technology nyie mnaleta Story za Zinjanthropus. Mmekwisha nyie na nendeni mkafie mbali. Hamwoni kwa ujinga wenu mnapoteza Credibility yenu?

Aisee! Nakusikitikia sana. Mwambie Mwenyekiti wako Mbowe akapige domo lake huko High aliko chaguliwa, hata hilo amekatazwa? Mbona mnapenda kuongopa mchana kama watoto wadogo? Nyie mnafikiri watanzania hawaelewi kitu gani kinaendelea Eenh?

Nafikiri wewe hata haibu huna. Sasa humu JF unafanya nini? Si chombo cha habari pia? Isitoshe kuna Online Media kibao, YouTube, Facebook, Twitter na Instagram au hujui? Wewe baki na ukongwe wako!

Eeh Mr. Isome katiba Kwa undani wake. Rais anaweza kuamua mambo "per Decree!" Mamlaka hayo anayo. Unakumbuka mwaka 1977 wakenya walipo zuia ndege zetu za East African Community uamuzi ambao Mwalim Nyerere aliufanya? Si alinunua ndege nyingine mpya tena cash? Ebu fanya uchunguzu kama utaona yeye alienda Bungeni kuomba kuidhinishwa manunuzi ya hizo ndege. Baba wa Taifa alitumia mamlaka yake ya "Decree" kufanya hivyo.

Eti mimi jinga, jinga mimi? Jinga wewe unaye endekeza sera za kikongwe za kipofu yule. Ebu ondoka hapa naona unanitia kichefuchefu, nisije nikatapika bure!

Umeandika maelezo marefu sana dadaangu,katika hayo maelezo nimegundua ukiondoa hayo maneno machache ya kizungu?ubongo wako hauna akili.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Soma sasa ili uelewe, wewe si unaakili una lalamika nini tena? Mtu mwenye akili halalamiki. Anasoma kila kitu kinacho mjia mbele yake.

Wewe elimu yako ni ya Ngumbaru!
 
Heko yake JPM hawa wanaomponda ni wapinzani wanaotafuta ugali wa kila siku kutumia njia hiyo
 
Hivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
 
Ukiona yeyeto anakosoa maana yake si mnufaika wa mfumo uliopo.
 
Hivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
hahaah!!serikali za swedeni,finland,denimaka bado kuna wapinzani wanazikosea ambako karibia kila sehemu kuko sawa,sembuse hii ????ambayo nguvu nyingi inatumika kutaka kulazimsha watu wakubali kusema kila kitu kipo sawa?!!hizo nchi za scandinavia ndio kama peponi lakini bado wanakosolewa sembuse ile inayoongozwa na ...........(msemo wa zitto)
 
hakuna la kukosoa ndugu mtangazaji..yeye mwenyewe alishaahidi kuwa malaika

Amina.
 
Hivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
Ni shetani tu ndiyo huwa hapendi kukosolewa, shetani anapenda kusifiwa tu
 
HIVI BADO KUNA WATU WANASIFIA AWAMU HII YA TANO
Hivi wanasifia ili tu waonekane wamesifia?
Wanasifia ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanasifia kwakuamini kwamba awamu ya 5 inaongozwa na Makanika?
Wasifiaji ni wafaidika wa awamu ya 5
Wasifiaji wanafanya hivyo kutokana na mahaba binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wasifiqji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
 
Wakosoaji wapo wengi tu mbona, mmoja wapo ni Dr. Bashiru amekosoa juzi tu juu ya mwenendo mbovu wa chaguzi nchi.
 
Hivi eti ni kwa nini wanasiasa wengi wanaohama upinzani kwenda chama cha ccm kwa madai ya kuunga mkono juhudi za rais wengi wanatoka chadema.

Hivi wapinzani kwenye vyama vingine kama vile UDP,CHAUMA,TLP wao hawajaona umuhimu wa kuunga mkono juhudi au wanaunga mkono juhudi wakiwa hukohuko kwenye vyama vyao
 
Kama kuna wanaomsifia kwanini kusiwepo tunaomkosoa???
 
Back
Top Bottom