Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
mpuuzi wewe. wewe ni mtumishi? umeona makisio ya bajet inayoendelea? umeangalia fungu la mishahara? kuna nyongeza au ajira mpya pale?
NYONGEZA YA MISHAHARA SIO FADHILA, NI TAKWA LA KISHERIA
kaa na ujinga wako , huyo kkchaa hana uwezo hata wa kuongeza watumishi wa idara moja tu
Mwambie awalipe wa Korosho kwanza
 
Matusi ya nini, si kwamba wewe ndo mpumbavu unapinga usilolijua

Usisahau kuwa mwakani kuna .........

Sent using My Xiaomi Redmi 4a
 
Matusi ya nini, si kwamba wewe ndo mpumbavu unapinga usilolijua

Sent using Jamii Forums mobile app
chizi wewe unabwabwaja bila kujua ulisemalo! ivi unajua impact za kiuchumi za kuongeza/ kutoongezz mishahara maradufu?
unajua madhara hata yatokanayo na kuunganisha mifuko ya kijamii wewe?
Usiongee usiyoyajua kanjanja wewe
 
hawaezi kuwa mtumishi wa uma huyo, mtumishi gani anashindwa kuandika maslahi anaandika masrahi?
 
yaani Magufuli atumie nyongeza alizozibana kwa miaka 4 kuwapa wafanyakazi halafu useme kapandisha mshara?

Akiongeza haitamaanisha kuwa kaongeza mshahara, bali ni kwamba atakuwa anawalipa wafanyakazi malimbikizo yao wenyewe aliyoyasitisha toka 2015!

ni sawa na niwe nakudai nyongeza ya laki kila mwaka usinipe kwa miaka 4 halafu mwaka wa tano uniongezee kwenye mshahara wangu shilingi laki 4, hapo unakuwa hujaongeza mshahara bali umetumia stahili zangu zilezile kudai kuwa umeniongezea mshahara
Una akili sana ndugu kuweza kugundua hilo,wengi hawajalijua katu,huo ndio ujanja unaotaka kuwahadaa watumishi ,na kwa kuwa wengi wetu hatuingii dipu tutapongeza.Wafahamisheni watumishi juu ya jambo hili.
 
Back
Top Bottom