Raisi magufuli ,waziri wa nishati tunaomba na sisi tukumbukwe kata yote ya lugulu hakuna kijiji hata kimoja chenye umeme ,pia hata kata jirani vijiji vingi pia hakuna umeme ,kwasekinga,kirore ,mang'a ,manga,ndwola ,kiranga,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app