mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Tusiangalie kuumwa tu. Mjini maisha yametupiga option ni kungoka kwenda kijijini Kwan vilivyotukimbiza vipo. TV zipo, maji yapo, umeme hupo."Rural area".Inaweza ikawa kweli lakini hebu fikiria Dar es salaam imepata umeme miaka ya 40 na kijiji cha nata Serenget kimepata umeme 2007,je unaweza kusema Nata ni bora kuliko dar?...