Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

"Rural area".Inaweza ikawa kweli lakini hebu fikiria Dar es salaam imepata umeme miaka ya 40 na kijiji cha nata Serenget kimepata umeme 2007,je unaweza kusema Nata ni bora kuliko dar?...
Tusiangalie kuumwa tu. Mjini maisha yametupiga option ni kungoka kwenda kijijini Kwan vilivyotukimbiza vipo. TV zipo, maji yapo, umeme hupo.
 
Mfano Chato imekuwa kama "URAYAA". Au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Yanasemwa mengi sana ila ukweli utabaki kuwa ukweli sio kila anaye kosoa serikali au Mh Rais basi anamchukia Rais au anania mbaya na serikali.

We love our President and we real care him. Mungu amlinde. Nakumtumza kwa manufaa ya Taifa na Raia wote.
Merry Christmas and happy New year 2021
 
Mwili wa Ben Saanane mliutupa wapi? Wacha kujibaraguza ili kusaka teuzi.
Mkuuu umesahau kumuuliza na DJ ni kipi Hasa Mhe.Chacha Wangwe alikosea kufikia hatua ya kukatishwa uhai wake kupitia yule kijana wenu Mallya.
 
Yanasemwa mengi sana ila ukweli utabaki kuwa ukweli sio kila anaye kosoa serikali au Mh Rais basi anamchukia Rais au anania mbaya na serikali.

We love our President and we real care him. Mungu amlinde. Nakumtumza kwa manufaa ya Taifa na Raia wote.
Merry Christmas and happy New year 2021
Naunga mkono hoja

Merry Christmas.
P
 
😂😂😂
90987654.jpg
 
Mimi nashangaa samia suluhu,na Joni wanatweet halafu wanaotaka wasome hizo habari zao wamewafungia nahisi wanalaana sio bure
 
Back
Top Bottom