Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki zako zimezoeleka. Hautegemewi kuandika maoni tofauti na haya.Ndugu yenu ndo alikua mchawi... mbele ya maaskofu aliviligwa kwenye ngozi mbichi ya kondoo inayotiririsha damu pamoja na kukalishwa kwenye kiti na kufukiwa na mbuzi mzima mzima.
Jamaa pamoja na usomi wake wa PhD ushenzi haukuwai kumtoka.
Mpendwa wako, sio mpendwa wetu.Kifo ukiogope ,usikiogope huwa KIPO NA HAKIEPUKIKI.
Hayati Mpendwa wetu JPM ni aina ya viongozi WALIOKUWA na MAONO MAKUBWA SANA.
Ni mwanasayansi wa kweli kabisa ambaye si kila analoambiwa HULIMEZA TU...laa hashaa.
Hayati JPM ni aina ya viongozi ambao huzaliwa kwa NADRA SANA HUMU DUNIANI tofauti na wale wa kuongeangoea sana majukwaani na kuchaguliwa "KIDEMOKRASIA" kwa ule umaarufu wao wa "kuzoza na kucheza na maneno tu"
May His Soul Rest easy ,amen[emoji120]
Haya nakutoa wewe....tuko wengi tu.Mpendwa wako, sio mpendwa wetu.
Mbulula ile hajiwekei blood fvcked, ile unawekewa na TISS, utake usitake.Asingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile. Ushamba tu na ulimbukeni umemuua.
Safi sana hawa ndio wanajua kujilipaWIZARA YA FEDHA POSHO ZAO TOKA MWEZI WA TATU TU 1: 251,000,000/= (31/03/2021)kazi maalum
2:198,000,000/=(31/03/2021)
3:44,500,000/=(08/04/2021)
4:155,295,000/=(13/04/2021)
5:43,900,000/=kuandaa mpango wa kuhifadhi mazingira (30/04/2021)
6:14,400,000/=siku ya wanawake(30/04/2021)
7: 43,000,000/=(30/04/2021)
8:184,100,000/=(meimosi asubuhi 01/05/2021)
9:264,000,000/=(meimosi mchana 01/05/2021)
10:146,500,000/=( Kuandika mpango Kazi wa manunuzi watu 125 03/05/2021)
11:171,200,000/=(kuandaa nyaraka za bunge)
Umeona eeh, wengine wetu vimishagara vinakidhi kulipa mahali pa kuweka mbavu zetu tu, haya maisha bhana??Hapo bado mishahara yao ambayo ni over 1.5M take home. Aiseee HII NI LAANA KWA TAIFA.
Nchi yangu mamaaa!!... na hizo ni ambazo zimewekwa hadharani! Kila kitu kikiwekwa hadharani tutapoteana humu! MoF pamekuwa chaka la ajabu kabisa!