Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kifo ukiogope ,usikiogope huwa KIPO NA HAKIEPUKIKI

Hayati Mpendwa wetu JPM ni aina ya viongozi WALIOKUWA na MAONO MAKUBWA SANA.
Ni mwanasayansi wa kweli kabisa ambaye si kila analoambiwa HULIMEZA TU...laa hashaa.

Hayati JPM ni aina ya viongozi ambao huzaliwa kwa NADRA SANA HUMU DUNIANI tofauti na wale wa kuongeangoea sana majukwaani na kuchaguliwa "KIDEMOKRASIA" kwa ule umaarufu wao wa "kuzoza na kucheza na maneno tu"

May His Soul Rest easy ,amen🙏
 
Ndugu yenu ndo alikua mchawi... mbele ya maaskofu aliviligwa kwenye ngozi mbichi ya kondoo inayotiririsha damu pamoja na kukalishwa kwenye kiti na kufukiwa na mbuzi mzima mzima.

Jamaa pamoja na usomi wake wa PhD ushenzi haukuwai kumtoka.
Chuki zako zimezoeleka. Hautegemewi kuandika maoni tofauti na haya.

Kumbuka kila anayepumua udongo unamsubiri.
 
Kifo ukiogope ,usikiogope huwa KIPO NA HAKIEPUKIKI.

Hayati Mpendwa wetu JPM ni aina ya viongozi WALIOKUWA na MAONO MAKUBWA SANA.
Ni mwanasayansi wa kweli kabisa ambaye si kila analoambiwa HULIMEZA TU...laa hashaa.

Hayati JPM ni aina ya viongozi ambao huzaliwa kwa NADRA SANA HUMU DUNIANI tofauti na wale wa kuongeangoea sana majukwaani na kuchaguliwa "KIDEMOKRASIA" kwa ule umaarufu wao wa "kuzoza na kucheza na maneno tu"

May His Soul Rest easy ,amen[emoji120]
Mpendwa wako, sio mpendwa wetu.
 
Asingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile. Ushamba tu na ulimbukeni umemuua.
Mbulula ile hajiwekei blood fvcked, ile unawekewa na TISS, utake usitake.
 
WIZARA YA FEDHA POSHO ZAO TOKA MWEZI WA TATU TU 1: 251,000,000/= (31/03/2021)kazi maalum
2:198,000,000/=(31/03/2021)
3:44,500,000/=(08/04/2021)
4:155,295,000/=(13/04/2021)
5:43,900,000/=kuandaa mpango wa kuhifadhi mazingira (30/04/2021)
6:14,400,000/=siku ya wanawake(30/04/2021)
7: 43,000,000/=(30/04/2021)
8:184,100,000/=(meimosi asubuhi 01/05/2021)
9:264,000,000/=(meimosi mchana 01/05/2021)
10:146,500,000/=( Kuandika mpango Kazi wa manunuzi watu 125 03/05/2021)
11:171,200,000/=(kuandaa nyaraka za bunge)
 
Hapo bado mishahara yao ambayo ni over 1.5M take home. Aiseee HII NI LAANA KWA TAIFA.
 
Safi sana hawa ndio wanajua kujilipa

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Hapo bado mishahara yao ambayo ni over 1.5M take home. Aiseee HII NI LAANA KWA TAIFA.
Umeona eeh, wengine wetu vimishagara vinakidhi kulipa mahali pa kuweka mbavu zetu tu, haya maisha bhana??
 
... na hizo ni ambazo zimewekwa hadharani! Kila kitu kikiwekwa hadharani tutapoteana humu! MoF pamekuwa chaka la ajabu kabisa!
 
Alikuwa na Afya mgogoro alijijua hana siku nyingi za kuishi ndio maana hakuogopa kifo.
 
watu walidhani kazi ya urais ni nyepesi. mbaya zaidi lazima wamuangalie na JPM
 
Watumishi wameamua kufanya uwekezaji wa ndani

Hizo fedha zitaingia kwenye mzunguko na raia kuneemeka.
 
Back
Top Bottom