Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mbona kama Majaliwa alisema sio hayo tu. Kuna pesa wanalipa kwenye A/C flani alafu wanaenda kuichukua wao.
 
Yote uliyo andika yanafupishwa na hili neno lako. Ni Zito sana na ndio tatizo letu waafrika. Bila nguvu au mijeredi hatuendi....
""Kwani Mama Samia si ulikuwa msaidizi wa rais John Pombe Magufuli, hakukuachia mbinu za kukomesha janjajanja za wafanyakazi TANESCO? Kama unaona waziri hafai tumbua weka mwingine. Tumia nguvu. Waafrika wengi bado ni washenzi sio wa kuwadekeza na kuwabeba mgongoni kwa mbeleko ya demokrasia na protoko.""
 
Alikuwa na Afya mgogoro alijijua hana siku nyingi za kuishi ndio maana hakuogopa kifo.
... na akatumia huo mwanya kujiandalia "sifa" ili baadaye aonekane shujaa asiyeogopa kifo. Ndiyo taswira wafuasi wake wanajaribu kuieneza including mwanzisha thread.

Ni sawa na mgonjwa wa ukimwi ARV's zote zimefikia mwisho halafu unajidai huogopi kifo while it is the only option remaining! Bwana Yesu mwenyewe alitetemeka kwa hofu halafu kiumbe tu anajidai haogopi kifo? Very stupid argument!
 
Yote uliyo andika yanafupishwa na hili neno lako. Ni Zito sana na ndio tatizo letu waafrika. Bila nguvu au mijeredi hatuendi....
""Kwani Mama Samia si ulikuwa msaidizi wa rais John Pombe Magufuli, hakukuachia mbinu za kukomesha janjajanja za wafanyakazi TANESCO? Kama unaona waziri hafai tumbua weka mwingine. Tumia nguvu. Waafrika wengi bado ni washenzi sio wa kuwadekeza na kuwabeba mgongoni kwa mbeleko ya demokrasia na protoko.""
Maza anachotaka kila mtu aonje matunda ya uhuru kidogo
 
Alikuwa na Afya mgogoro alijijua hana siku nyingi za kuishi ndio maana hakuogopa kifo.
Kuna anayejua kuwa ana siku nyingi za kuishi? Lowassa anajulikana ni afya mgogoro ila anadunda hadi leo wakati wenye afya zao walishatangulia.
 
Si kweli. Aliogopa sana kifo, kila mara alitaka kuombewa. Ndie raisi alie anzisha kikosi chenye ulinzi aghali sana. Alihofu kudhuriwa na maadui, watu wengi wamepotea.
Sasa wewe usiye na ulinzi ndio maana yake hauogopi kifo?
 
Ni kawaida ukiwa na tatizo fulani la kiafya kubwa huwezi kuogopa kifo.

Mzee wetu alikuwa na tatizo la Moyo kwa muda mrefu, alijitahidi kuona kifo sio big deal. Probably aliogopa mwanzoni ila alipogundua sio kitu anaweza badili inabidi akubaliane na ukweli tu kuwa atakufa anytime.

Mkuu hata wewe ukiambiwa kansa imeshakula tumbo lote utashtuka mwanzoni tu kisha baada ya muda utakuwa tayari kwa kufa kimawazo na kimatendo
You are very right...ila Retired, Okwi na Baadhi wachache humu watakuja na hoja ya matusi...JPM tulimchangia wakati Fulani tatizo lake la moyo..
 
Mkuu ukiwa na imani huwezi ogopa kifo maana ndio njia pekee ya kwenda kuonana na Mungu uso kwa uso kama vitabu vya dini vinavyotufundisha.
 
Back
Top Bottom