Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Mbona kama Majaliwa alisema sio hayo tu. Kuna pesa wanalipa kwenye A/C flani alafu wanaenda kuichukua wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu ana mkono wake hapoWIZARA YA FEDHA POSHO ZAO TOKA MWEZI WA TATU TU 1: 251,000,000/= (31/03/2021)kazi maalum
2:198,000,000/=(31/03/2021)....
Uzuri ni kwamba Samia anajipanga kuwamwaga vibaya sanaMwigulu ana mkono wake hapo
... na akatumia huo mwanya kujiandalia "sifa" ili baadaye aonekane shujaa asiyeogopa kifo. Ndiyo taswira wafuasi wake wanajaribu kuieneza including mwanzisha thread.Alikuwa na Afya mgogoro alijijua hana siku nyingi za kuishi ndio maana hakuogopa kifo.
Hakuna loloteUzuri ni kwamba Samia anajipanga kuwamwaga vibaya sana
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Maza anachotaka kila mtu aonje matunda ya uhuru kidogoYote uliyo andika yanafupishwa na hili neno lako. Ni Zito sana na ndio tatizo letu waafrika. Bila nguvu au mijeredi hatuendi....
""Kwani Mama Samia si ulikuwa msaidizi wa rais John Pombe Magufuli, hakukuachia mbinu za kukomesha janjajanja za wafanyakazi TANESCO? Kama unaona waziri hafai tumbua weka mwingine. Tumia nguvu. Waafrika wengi bado ni washenzi sio wa kuwadekeza na kuwabeba mgongoni kwa mbeleko ya demokrasia na protoko.""
Mbulula ile hajiwekei blood fvcked, ile unawekewa na TISS, utake usitake.
Chuki zako zimezoeleka. Hautegemewi kuandika maoni tofauti na haya.
Kumbuka kila anayepumua udongo unamsubiri.
Chuki zako zimezoeleka. Hautegemewi kuandika maoni tofauti na haya.
Kumbuka kila anayepumua udongo unamsubiri.
Mimi sikujui wewe hivyo siwezi kujua kiasi chako cha uuwaji.Kwani mm muuaji kama Magu?
Kuna anayejua kuwa ana siku nyingi za kuishi? Lowassa anajulikana ni afya mgogoro ila anadunda hadi leo wakati wenye afya zao walishatangulia.Alikuwa na Afya mgogoro alijijua hana siku nyingi za kuishi ndio maana hakuogopa kifo.
Unataka kuniambia Magufuli alikuwa na ulinzi mkali kushinda rais wa Marekani?Alikuwa hana faida kwa taifa ndiyomaana alijiimalishia ulinzi kuzidi marais wote
Ibilisi asili yake ni Jini/malaika.Ukwel lazma usemwe,Iblis atabak kuwa Iblis
Sasa wewe usiye na ulinzi ndio maana yake hauogopi kifo?Si kweli. Aliogopa sana kifo, kila mara alitaka kuombewa. Ndie raisi alie anzisha kikosi chenye ulinzi aghali sana. Alihofu kudhuriwa na maadui, watu wengi wamepotea.
Asingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile.
You are very right...ila Retired, Okwi na Baadhi wachache humu watakuja na hoja ya matusi...JPM tulimchangia wakati Fulani tatizo lake la moyo..Ni kawaida ukiwa na tatizo fulani la kiafya kubwa huwezi kuogopa kifo.
Mzee wetu alikuwa na tatizo la Moyo kwa muda mrefu, alijitahidi kuona kifo sio big deal. Probably aliogopa mwanzoni ila alipogundua sio kitu anaweza badili inabidi akubaliane na ukweli tu kuwa atakufa anytime.
Mkuu hata wewe ukiambiwa kansa imeshakula tumbo lote utashtuka mwanzoni tu kisha baada ya muda utakuwa tayari kwa kufa kimawazo na kimatendo