Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Jiandae kukatwa kodi ya simu ulipie 'esijiara' na 'stigilas goji'...

Labda utapatwa na akili kuwa hata hilo daraja umehusika kulichangia...
 
Ni kweli sio fedha zake ila zilikuwepo lakini badala ya kufanya mambo kama hayo wapo waliozitafuna tu na kutunyonya.

You can imagine mtu analipwa bilioni 400 fedha za wavuja jasho watanzania na kulipwa milioni 400 Kila siku ila ndio hao wanaoachiwa.

Hii nchi Kuna watu wanaifaidi sana, Ila ipo siku Mungu atasikia kilio Cha wanyonge na kuwarejeshea Nchi yao.

Ipo siku na siku hiyo haipo mbali sana.
Hayo yalifanyika chini ya nani ?! Jibu unalo high table na ndiyo hao mnawasifu na kuabudu
 
We nyumbu Magufuli amekufa lakini ukisikia jina lake mkundu unatikisika?

Sio kwa matusi hayaa chaaah!!!

Lazima ulikuwa JIZI la vyeti wewe wakakutimua — manake unamwaga povu la uchungu balaa!
We ni profesa LIPUMBA vuuuu hilo babu lenu hatuwezi kuacha kulisema make limekufa huku limeacha nchi imepasuka.
 
Hizi hasira zako unamtolea nani sasa hapa? Kwanini usizitumie kutafute hela ili uondoe umasikini kwenye ukoo wako?

Tumekwambia reli na daraja yote hiyo ni mwendelezo wa miradi aliyoacha Magufuli! Wewe unakuja na dodoma sijui kuna takataka gani, shida nini njaa au akili?

Nyie vijana mtakufa masikini hivi hivi mkijiona huku mkifikiri kufa kwa Magufuli ndio kupatia maisha.
hasira ziliisha tangu niliposikia mwendakuzimu Kafa, jambo zuri miradi inasonga bila mtu kutekwa wala kuuliwa.
 
Akili ya msukuma anadhani akivaa miwani watu watamuona ni msomi
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Peponi ni kwangu mimi niliyemwajiri Magufuli. Magufuli alikuwa tarishi wangu tu.
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Nilijua kuna kundi la quelea quelea toka mkoa ule litajaza thrd kwa muda mfupi.
Quelea quelea wao kazi ni kula tu! Iwe kwa wizi au ruhusa wao twendeee !
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Watu wenye roho mbaya wanakwenda kupinga ulicho kiandika
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Tatizo mmekuja mjini juzi, hizo ni plan za JK ulizeni muambiwe.
 
Kwa hiyo babu yako mwendakuzimu anavyomtukuza alikuwa anakuletea ubwabwa ghetoni wewe kivutio cha serikali?
Utapanic sana dogo namna hii maisha yako yatakuwa magumu sana!

Acha kutumika kuwa na akili ya kujitegemea
 
Back
Top Bottom