Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Na Noah tutapata kwa njia ya posta na simu.Noahs will be received through bluetooth.Tutashitakiwa MIGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Noah tutapata kwa njia ya posta na simu.Noahs will be received through bluetooth.Tutashitakiwa MIGA
We pimbi hujui Wazo la SGR lilitolewa na CHADEMA kupitia Dr Slaa alipokuwa akigombea urais na Kikwete,wakati huo hayati Uchwara akiwa si lolote.Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda Dodoma hivyo kuendelea kuokoa muda zaidi na kupunguza foleni njiani.
Ikumbukwe wakati Rais wa awamu ya 5 , Hayati Magufuli akiweka jiwe la msingi kuanza ujenzi wa reli ya umeme na bwawa la mwl Nyerere alitukanwa na kukejeliwa na Tundu Lisu, John Heche, na Chadema kwa ujumla kwamba hiyo miradi itakuwa white elephant na haitafika popote zaidi ya kuharibu hela za wananchi tu. Tunashukuru moyo wa Magufuli aliokuwa nao wa kutokata tamaa na sasa watanzania tunaona faida yake baada ya miradi hiyo kukamilika.
Vipi kama Magufuli angesikiliza matusi ya Chadema na kuamua kuachana na hiyo miradi, Leo tungeona hizi faida za kuisha kwa mgao wa umeme na kupungua kwa foleni Nyerere road?
Hayati nani?Ila Lissu ana maneno makali ndiyo maana maadui humuandama sana.Uchwara?🤣🤣🤣🤣We pimbi hujui Wazo la SGR lilitolewa na CHADEMA kupitia Dr Slaa alipokuwa akigombea urais na Kikwete,wakati huo hayati Uchwara akiwa si lolote.
ACHA uongo wako, weka clip hapa!, SGR ni wazo la awamu ya 4, JK.We pimbi hujui Wazo la SGR lilitolewa na CHADEMA kupitia Dr Slaa alipokuwa akigombea urais na Kikwete,wakati huo hayati Uchwara akiwa si lolote.
Hujajibu swali !Alipinga kwa sababu ya ujinga wake na chuki binafsi kwa Magufuli
Ilikuwa ni wajibu wake kufanya kile ambacho aliona kinafaa kwake na kwa Watanzania na siyo kutegemea hisani ya Wapinzani kumwendeshea nchi.Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda Dodoma hivyo kuendelea kuokoa muda zaidi na kupunguza foleni njiani.
Ikumbukwe wakati Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli akiweka jiwe la msingi kuanza ujenzi wa reli ya umeme na bwawa la mwl Nyerere alitukanwa na kukejeliwa na Tundu Lisu, John Heche, na Chadema kwa ujumla kwamba hiyo miradi itakuwa white elephant na haitafika popote zaidi ya kuharibu hela za wananchi tu. Tunashukuru moyo wa Magufuli aliokuwa nao wa kutokata tamaa na sasa watanzania tunaona faida yake baada ya miradi hiyo kukamilika.
Vipi kama Magufuli angesikiliza matusi ya Chadema na kuamua kuachana na hiyo miradi, Leo tungeona hizi faida za kuisha kwa mgao wa umeme na kupungua kwa foleni Nyerere road?
Amenyimwa mapenzi huyo.Ukizoea kushughulikiwa kinyume na maumbile inakuwa shida sana unapoikosa hiyo huduma.Ndiyo maana Etwege kila siku ni kulalama maana ana siku nyingi bila huduma.Hivi,huwa una personal issues na Lissu?Heche umemtaja tu ili ufiche chuki yako kwa Lissu.You've got bigger problems behind you!
Hongera kwa kuendelea kuipigia promo Chadema na Lissu!Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda Dodoma hivyo kuendelea kuokoa muda zaidi na kupunguza foleni njiani.
Ikumbukwe wakati Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli akiweka jiwe la msingi kuanza ujenzi wa reli ya umeme na bwawa la mwl Nyerere alitukanwa na kukejeliwa na Tundu Lisu, John Heche, na Chadema kwa ujumla kwamba hiyo miradi itakuwa white elephant na haitafika popote zaidi ya kuharibu hela za wananchi tu. Tunashukuru moyo wa Magufuli aliokuwa nao wa kutokata tamaa na sasa watanzania tunaona faida yake baada ya miradi hiyo kukamilika.
Vipi kama Magufuli angesikiliza matusi ya Chadema na kuamua kuachana na hiyo miradi, Leo tungeona hizi faida za kuisha kwa mgao wa umeme na kupungua kwa foleni Nyerere road?
Sema shetani Magufuli!Alipinga kwa sababu ya ujinga wake na chuki binafsi kwa Magufuli
Hujajibu swali !
Plan ya kujenga bwawa la umeme ilikuwepo tangu 1970, na mradi ukafutiliwa mbali Lissu alikuwepo kwenye uongozi?
Plan ya ujenzi wa SGR kama ilivyo Ubungo interchange na DART hazikuanza enzi za Magufuli bali yeye amekuta ziko katika hatua ya mwisho za mwisho kuanza utekelezaji maana financiers walikuwepo tayari.
Treini za SGR ataipanda wewe,mimi,Lissu,wabunge,mawaziri,askari,wanafunzi,wanamichezo,wasanii,wafanyakazi,watoto, wafanyabiashara,wafugaji,wakulima,wavuvi,wageni,watalii n.k
Kazi muhimu ni kwanza kumaliza hii reli hadi Kigoma,na Mwanza.
Lakini jambo la pili ni kujenga njia ya pili ya SGR lakini kwa kutumia raslimali zilizo nchini,chuma cha reli kitokane na miradi ya Liganga na Mchuchuma wala teckinlogia ya kufua chuma sio rocket science hao vibosile wenye Phd za theory watupishe tufukute chuma kutoka kwenye udongo wa chuma.
Bado reli ya Tanga Moshi hadi Arusha inataka SGR,ila njia hiyo tunataka bullet train km 200 hadi 300 kwa saa.
Weka hapa ushahidi wa video Lissu akitukana hiyo miradi.Hii ndiyo tiketi ya Lisu kutukana hii miradi?