Pre GE2025 Mafanikio ya SGR na Bwawa la Umeme ni aibu kwa Lissu na CHADEMA yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We pimbi hujui Wazo la SGR lilitolewa na CHADEMA kupitia Dr Slaa alipokuwa akigombea urais na Kikwete,wakati huo hayati Uchwara akiwa si lolote.
 
Chadema ni umbwa kabisa, ukiwasikiliza hautaweza kufanya lolote, although sikufurahiya uongozi wa awamu ya tano, lakini baadhi ya maamuzi yake yamelisaidia sana taifa hili.
 
We pimbi hujui Wazo la SGR lilitolewa na CHADEMA kupitia Dr Slaa alipokuwa akigombea urais na Kikwete,wakati huo hayati Uchwara akiwa si lolote.
ACHA uongo wako, weka clip hapa!, SGR ni wazo la awamu ya 4, JK.
 
Wakuu acheni ushabiki Operation ya SGR ikiwa leo ni siku ya kwanza mikoa mingi kuanzia asubuhi hakuna umeme kabisa
 
Alipinga kwa sababu ya ujinga wake na chuki binafsi kwa Magufuli
Hujajibu swali !

Plan ya kujenga bwawa la umeme ilikuwepo tangu 1970, na mradi ukafutiliwa mbali Lissu alikuwepo kwenye uongozi?

Plan ya ujenzi wa SGR kama ilivyo Ubungo interchange na DART hazikuanza enzi za Magufuli bali yeye amekuta ziko katika hatua ya mwisho za mwisho kuanza utekelezaji maana financiers walikuwepo tayari.
 
Ilikuwa ni wajibu wake kufanya kile ambacho aliona kinafaa kwake na kwa Watanzania na siyo kutegemea hisani ya Wapinzani kumwendeshea nchi.
 
Hivi,huwa una personal issues na Lissu?Heche umemtaja tu ili ufiche chuki yako kwa Lissu.You've got bigger problems behind you!
Amenyimwa mapenzi huyo.Ukizoea kushughulikiwa kinyume na maumbile inakuwa shida sana unapoikosa hiyo huduma.Ndiyo maana Etwege kila siku ni kulalama maana ana siku nyingi bila huduma.
 
Treini za SGR ataipanda wewe,mimi,Lissu,wabunge,mawaziri,askari,wanafunzi,wanamichezo,wasanii,wafanyakazi,watoto, wafanyabiashara,wafugaji,wakulima,wavuvi,wageni,watalii n.k
Kazi muhimu ni kwanza kumaliza hii reli hadi Kigoma,na Mwanza.
Lakini jambo la pili ni kujenga njia ya pili ya SGR lakini kwa kutumia raslimali zilizo nchini,chuma cha reli kitokane na miradi ya Liganga na Mchuchuma wala teckinlogia ya kufua chuma sio rocket science hao vibosile wenye Phd za theory watupishe tufukute chuma kutoka kwenye udongo wa chuma.
Bado reli ya Tanga Moshi hadi Arusha inataka SGR,ila njia hiyo tunataka bullet train km 200 hadi 300 kwa saa.
 
Hongera kwa kuendelea kuipigia promo Chadema na Lissu!
 
We pimbi hujui Wazo la SGR lilitolewa na CHADEMA kupitia Dr Slaa alipokuwa akigombea urais na Kikwete,wakati huo hayati Uchwara akiwa si lolote.

Alafu tena chadema wakalipinga?
 

Hii ndiyo tiketi ya Lisu kutukana hii miradi?
 

Lisu atapinga vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…