Mafanikio ya Simba msimu uliopita na msimu huu mpaka sasa

Mafanikio ya Simba msimu uliopita na msimu huu mpaka sasa

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia.

1) Kucheza robo fainali cc na cl
2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho)
3) Wachezaji kupostiwa magoli ya wiki
4) Wachezaji kuwekwa kwenye team ya week
5) Kupostiwa kwenye mchezaji wa week
6) Kupostiwa na Saido Mane

Simba ni kubwa kuliko timu yoyote Africa, na ndio maana kila kitu ni Simba tu wanaobeba makombe wabebe ila hawawezi kufikia hadhi ya Simba kwa mafanikio hayo.
#nguvu moja
 
Back
Top Bottom