Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Mafuta ya Kirusi yameondolewa vikwazo
Mafuta ya Iran yameondolewa vikwazo
Meli hulipa dola milioni 2 kwa Iran kupita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz
Dola trilioni evaporated kutoka soko la hisa la Marekani
Hitilafu ya kwanza kwenye ndege ya kivita ya F-35, fahari ya tasnia ya kijeshi ya Marekani
Baze za Marekani zinafanyiwa mashambulizi ya mara kwa mara katika Mashariki ya Kati
Marafiki wa USA haswa mataifa ya Ghuba yanapigwa kila siku
-NATO wanamsaidia kimya kimya na bado anajidai hasaduwi hahaha (NATO)
Safi sana Iran

- Mgogoro wa nishati duniani
- Kuongezeka kwa bei ya petroli kwa Wamarekani
- Dola bilioni 27 zilizolipwa na raia wa Marekani hadi sa kwenye vita vya Trump
- Israeli anapokea kipigo kila siku cha jana bora kuliko cha leo na chalet bora kuliko cha kesho