Mafanikio ya Trump kwenye vita baada ya Siku 20: Mafuta ya Russia na Iran yameondolewa vikwazo

Ayatollah amekaa madarakani zaidi ya miaka 40
Akitesa, kuteka, na kuuwa wairani
Mbaya zaidi akawa mfadhili wa vikundi vya kigaidi
Ni upumbavu na poor military strategy kuua kiongozi mzee wa miaka 86, na kua replaced na kiongozi mgine wa miaka 55. Pale kuna system mifumo ya generation kama 10 Irana sio venezuela au Tanzania kwamba ukiua kiongozi mifumo inakufa inanza ipya kujipanga , kwa hilo wameshindwa nawenyewe wamesha liona.
 
Mimi mwananchi wa IBOLOGERO mzaliwq wa ITONJANDA, jana nimeona mabomu yanakuja tofauti kisha yakikaribia target yanaungana kabisa, na kwenda kupiga ile target, imenishangaza sana.. wale iran 🇮🇷 hakika walipata viongozi wenye uchungu na taifa lao, vikwazo vile vingewekwa kwetu huku matakoni mwa dunia, ndio viongozi wetu wangepata sababu, tungekuwa tunachinjana tunakulana nyama.
 
Uchumi wa marekani unaenda kuimarika
We jamaa ni unaongea ama UNAROPOKA!??
-Balozi za USA nyingi zimelipuliwa na nyingine kufungwa mashariki ya kati.
-Kambi 27 zimeharibiwa na vifaa vya gharama.
-Uwekezaji wa kiuchumi wa USA mashariki ya kati umeharibiwa.

Huo uchumi wa Marekani unaendaje kuimarika!??
 
Kweli Kuna uharibifu mkubwa lakini USA inaenda kuimarika
 
Mkuu ngoja tukuache nahisi nati zimelegea.
Ila tambua uwekezaji wa 50 years wa USA ndani ya middle east umeharibiwa wote. Na washirika wake wa kiarabu wanaenda kukata nae mikataba ya ulinzi hivyo pesa za mafuta za waarabu kwa kisingizio cha ulinzi hazipati tena.
 
Vita ni gharama hata Trump alikuwa hivyo
USA alilazimika kupiga Iran kutoa magaidi na wafadhili wao
Kulinda amani ya Dunia na maslahi yake mashariki ya kati
Kwani hao Iran hawapati hasara kiuchumi.

Kwaiyo tutumie uwezo wako Kiakili kufikiria Dunia imepata Amani baada Iran kushambuliwa!!!!!

1) Je leo kuna Amani ?

Nani kakwambia USA inaleta Amani !!!!!

Akili yako kabla ya kuandika ulichoandika Uliwaza zaidi?

au chuki yako dhidi ya Iranian inakusumbua💩

embu tuone kwafaida ya wasomaji wa Jamii forum ¿¿

2) uliwaza kuusu kilichotokea Venezuela

Unajua Marekani kazuiya kuingia Mafuta CUBA nini kimetokea hospital zipo gizani watu wanakufa!!!

Bado tukuamini USA ndio mleta Amani ya Dunia💩💩

biashara nying kufikia mpaka vinyozi wamekwama

Ndio Amani iyoo💩

Makanisa yanaendeshaje ibada ali kama iyo..

Bado tukuamini Marekani ndio inaleta Amani ya Dunia

hakuna Usafiri CUBA vile ni kisiwa

Unajua USA ilishilikiana na Makaburu wa Africa kusini kuwauwa watu weusi na kuwabagua kwa langi zao !!!

kiasi cha kumueka mtetez na mpigania uhuru Nelson Mandela kwenye kundi la Magaidi.!!!

Bado tukuamini kuwa Marekani ndio mleta Amani Duniani.

Wewe mlokole acha chuki dhidi ya Iranian!!

Kwafaida yako ww chuki itakufanya Uso wako ukunjike tu Uzeeke mapema.!!

Dunia ya leo watu wamepunguza ujinga wa chuki za kidini na wanasimama pamoja kupinga Uwovu Ujambazi wa rasilimali za nchi Masikini.🙏

kijana Amka Iranian ayupo kidini Venezuela pia ilifungiwa kupewa mafuta na USA.!!!

mambo ndani ya Venezuela yakaanza kuwa magumu!!!

ni Iranian ikabeba mafuta kwenda kunusuru matizo ya Venezuela

japo Marekani ilifoka sana na kutaka kuzishambulia izo Meli. !!!

lkn Iranian hakuogopa kapeleka wese Venezuela taifa la Cristian waliowengi.

punguza ujinga wa Dini..

Utaweza kuisoma Dunia kwa upeo mkubwa zaidi..✍️
 
Iran ya Ayatollah ilikuwa mfadhili mkuu wa makundi ya magaidi, kwakuwa hakufa ndugu yako unaona sawa

Iran alikuwa Dikteta akitawala miaka 40+ akitesa Wa Iran

Juzi kauwa maelfu ya Wa Iran kwenye maandamano, kwakuwa hakufa ndugu yako unaumia

Upande wa Maduro huyo Dikteta, akitesa mno raia wa Venezuela akafadhili makundi ya kihuni ya drug dealers, kwakuwa hakuna ndugu yako aliyeathirika na cocaine unaone Babu Trump amchekee mhuni wa hivo

laZima wahuni wakipate

Ya Iran yanakuumiza ila hapa Tanganyika vijana zaidi ya 10,000 waliuliwa na hukulalamika
 
Hakuwa anapatia ila alikuwa ana "flood the zone" tu na pia raia wengi wa US na mataifa mengine bado kama walikuwa kwenye mshangao wa aina ya siasa zake,
Tarrifs zake zimepigwa chini na mahakama kuu
Epstein scandal inazidi kunguruma
Na sasa anaharibu uchumi wa gulf, anaiimarisha Urusi na kuifanya US kuchukiwa, kutoaminika na kudharauliwa sana kote duniani.
Bora asingegombea tu mara ya pili game ilikuwa imesha mkata
 
Trump ni mssenge kabisa,analeta msukosuko wa uchumi Duniani kwa kumsikiliza shetani Netanyau
Halafu alikuwa ana mlaumu zele kwamba ametaka kusababisha vita ya tatu ya dunia then nayeye anafanya yale yale Tena zaidi ya yale huyo Mzee kweli ni mwehu
 
Kwaiyo tutumie uwezo wako Kiakili kufikiria Dunia imepata Amani baada Iran kushambuliwa!!!!!

1) Je leo kuna Amani ?

Nani kakwambia USA inaleta Amani !!!!!

Akili yako kabla ya kuandika ulichoandika Uliwaza zaidi?

au chuki yako dhidi ya Iranian inakusumbua💩

embu tuone kwafaida ya wasomaji wa Jamii forum ¿¿

2) uliwaza kuusu kilichotokea Venezuela

Unajua Marekani kazuiya kuingia Mafuta CUBA nini kimetokea hospital zipo gizani watu wanakufa!!!

Bado tukuamini USA ndio mleta Amani ya Dunia💩💩

biashara nying kufikia mpaka vinyozi wamekwama

Ndio Amani iyoo💩

Makanisa yanaendeshaje ibada ali kama iyo..

Bado tukuamini Marekani ndio inaleta Amani ya Dunia

hakuna Usafiri CUBA vile ni kisiwa

Unajua USA ilishilikiana na Makaburu wa Africa kusini kuwauwa watu weusi na kuwabagua kwa langi zao !!!

kiasi cha kumueka mtetez na mpigania uhuru Nelson Mandela kwenye kundi la Magaidi.!!!

Bado tukuamini kuwa Marekani ndio mleta Amani Duniani.

Wewe mlokole acha chuki dhidi ya Iranian!!

Kwafaida yako ww chuki itakufanya Uso wako ukunjike tu Uzeeke mapema.!!

Dunia ya leo watu wamepunguza ujinga wa chuki za kidini na wanasimama pamoja kupinga Uwovu Ujambazi wa rasilimali za nchi Masikini.🙏

kijana Amka Iranian ayupo kidini Venezuela pia ilifungiwa kupewa mafuta na USA.!!!

mambo ndani ya Venezuela yakaanza kuwa magumu!!!

ni Iranian ikabeba mafuta kwenda kunusuru matizo ya Venezuela

japo Marekani ilifoka sana na kutaka kuzishambulia izo Meli. !!!

lkn Iranian hakuogopa kapeleka wese Venezuela taifa la Cristian waliowengi.

punguza ujinga wa Dini..

Utaweza kuisoma Dunia kwa upeo mkubwa zaidi..✍️
Muue 🔨😄
 
Mimi mwananchi wa IBOLOGERO mzaliwq wa ITONJANDA, jana nimeona mabomu yanakuja tofauti kisha yakikaribia target yanaungana kabisa, na kwenda kupiga ile target, imenishangaza sana.. wale iran 🇮🇷 hakika walipata viongozi wenye uchungu na taifa lao, vikwazo vile vingewekwa kwetu huku matakoni mwa dunia, ndio viongozi wetu wangepata sababu, tungekuwa tunachinjana tunakulana nyama.
😀😀
 
Kwaiyo tutumie uwezo wako Kiakili kufikiria Dunia imepata Amani baada Iran kushambuliwa!!!!!

1) Je leo kuna Amani ?

Nani kakwambia USA inaleta Amani !!!!!

Akili yako kabla ya kuandika ulichoandika Uliwaza zaidi?

au chuki yako dhidi ya Iranian inakusumbua💩

embu tuone kwafaida ya wasomaji wa Jamii forum ¿¿

2) uliwaza kuusu kilichotokea Venezuela

Unajua Marekani kazuiya kuingia Mafuta CUBA nini kimetokea hospital zipo gizani watu wanakufa!!!

Bado tukuamini USA ndio mleta Amani ya Dunia💩💩

biashara nying kufikia mpaka vinyozi wamekwama

Ndio Amani iyoo💩

Makanisa yanaendeshaje ibada ali kama iyo..

Bado tukuamini Marekani ndio inaleta Amani ya Dunia

hakuna Usafiri CUBA vile ni kisiwa

Unajua USA ilishilikiana na Makaburu wa Africa kusini kuwauwa watu weusi na kuwabagua kwa langi zao !!!

kiasi cha kumueka mtetez na mpigania uhuru Nelson Mandela kwenye kundi la Magaidi.!!!

Bado tukuamini kuwa Marekani ndio mleta Amani Duniani.

Wewe mlokole acha chuki dhidi ya Iranian!!

Kwafaida yako ww chuki itakufanya Uso wako ukunjike tu Uzeeke mapema.!!

Dunia ya leo watu wamepunguza ujinga wa chuki za kidini na wanasimama pamoja kupinga Uwovu Ujambazi wa rasilimali za nchi Masikini.🙏

kijana Amka Iranian ayupo kidini Venezuela pia ilifungiwa kupewa mafuta na USA.!!!

mambo ndani ya Venezuela yakaanza kuwa magumu!!!

ni Iranian ikabeba mafuta kwenda kunusuru matizo ya Venezuela

japo Marekani ilifoka sana na kutaka kuzishambulia izo Meli. !!!

lkn Iranian hakuogopa kapeleka wese Venezuela taifa la Cristian waliowengi.

punguza ujinga wa Dini..

Utaweza kuisoma Dunia kwa upeo mkubwa zaidi..✍️
Walokole akili hawana zaidi ya chuki tu
 
Back
Top Bottom