Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Trump ni fala sana, sikutegemea kama jamaa ni kilaza kiwango hiki, mwanzo nilikua namkubali sana ila nmekuja kuona ni taahira fln hiviMafuta ya Kirusi yameondolewa vikwazo
Mafuta ya Iran yameondolewa vikwazo
Meli hulipa dola milioni 2 kwa Iran kupita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz
Dola trilioni evaporated kutoka soko la hisa la Marekani
Hitilafu ya kwanza kwenye ndege ya kivita ya F-35, fahari ya tasnia ya kijeshi ya Marekani
Baze za Marekani zinafanyiwa mashambulizi ya mara kwa mara katika Mashariki ya Kati
Marafiki wa USA haswa mataifa ya Ghuba yanapigwa kila siku
- Mgogoro wa nishati duniani
- Kuongezeka kwa bei ya petroli kwa Wamarekani
- Dola bilioni 27 zilizolipwa na raia wa Marekani hadi sa kwenye vita vya Trump
- Israeli anapokea kipigo kila siku cha jana bora kuliko cha leo na chalet bora kuliko cha kesho
-NATO wanamsaidia kimya kimya na bado anajidai hasaduwi hahaha (NATO)
Safi sana Iran
Kuna watu mnahadaika au mnatapeliwa kirahisi sana, mbona tangu mwanzo tu Trump alikuwa anaonekana ni tapeli, kiazi na bully!Trump ni fala sana, sikutegemea kama jamaa ni kilaza kiwango hiki, mwanzo nilikua namkubali sana ila nmekuja kuona ni taahira fln hivi
Power plays za mwanzo alikua anapatia, niliona kaanza kuyavurunda pale alipomshindwa China kwenye tariffs.Kuna watu mnahadaika au mnatapeliwa kirahisi sana, mbona tangu mwanzo tu Trump alikuwa anaonekana ni tapeli, kiazi na bully!
Huyu jama anatafuta mtu wakumuuzia vita, US wana tabia nchi nyingine ikiingia kusaidia yeye Merikani anajitoa na kuacha ile nchi iendelee na mapigano ndo zake hizo, ila nchi za Nato zilishamjua kitambo hapo alipo anatafuta exit route ila aioni kabisa.Mafuta ya Kirusi yameondolewa vikwazo
Mafuta ya Iran yameondolewa vikwazo
Meli hulipa dola milioni 2 kwa Iran kupita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz
Dola trilioni evaporated kutoka soko la hisa la Marekani
Hitilafu ya kwanza kwenye ndege ya kivita ya F-35, fahari ya tasnia ya kijeshi ya Marekani
Baze za Marekani zinafanyiwa mashambulizi ya mara kwa mara katika Mashariki ya Kati
Marafiki wa USA haswa mataifa ya Ghuba yanapigwa kila siku
- Mgogoro wa nishati duniani
- Kuongezeka kwa bei ya petroli kwa Wamarekani
- Dola bilioni 27 zilizolipwa na raia wa Marekani hadi sa kwenye vita vya Trump
- Israeli anapokea kipigo kila siku cha jana bora kuliko cha leo na chalet bora kuliko cha kesho
-NATO wanamsaidia kimya kimya na bado anajidai hasaduwi hahaha (NATO)
Safi sana Iran
Sawa kauua viongozi wengi wa Iran na raia wasio kua na hatia, ila malengo yake ya kuanzisha vita yalikua yapi? Regime change kafanikisha au la?Trump amefanikiwa mno
Magaidi yameuliwa
Madikteta yametoka
Hayo mambo mengine yatakuwa poa tu
Itakanikiwa tuSawa kauua viongozi wengi wa Iran na raia wasio kua na hatia, ila malengo yake ya kuanzisha vita yalikua yapi? Regime change kafanikisha au la?
Hakuwa anapatia ila alikuwa ana "flood the zone" tu na pia raia wengi wa US na mataifa mengine bado kama walikuwa kwenye mshangao wa aina ya siasa zake,Power plays za mwanzo alikua anapatia, niliona kaanza kuyavurunda pale alipomshindwa China kwenye tariffs.
Madikiteta yametoka wapi??Trump amefanikiwa mno
Magaidi yameuliwa
Madikteta yametoka
Hayo mambo mengine yatakuwa poa tu
Unajua gharama za vita hi kwa upande wa merikani mpaka sasa hivi ni kubwa kuliko GDP ya Tanzania? kweli iko tayali kuendelea kupoteza mali kiasi hicho au anataka kukmbia vita hivi karibini kwa kujitangazia ushondi.Itakanikiwa tu
Kama aliweza kuuwa viongozi wafadhili wa ugaidi
Hiyo regime change ni suala la muda.
USA kwenye hii vita amefanikiwa sanaMafuta ya Kirusi yameondolewa vikwazo
Mafuta ya Iran yameondolewa vikwazo
Meli hulipa dola milioni 2 kwa Iran kupita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz
Dola trilioni evaporated kutoka soko la hisa la Marekani
Hitilafu ya kwanza kwenye ndege ya kivita ya F-35, fahari ya tasnia ya kijeshi ya Marekani
Baze za Marekani zinafanyiwa mashambulizi ya mara kwa mara katika Mashariki ya Kati
Marafiki wa USA haswa mataifa ya Ghuba yanapigwa kila siku
- Mgogoro wa nishati duniani
- Kuongezeka kwa bei ya petroli kwa Wamarekani
- Dola bilioni 27 zilizolipwa na raia wa Marekani hadi sa kwenye vita vya Trump
- Israeli anapokea kipigo kila siku cha jana bora kuliko cha leo na chalet bora kuliko cha kesho
-NATO wanamsaidia kimya kimya na bado anajidai hasaduwi hahaha (NATO)
Safi sana Iran
How??USA kwenye hii vita amefanikiwa sana
Kavunja ngome ya muhimu ya Iran kuijenga itawachukua muda sanaHow??
Vita ni gharama hata Trump alikuwa hivyoUnajua gharama za vita hi kwa upande wa merikani mpaka sasa hivi ni kubwa kuliko GDP ya Tanzania? kweli iko tayali kuendelea kupoteza mali kiasi hicho au anataka kukmbia vita hivi karibini kwa kujitangazia ushondi.
Uchumi wa Gulf countries umeharibika vibaya sana.Kavunja ngome ya muhimu ya Iran kuijenga itawachukua muda sana
Ayatollah amekaa madarakani zaidi ya miaka 40Madikiteta yametoka wapi??
Ayatollah aliyeingia ana tofauti gani na aliyetoka?Ayatollah amekaa madarakani zaidi ya miaka 40
Akitesa, kuteka, na kuuwa wairani
Mbaya zaidi akawa mfadhili wa vikundi vya kigaidi
Ngome ipi imevunjwa, misile bado zinarushwa, nucreal plant iko intact, Ngome ipi imevunjwa au hujui maana ya ngome?Kavunja ngome ya muhimu ya Iran kuijenga itawachukua muda sana
Trump ni mssenge kabisa,analeta msukosuko wa uchumi Duniani kwa kumsikiliza shetani NetanyauKuna watu mnahadaika au mnatapeliwa kirahisi sana, mbona tangu mwanzo tu Trump alikuwa anaonekana ni tapeli, kiazi na bully!
Tuombe tu asije kuipeleka Dunia kwenye WWIII.