Uchaguzi 2020 Mafanikio yaliyoletwa na Rais Magufuli yawaumiza kichwa wapinzani katika kampeni zao

Uchaguzi 2020 Mafanikio yaliyoletwa na Rais Magufuli yawaumiza kichwa wapinzani katika kampeni zao

Ulichoandika chote ni UTUMBO tuu ila ukweli mchungu ni huu hapa :-

UBABE NA UTUMIAJI WA VYOMBO VYA DOLA
 
Ni kweli wanaumia sana, mafaniko hayaletwi na mazungumzo ya kwenye simu. Viongozi wanatakiwa kufanya kazi kwa weledi. Mhe. Magufuli amefanya, ameongoza kwa mfano. JPM anashinda kwa kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom